Notifications
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (9)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA TISATULIPOISHIA...“Seidon, hapa kuna kazi,” Amata ga Imba alimwambia Seidon, akageuka kumtazama akamuona ametulia kimya kama mtu anayetafakari kitu fulani. “Seidon, unawaza nini?” akamuuliza.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...“Amata ga Imba, tutafika hii safari kweli, maana naona vikwazo ni vingi sana, na ninaanza kukata tamaa,” Seidon alijibu.“Usikate tamaa, hakikisha unafika…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (8)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Amata ga Imba alipoona giza hilo akajua kumekucha, akapiga mbinja kali na muda mfupi tu, farasi wale wawili walikuwa tayari wamefika, Seidon akarukia juu ya mmoja wapo na Amata vilevile kisha wakapiga mbio kuelekea upande wa kusini. Nyuma yao jeshi lilikuwa likija kwa kasi na farasi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...“Amatagaimba! Wanatufuata….” Seidon alipiga…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (7)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA SABATULIPOISHIA...“Amata, nakualika katika hili, ufuatane nami tukakamilishe kazi hii, tuondoe laana katika jamii na baraka za Klakos zitumwagikie kama umande wa asubuhi” Seidon alimtupia ombi Amata kwa lugha ya kushawishi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...“Hamna shaka, ombi lako limefika panapostahili, bega kwa bega tutakamilisha hilo, mimi nitakusindikiza kwa jua na mvua, kwa…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (6)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Sauti za watu wakisali katika lugha isiyoeleweka zilisikika, Anna alitazama vyema na kuona viumbe kama watu wapatao kama ishirini hivi wakiwa wamezunguka kitu kama kitanda na katikati yake kulikuwa kumelazwa mwili wa binadamu ambao Anna aliutambua vyema, mwili wa rafiki yake kipezi Nesta.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Anna alibaki kakodoa macho akiangalia tukio…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (5)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA TANOTULIPOISHIA...Vernad alitua chini na kuuchomoa upanga wake, kabla hajaanza kuondo alipigwa ngwala moja na kujibwaga chini, wakati anapoanguka alijishika kwenye tofali moja wapo lililotokeza katika ukuta huo mara ardhi ikainamana na kufunguka Vernad alitumbukia katika shimo refu, alishuhudia radi kali zilizopiga huku na huku shimoni mle.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Huku…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (4)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA NNETULIPOISHIA...Mbele hapo kulikuwa na kitu kama jukwaa lenye ngazi ngazi na juu yake kulikuwa na skeleton ya kiumbe Fulani aliyekaa kwa kukunja miguu yake, pembeni kulikuwa na skeletoni zingine nne lakini zilikuwa na maumbo madogo kuliko ile ya katikati, zilionekana kuwa zimemuinamia kama ishara ya heshima kwake. Lakini ile skeleton kubwa haikuwa na kichwa! Cleopas.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (3)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA TATUTULIPOISHIA...Msichana mrembo wa sura, mwenye rangi mororo ya kuvutia alikaribia eneo lile aliloketi Seidon, mwendo wake wa kunesa ulianza kuusumbua moyo wa Seidon, shujaa wa Relvesh ‘njiani usitamani mwanamke wala kulala nae’, kauli hii ya babu yake ilimkosesha raha kila alipoikumbuka.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Aliendelea kumkodolea macho kiumbe yule ambaye sasa alikuwa…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (2)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA PILITULIPOISHIA...Kelele nyingi zilimfuatia nyuma yake kana kwamba kuna watu walikuwa wakimfukuza. Aliongeza mwendo kukimbia, hamad! Alijikwaa na kuanguka chini, alipojigeuza kutazama juu kwa mtindo wa ‘chali’,radi kali ilimpiga usoni hata kuhisi kuwa amepoteza nuru ya kuona.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kaupepo katamu kalimpitia Vernad, alijaribu kuamka pale alipokuwa lakini…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (1)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KWANZARiwaya ya kufikirika, itakayokupa taharuki, tafadhali soma kwa makini ikiwezekana rudia mara kadhaa ili upate uhusiano wa mtukio yaliyoitengeneza riwaya hii kali, tamu, haijawahi tokea katika kare hiiIKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Seidon alipita kwa kasi na farasi wake mweupe, mwendo aliokuwa akienda ulikuwa si wa kawaida hata kidogo, kwa kuwa farasi huyo alimjua vyema…
  • NANII TAMU (9)
    Jina: NANII TAMUMtunzi: ___SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...‘Ishia hapohapo si unaona tuko kwenye uwazi’. Nilijikuta nikiropoka kwa haraka baada ya kuona Suzi akija kunikumbatia.Sawa ila naomba twende pamoja kwenye hotel fulani kubwa’. Suzi aliongea huku akiwa ameshika kiuno chake na huku kichuguu chake kikiwa kimebetuka kwa juu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA CnZ Media INSTALL ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...‘Sawa kwamaana hapa sijajulikana hivyo itakuwa vyepesi ila subili kwanza…

