MUUZA CHIPS (25)

Sehemu ya Ishirini na Tano, kijana chidi, rehema huku, boy kucheza gani, gani huko jamanichidi, gauni la rehema, huko jamanichidi alijifanya
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO
ILIPOISHIA...
"jasu, mjini hapa… Nikivaa Hijabu nitapata wapi pesa ya kula mimi, na vidume vyenyewe ni vya kuhesabu"

"mmmhhh haya Twende.. Ila shost mlaini mpaka raha yani"

"jasu, unataka ulete tabia ya kule shule si ndio eee"

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"baaasi twende, heeee hutaniwi"

Basi jasu na rehema waliita tax na kuipanda,

Tukija huku kwa kijana chidi, aliokuwa yupo nje akimsubiri saidi ili waende wote PIN POINT (Disco)… Ghafla rafiki yake anatokea na pikipiki wakapanda mshkaki, (wawili kwenye pikipiki moja) waliondoka na kuelekea huko kunako Disco, Kijana chidi ndio kwanza anaenda Disco, toka aje jijini Arusha hajawahi kuingia Disco hata siku moja, huwa anayasikiaga tu watu wakisifiana,…

Kwakuwa ni usiku na barabara haikuwa na jamu iliweza kuwazuia watu hao, hivyo walifika mapema mno hapo PIN POINT, walikuta watu wengi hapo nje ila chidi yeye ni kushangaa tu, mana hajawahi kukutana na shamra shamra kama hizi,..

Vijana wanalipia kiingilio kisha haoo wanaingia ndani,… Kule ndani hakuna cha mwanga wala nini ni mambo ya Disco Light tu,.. Hivyo mkipotezana tu kuonana ni majaliwa, ila saidi alikuwa ni mwenyeji wa vitu hivyo, kwahio yeye alikuwa kama anaosha macho tu,…

Chidi na saidi walienda pale kaunta na kuagiza kinywaji, chidi yeye aliagiza Redbull huku saidi akiagiza safari, basi wao walikuwa wakiangalia tu watu walivyokuwa wanacheza na hua saidi yeye akilewa huingia kati na luanza kucheza,..

"chidi, mtoto yule, ngoja nikacheze nae"

"kuwa makini side"

Saidi alimka pale kwenye viti vya kaunta kisha akaingia kati na kuanza kucheza na mtoto wa kike…

Alivyotoka saidi tu, Pale kaunta, waliingia waschana wawili,…. Kumbe Akina rehema na jasu walikuwa nao wakija huku huku disco,… Heeeeee patamu apo,

"mambo"

Rehema alitoa salamu kwa yule aliomkuta pale kaunta,

"poa"

Aliitikia kijana chidi huku akiendelea kuangalia waliokuwa wakicheza, hasa alikuwa akimwangalia rafiki yake saidi jinsi alivyokuwa akicheza na yule mwanamke,..

"nipatie Castle lager"

Rehema aliagiza kinywaji huku na jasu nae akiagiza chakwake, chidi akiwa na Redbull yake taaratibu kabisa wala hataki papara,… Sasa rehema katika kupewa kile kinywaji kwenye chupa, mana anataka kupiga tarumbeta… Kisude (kifuniko) cha bia ile kikadondoka, ikabidi rehema ainame na kukitafuta, Saa ngapi chidi hajaona chupi iliokuwa ikionekana kwa mbali kupitia gauni alilovaa rehema,.. JAMANI JAMANI, NINYI WANAWAKE MNATUTESAGA ETI HIVI VIGAUNI VYENU VYEPESIIII, AFU WENGINE MNAVIVAA VIKAVUU HUNA HATA KITU NDANI, MNATUTESA SANA NA MNALIJUA HILO, AFU MKITONGOZWA ETI UNA MPENZI, SASA NGUI ZA KUTUTESA HIVYO ZANINI LAKINI NYIE…

Chidi alijikuta anapaliwa na kile kinywaji na kuanza kukohoa kwa kile alichokiona mana ugonjwa wa chidi ni kuona chupi au ngozi adimu kama paja au na vingine vingi, sasa hapo kaona kinguo, maskini ya mungu chidi wa watu mpaka kapaliwa na kinywaji chake,. Na rehema sio mchezo yaani kajaaliwa na kuvaa hivyo alifanya kusudi, na sio yeye tu ni asilimia kubwa ya wasichana wanavaaga nguo zao kwa kusudi maalum,… Sio kuwa hawajui,

"Koho, koho, koho, koho, koho"

Chidi kukohoa hakumuishi mpaka karibia atapike,.. Rehema alinyanyuka baada kuona kisude hicho, kisha akawa anampa pole kijana chidi,

"pole kaka"

