MAMA MWENYE NYUMBA (20)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (20)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA ISHIRINI ILIPOISHIA... “Mumewangu naomba mkitoka darasani saa nne nijulishe” anayeye akajibu, “poa mkewangu” akaituma kisha akaanza kutembea kuingia ndani ya bar, lakini akagunduwa kuwa kuna mmoja amesimama pale pale, akasimama na kumtazama SASA ENDELEA... Kweli mwanamke huyu ni mzuri, wali gongana macho, akamwona kama ameduwaa flani hivi, kama hajuwi aelekee wapi, “vipi twende, muda unaisha huu” ndipo kama alietoka usingizini yule binti aka wafwata nakukaa nao meza moja wale wenzao wawili walishangaa kuwaona wanakina Joyce na Nancy , wakiingia pale bar na kukaa meza yakaribu, wakiwa na kijana mmoja ambae waliwaikumwoana sikumoaja pale saloon akinunua vocha, na jana yake pia alipata supu asubuhi na Nancy, wakatazamana nakuanza kunong’onezana “hivi Nancy anatoka na yule makaka au?” aliongea mmoja, namwingine akadakia, “alafu hajatuambia, ngoja tufanye unyaku nyaku tajuta” walishangaa zaidi baada ya kushuhudia sahani tatu za supu yamaan…