MAMA MWENYE NYUMBA (1)

Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA KWANZA
Ilikuwa ijumaa usiku saa nne kasolo, nje ya kidogo ya jiji la dar es salaam, mtaa wa M'buyuni kibamba ccm, ndani ya nyumba moja kubwa sana iliyo zungushiwa ukuta mkubwa (fensi) na nyumba nyingine ndogo tatu za vyumba viwili na sebule za kupangisha, na moja iliyo kuwa na chumba kimoja tu! licha kujengwa kwaajili ya mlizi lakini nacho kilipangishwa.

Binti mmoja mrembo sana mwenye miaka 28, anayeitwa Suzana, mtaani vijana umwita Suzana mahips kutokana na jinsi mwiliwake ulivyo, maana amejaliwa umbo namba nane, ilikipambwa na mapaja manene na makalio makubwa sana, ilifikia kipindi vijana wakolofi uwa wana piga miluzi, asa wakimwona anapita mtaani akitembea kwa miguu, kitendo kilicho sababisha aweanashindwa kushuka ndani ya gali lake aina ya totota lav 4, ata anaponunua kitu kama gazeti au mboga za majani, nyama kwenye mabucha, samaki, uwa ana agiza akiwa ndani ya gari ,bahati nzuri kwakea wadau wenye kuuza vitu hivyo pale mtahani, walikuwa wanamjuwa, na walikuwa wanafahamu usumbufu aliokuwa anaupata usiku huu Suzana ma hips alikuwa amejilaza kitandani mtupu kama alivyo zaliwa, nakufanya umbo lake lionekane wazi kabisa, mle chumbani pia alikuwepo mzee Mashaka, ni mzee wamakamo wamiaka 59, alikuwa anamalizia ku funga mkanda wasuluali yake, "baby inamaana ndiyo basi atufanyi tena?" aliuliza Suzana kwasauti yaunyonge sana akionyesha kuitaji kitu flani, "nimechelewa sana alafu nimechoka sana, husijari kesho uta enjoy" alisema mzee Mashaka huku akiichukuwa simu yake nafunguo za gari mezani na kuanzakutoka nje, "kilasiku unasema hivyo hivyo ukija una nichezea tu! alafu unanihacha na hamu zangu, sijuwi unazani nani atanikatakiu zaidi yako" alijisemea kimoyo moyo Suzana, huku ana jiinua na kuichukuwa nguo yake nyepesi inayo angaza ya kulalia nakuivaa bila nguo nyingine yoyote ndani nakufanya mwiliwake huonekane vyema asa mahips na makalio yake manene namakubwa, "ila husijari mpenzi ata leo nime enjoy sana mpaka kiuno kina niuma" aliongea Suzana akimliwaza mzee Mashaka hasijione zaifu, lakini moyoni alimlahumu kwa tabia yake ya kumwacha njiani kila siku,tokea wamekutana nakuanza kufanya mapenzi bila kumfikisha kwenye kilele cha utamu wenyewe, "hahahaha sasa ungenikuta enzi zangu ungekimbia bila vitatu nilikuwa sibanduki" aliongea mzee mashaka akionyesha uso wa tabasamu la ushindi, waliagana na mzee Mashaka akangia kwenye gali lake aina ya nisan safari na kuondoka zake huku Suzana mpenzi wake ambae umri wake ni sawa na binti yake wapili Sophia, akimfungulia geti nayeye akapita na nakutokomea zake, Suzana alifunga geti huku akiwa ana mawazo mengi sana juu ya penzi lake na huyu mzee Mashaka, baba wa rafiki yake Sophia ambae, nipenzi linalo mtesa sana ni mwaka watatu sasa toka akutane na kuanza kuwa wapenzi na mzee Mashaka, lakini hakuwai kuenjoy penzi la mzee huyu tena mbaya zaidi mzee Mashaka ndie mpenzi wake wakwanza nandie alie uchukuwa uschana wake na kumwingilia kwamala yakwanza, aliwaza sana Suzana akiwa amesimama pale kwenye gate ambalo hakuweka mlinzi maana kulikuwa na wapangaji familia tatu pia kunakijana mmoja ambae alijulishwa kuwa nimwanafunzi wa chuo anaitaji kupanga chumba kimoja, licha yakuruhusu kijana huyo aingie kwenye chumba hicho, lakini niwiki sasa ilikuwa ina karibia kuisha bila kukutana na mpangaji huyu nakupeana mkataba nakupewa pesa yake ya miezi mitatu, hii nikutokana na shughuri zake za kila siku.

