MAMA MWENYE NYUMBA (26)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (26)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA ILIPOISHIA... Lakini kwa Nancy ulikuwa mwiba wamoyo, aliwaona wakiongea na simu, mpaka walipo maliza, ndipo alipo mwona Joyce akiwa amependeza vilivyo, akija upande ule waliokaa wao, huku akiangaza macho huku nakule, baada yamuda akamwona anaifwata meza ya kina Edgar SASA ENDELEA... Wakati huo alimwona yule mdada alie kaa na Edgar akipokea simu, “ok! ingia kwenye hii bar kubwa kish pitiliza mpaka nyuma huku kwenye mauwa mengi” aliongea Suzan kimshangaa binti mmoja ambe alikuwa amesimama mbele ya meza yao, huku Edgar akiwa bado hajamwona, “nani huyo Sophia?” aliuliza Edgar akiinua uso wake na kumtazama Suzan, hapakuwa na jibu zaidi alimwona Suzan kama alikuwa anashangaa, nayeye akaangalia alikokuwa anaangalia Suzan, Hoo! Joyce mambo vipi?” alisalimia Edgar baada yakumwona Joyce amesimama akimtazama Suzan huku akitabasamu, “safi tu Edgar hujenda chuo?” aliitikia Joyce na Suzan akadakia, kumbe nasoma wote, karibu ule kab…