Sasa chidi ni mzuri sana kwa kuangaliana, yaani kama mwanamke una aibu basi ukiangaliana na chidi, ni lazima ushushe macho yako chini,… Basi chidi akawa anamwangalia sana yule mtoto wa kike, mpaka rehema akaangalia chini kwa jinsi alivyoangaliwa na chidi,… Chidi aliona hapa nitazua mengine, chidi Aliondoka pale kaunta na kujichanganya kule kati, ila hakuwa na mtu wa kucheza nae hivyo akawa anacheza tu mwenyewe huku akinywa kinywaji chake taaratibu bila mashaka yeyote yale…

Tukija huku kwa Ibrahim ambae ndio alikuwa anazinduka, lakini alishtuka kuona mdogo wake hayupo,.. Alishangaa mno, mpaka akaamka na kuja mpaka huku kwenye kasebule, kana kwamba labda chidi atakuwa anaangalia tv, lakini pia hakumkuta, alipogusa mlango aligundua umefungea, na ukumbuke kuwa kila mtu ana funguo zake hivyo chidi ana zakwake na Ibrahim ana zakwake,…

"aaahhhh huyu mtoto kaenda wapi saa hizi"

Alijiuliza bwana Ibrahim huku akirudi chumbani taratibu…

"au kamrudia yule malaya wake nini"

Alijiuliza maswali mengi huku akipanda kitandani ili kulala… Alipogeuza macho pembeni aliiona ile simu kubwa ambayo lisaa limoja liliopita alimgombeza kuwepo kwa simu hio…

"mtoto mjinga sana huyu, sasa msimu wote huu, wanini sasa, yaani utoto ni ujinga… Afu hii bado mpya kabisa hii, huyu mtoto kanunua lakini ananificha… Mshenzi huyu"

Aliirudishia kwenye chaji yake ambayo sio ya kuchomeka, ni kuiweka tu juu juu kama kwenye kibakuli hivi lakini sio kibakuli ni chager yake,…. Basi Ibrahim aliendelea kulala zake baada ya kuona ndugu yake atakuwa katoka..

"lakini kweli ninachomfanyia chidi, sio kizuri… Muda wote namfokea bila sababu"

Ibrahim alikuwa akijijutia kwa vile alivyokuwa akifanya kwa mdogo wake chidi…

"lakini sema huyu mtoto nae kazidi sana wacha nimfokee tu pumbavu zake"

Ibrahim alivuta shuka na kujigubika gubi gubi

Tukija huku PIN POINT Disco kwa akina chidi na rafiki yake saidi, tunamkuta chidi akiwa anaendelea kuyarudi mangoma mwenyewe…. Lakini ghafla anapita rehema na kumwambia chidi kuwa

"kumbe huna mtu wa kucheza nae, sasa si ungesema tu"

Aliongea rehema huku akikaa mbele ya chidi tayari kwa kucheza nae,.. Chidi aliona hio ilikuwa bahati ya mtende kwa mtoto mzuri kama huyo, tena aliokuwa ana umbo la kumvutia kila mwanaume aliostahili kuitwa mwanaume,… Kiukweli rehema alishona haswa maeneo ya huku, yaani kama ni maandazi basi tungelisema hamila imekolea vuzuri, lakini kwakua ni binaadamu, sijui tusemeje hapo… Mana rehema sijui aliikalia wapi hio hamila,

Chidi aliona ni zali la mentali kucheza mtoto kama huyo,…

Sasa kama unavyojua michezo ya disco, kuna kubambiana, na rehema hakuwa na aibu ya kumgusisha chidi wowowo lake,… Sasa mbaya zaidi ni kwamba, hisia za kijana chidi hua zipo karibu sana hivyo kitendo cha kuguswa na kalio la rehema, basi hali yake ilianza kuwa mbaya, na vile rehema alivyo mlaini na zile nguo chache alizovaa… Chidi alitamani kuacha kucheza mana alihisi dada huyo angemkoromea kwasababu anamgusa gusa na Zakaria yake, hivyo akawa anataka kuacha… Lakini kabla hajaacha kucheza rehema aligundua kuwa huyu kijana tayari hisia zake zimeamka,

"we boy, mbona unanigusa na nanii yako"

Aliongea rehema huku akilegeza sauti tena alikuwa kamgeukia kwa mbele wakawa wanaangaliana

"samahani dada angu, naomba tuache"

"mmmhhh afu unaonekana hujapata demu muda mrefu eee, si kweli"

"ndiooo"

Chidi aliitikia huku akidhani kuwa kuitikia huko huenda kukawa bahati nzuri kwake,

"mmmhhh pole mwaya, ila samahani kwa kukuamsha hisia zako"

Rehema aliondoka na kumuacha chidi akiwa kakaa sehemu flani hivi ya giza, alivyoona vimepungua akarudi kati na kuanza kucheza mwenyewe,.. Ghafla kukatokea kada kengine

"boy naomba tucheze"

Chidi sio mchoyo, walianza kucheza huku mtoto wa kike huyo akiwa kapata moto wa kucheza,….. Saa ngapi rehema hajarudi na kumkuta chidi ana kaschana kengine

"we dada vipi… Unavamia tu wanaume za watu"

"heeee sa mi si nimemkuta hana mtu"

"ishia uko…"

Mmmhhh chidi alishangaa kuona rehema alikuwa akimpigania sana,…

"we boy, mbona unanisaliti tena"

"we si uliondoka"

"no nilienda kuongeza kinywaji tu"

Basi wakaendelea kucheza, lakini safari hii rehema alikuwa akimfanyia chidi makusudi, kwani alikua akiichukuwa mikono ya kijana chidi na kuishikisha kwenye matiti yake huku akimbinulia kwa nyuma,… Kiukweli sijawahi kumsikia chidi akilia kimapenzi, ila hapa namsikia.. Wakati huo Zakaria yake ilikuwa Ndi Ndi Ndi haswa, tena rehema kujua hilo, alizidi kumgusishia na kujirudisha nyuma…

Chidi alipoona kapewa uhuru mpaka kwenye kifua, naye alijiongeza…

Saa ngapi Chidi hajaanza kulipandisha lile gauni la rehema.. Gauni refu ambalo huwa wakitembea wenyewe hulishika hapa mbele na kutuachia tabu huku nyuma…

"we boy, kucheza gani huko jamani"

Chidi alijifanya hasikii, lakini rehema hakuwa akizuia kupandishwa kwa gauni hilo, bali alikuwa akiongea tu

"boiiiiii… Utaniacha uchi mwenzio nina chupi tu"

Rehema alikuwa ana Mitego mingi sana juu ya wanaume alikuwa akihisi wanaweza kumhudumia kimaisha, na ni kweli ule msemo usemao… KIZURI KINAJIUZA… KIBAYA KINAJITEMBEZA… msemo huu naupenda sana na ni kweli, Rehema alikuwa ni mschana mwenye kila sifa ya urembo, tena mtoto mwenye mwili asilia usio na kemiko hata moja, lakini huezi amini ni wakujiuza mwanzo mwisho… Na hapo alipo ana mimba kwa jinsi wengine wanavyomdhania,…

"we boy, kucheza gani huko jamani"

Chidi alijifanya hasikii na kuendelea kulipandisha gauni hilo, jepesiii lililoonyesha nguo yake ya ndani,..

"biiiiiii… Utaniacha uchi mwenzio nina chupi tu"

Chidi kuskua neno chupi, na ile sauti iliotumika kulitoa lile neno, alijikuta anamminya rehema makalio yake, kitendo kilichomfanya rehema afumbe macho kwa raha ya kushikwa kalio zake,

"iv kuna ubaya tukichukuwa chumba"

Aliongea kijana chidi huku akiingiza kidole katika kitovu cha rehema

"boiiiiii unataka ukanifanye nini huko chumbani"

"we nijibu, kuna ubaya"

Rehema alitikisa kichwa kuashiria hakuna ubaya… Chidi hakuchelewa kufanya hivyo, alimuacha rehema mahali kisha akaenda kaunta na kulipia chumba,.. Kisha akampitia rehema huku muhudumu anakuja kwa nyuma ili kuwaonysha chumba cha kupumzikia,… Rehema keshapata mnyonge wake na anaenda kumkamua huko haswaaa

Walipofika chumbani chidi kwa jinsi alivyo na uchu wa kumtafuna mtoto huyo, alimtupia kitandani kisha akaanza kuvua nguo zake zote,.. Kisha akamfuata rehema pale kitandani

"heeeee boi, kumbe ndio mana ulikuwa unanigusa gusa, kumbe kubwa kiasi hiki"

Aliongea rehema huku chidi akilivua lile gauni la rehema,.. Alimaliza kulivua mpaka kukutana na chupi nyeupe peee, chidi alianza kutetemeka, kwa kuona vitu vinavyomsisimua, chidi alianza kumnyonya denda huku akishika shika nywele za rey,… Rehema alianza kuachia miguu kabla hajaambiwa, miguu ilikuwa ikipanuka Automatically

Chuchu za rehema zilipata mnyonyaji, haswa, chidi akinyonya chuchu huku kidole chake kimeibinua chupi ya rehema na tayari kikiwa katika hali ya kupima oil kama ipo au hakuna… Kidole hicho kilikuwa kikiloa kila wakati, huku rehema anarusha miguu utafikiri kifo kilikuwa kikimkabiri,

"aaaah hhhhhhmmmm hhhmmmm Nnnnnhhhhh Aiiiiiiiiii yesu wangu mie uuuuuuuuwwiiiiiiii"

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
NextGen Digital... Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...