Kabla yakuajiliwa na Bank ya wananchi kama mhasibu msaidizi wa tawi la ubungo Suzana alikuwa anasoma chuo cha usimamizi wafedha, akiwa ametokea mkoani Iringa kwenye familia yakawaida, ya watoto watatu wawili wakiwa ni wanaume ambao ni kakazake, baba na mama yeke waliwalea kwamisingi ya maadili mema kitendo kilichosaabisha mpaka mwaka wa pili katikati akiwa chuo bado Suzana alikuwa hajawai kuruhusu dudu ya mwanaume yoyote, akiwa chuo ndipo alipo kutana na Sophia Mashaka , huyo alikuwa mtoto wapili wa mzee Mashaka kati ya watoto watano, akitanguliwa na kaka yake Atony wenyewe walimwita Tony, pale chuo Suzana aliwapa wakati mgumu sana vijana wakiume, kutokana na uzuri wake wa mwili na sura pia tabia yake ya upole na utulivu, uliwavutia wengi sana, vijana kwa wazee wamjini waliangaika sana, wakipanda dau kwa ahadi nyingi sana, huku wengine wakitangaza ndoa na kutanguliza offer mbalimbali, lakini zote ziligonga mwamba, adi siku ambayo Tony alipomwona dada yake Sophia akiwa na Suzana, alipokuwa amemtembelea pale chuo, "Sophy unaonaje ukiniunganishia huyo demu" Tony alimpigia simu dada yake baada yakurudi nyumbani, maana dada yake alikuwa anakaa hoster chumba kimoja na Suzan, "mh! nimgumu huyu, alafu mshamba flani hivi, sijuwi kama utaweza" alijibu Sophia, lakini Tony akajipa moyo, "hakuna kitacho shindikana wewe mlete home kisha nitajuwa lakufanya" "poa juma mosi nakuja naye" kweli ikawa hivyo, juma moss Sophia na Suzana walienda nyumbani kwa kina Sophia, licha ya kumkuta Tony lakini hakuweza kuongea chochote, na bint huyu mrembo, ni baada ya kumkuta baba yao mzee Mashaka akiwa amejaa tele nyumbani ( nimzee mwenye tabia ya kupenda sana mabinti wadogo), ilo likawa tatizo kwa Tony, angekuwepo mama yao pekeyake hisingekuwa tatizo, na mbaya zaidi mzee Mashaka alikuwa nao bega kwabega pale sebuleni, atamuda wakuondoka ulipo wadia aliwachukuwa kwenye gari na kuwa peleka kwanza madukani nakuwafanyia shoping ya nguvu kabla ya kuwapeleka kwenye hotel moja kubwa kwaajili ya chakula cha jioni, Suzana hakuwa ametilia mashaka juu ya offer hiyo ya mzee Mashaka baba yake Sophia, asa ukizingatia ni baba warafiki yake, siku hiyo ilipita salama, mzee Mashaka akawarudisha wakina Suzana hoster akiahaidi kuwa pitia week end ijayo, lakini haikuwa hivyo, mzee Mashaka aka chezamchezo wa hakili mingi, kwanza akaanzia nyumbani, akaongea kilefu na mkewe akijifanya kuwa hazielewi tabia za watoto wake, asa hawa wakubwa Tony na Sophia hivyo amwite Sophia iliakae nao wote kwa pamoja aongee nao juu ya mwenendo wao, kweli mama alimpigia simu mwanae Sophia nakumwambia aje alaka pekeyake, kwani anamzungumzo muhimu.

Saa tano asubuhi mzee Mashaka alisimamisha gari kwenye hoster, akijifanya kumwulizia mwanae Sophia, akaambiwa ametoka ila yupo rafiki yake, akaomba aitiwe huyo rafiki yake ambaye ni Suzana, Suzana alipofika akamsalimia mzee Mashaka kisha akaambiwa kuwa akajiandae ili waende mjini waka chukuwe baadhi yamaitaji ya Sophia maana yeye mwenyewe anakikao na mama yake, Suzana pasipo kujuwa kuwa Mzee Mashaka analake jambo akaenda kujiandaa alaka nakuondoka na mzee Mashaka, kwanza kabisa walianza kwenye maduka ya nguo na viatu vyakike, pia kwenye maduka ya urembo, kitu kilichoanza kumshangaza Suzana nikwamba, manunuzi yote yaliyofwanywa yalimuusu yeye na siyo Sophia kama alivyo ambiwa, atimaye saa saba mchana walikuwa wame ingia kwenye hotel moja kubwa ya ghalama wanayoingia watu wenye uwezo mkubwa kifedha, na kwakisingizio cha busara na heshima yakutopnda kuonekana na watu sehemu kama ile mzee Mashaka akashauri wachukue chumba chenye chumba na sebule (suit) ili wakae wakipata chakula cha mchana, akiwa mwenye wasiwasi Suzana alikubali lakini moyoni mwake akipanga namna ya kuepuka na mtege wowote ambao unge tegwa na baba Sophia, waliingia ndani ya chumba kizuri ambacho kina kilakitu ambapo ungeweza kukaa humo ata wiki nzima pasipo kutoka nje, wakaletewa vinywaji vyao wakati wakisubiri chakula, mzee Mashaka aliagiza wine na Suzana aliagiza soda, walikunywa huku mzee Mashaka akijitaidi kuongea kwa ucheshi uliosababisha Suzana aondokewe na wasiwasi, nakumwamini mzee huyu, kwamba hakuwa na niambaya, saa moja baadae walikuwa wamesha maliza kula na walisha zoweana sana, ata Suzana hakuwa na wasiwasi tena, hapo ndipo mzee Mashaka akaanza kumshawishi Suzana kuchanganya soda na wine nyekundu licha kuofia kidogo lakini alipo ijaribu ilimpendeza Suzana, akaanza kunywa bila kujuwa kuwa itamsababishia vitu vingine, ilichukuwa dakika 45 kumlegeza Suzana huku mzee Mashaka akijaribu mala mojamoja kuchezea sehemu mbali mbali za mwili wa binti huyu mrembo, naalipoona amtulia akitbasamu akajuwa anavutiwa na kamchezo kake, hivyo akazidisha kupeleka mkono shemu nyeti zaidi ikiwemo na matiti magumu yaliyo simama, ata muda wakuingiza dudu ulipo fika ndipo mzee Mashaka alipo gundua kuwa binti yule mrembo alikuwa bikira, akisaidiwa na pombe alizo kuwa amekunywa Suzana alivumilia na dudu ikaingia na kutoboa kizuwizi kwenye kitumbua chake japo maumivu aliyapata lakini haikutumia muda mrefu ni baada ya kupump kwa sekunde chache mzee Mashaka kwa utamu wakitumbua chenye joto cha Suzana, hakuchelewa alijikuta akikalibisha mashabiki waingie uwanjani, kwani alikuwa amsha mwaga watoto, sikuhiyo mzee Mashaka ali furahi sana asa kumkuta binti mzuri kama huyu akiwa bikira, kwanza alimpatia fedha kiasi cha shilingi millioni moja mkononi, nakumwaidi kwamba atasimamia shugulizake zote za chuo, huo ndio ukawa mwanzo wa mapenzi yao ya siri pasipo Sophia kujuwa lolote, licha ya kujilaumu kwa kupoteza uschanawake kizembe lakini alipiga moyo konde asa kutokana na msaada mkubwa wakifedha aliokuwa akipewa na mzee Mashaka kilamala, kiasi chakuonekana nmmoja wa wana chuo wenye uwezo kifedha pale chuoni, ata alipo maliza chuo ni mzee mashaka ndie ali mtafutia kazi pale bank na kumnunulia gari pamoja na nyumba kubwa huko kibamba ccm.

Licha ya kudumu kwa miaka mitatu na mzee Mashaka ktk mapenzi yao lakini kiukweli hakuwai kufuraia utamu wa dudu, maana mzee huyu hakuwai kudumu japo dakika tatu juu ya kifua chake, na hakufikilia kutafuta mtu mwingine wakumwingiza dudu, bado Suzana alikuwa amesimama getini baada ya kumaliza kulifunga, "haa tunaumizana viuno kwa kufunga mageti baada ya kupeana utamu" alisonya Suzana akianzakutembea kulekea ndani, mala akasikia geti likipiga kelele akageuka nakutazama, kwa msaada wa taa zilizopo pale kwenye uwanja wanyumba yake akaona geti dogo likifunguliwa, nakufwatiwa na kuingia kwa kijana mmoja mwenye umbo zuri lakiume, akiwa amebeba begi dogo mgongoni.

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO




Hakikisha Application Yako Ipo Updated, Gusa Link ya Application Unayotumia Kisha Angalia Kama Kuna Neno Update Bonyeza Hapo na Kama Hauja-Install Bonyeza Install Sasa
5 featured Mama Mwenye Nyumba Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni