
SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA
“Vipi huyu dogo anayaweza mambo lakin?i” aliuliza Sophia na kumfanya Suzan acheke kidogo, “mh! wenae mmbea” ilondilo jibu la Suzan, “au uanaogopa nitakuibia” alisema Sophia akionyesha utani, kisha wote wakachekaSASA ENDELEA...
“mbona nita fulahi, maana kijana achoki, ananavyo ni kunja, mpaka nakuwa mdogo” hapo wakacheka tena, huku moyoni Sophia akipania siku atakayo rudia mechi lazima aakikishe anamtoa jasho Edgar, wakati wanakaribia kwenye ile bar ndipo walipo liona gari la mama Sophia likitoka pale bar kwa speed nakuingia barabara kuu likielekea mbezi kwa kasi ya hajabu, mpaka wao wakashangaa, **** mama Sophia kumbe alimwona Edgar akikatiza aikwa kwenye boda boda, ndipo alipo kulupuka na kuanza kumfukuzia kwa nyuma na gari lake, huku mwili wake ukianza kuchemka na kusisimka, na kitumbua kutekenya, kwakujuwa kuwa muda wa kupata dudu umewadia tena mbuzi anajipeleka machinjioni
Mida hii bwana kazole alikuwa ameshatoka nyumbani kwake na kwenda moja kwamoja mpaka luhuwila seko, nakujibanza kwenye duka moja llenye kigroser jilani na kwa wakwe zake, kichwa alivalia kofia kubwa sana ya mduara iliyo ziba nisu ya uso wake, kwaharaka husinge mtambua, akaagiza bia moja na kuanza kuinywa taratibu, macho kwenye nyumba ya wakwe zake, huku moyoni akijisemea, “leo lazima kieleweke,”
Mama Sophia aliendesha gari kwa kasi mpaka alipoanzakuwa ona Edgar na mwendesha pikipiki, wakiwa wanaendesha pikipiki wakipita pembeni ya barabara, lakini walipo fika kwenye mpando wa luguluni, mama Sophi alizuiwa na gari moja kubwa lililokuwa lina panda taratibu, wakati huo aliwaona wakina Edgar wa kipita pembeni na kupotea machoni kwake, akagonga stering ya gali lake kwa hasira nakusababisha honi ilie kwanguvu sana, “pwaaaa”, lakini aikusaidia kitu
Huku full dose bado yule kijana alikuwa ame tulia pembeni akimtazama mzee Mashaka akimwesbia jinsi ya kumvamia na kumpola lile begi la pesa, alimwona akiendelea kunywa bia huku mala nyingi akiwasiliana kwakutumia simu yake, unajuwa huyu jamaa ni kwanini aliweza kumfailia mzee Mashaka, ni kwasababu jana usiku aliuwa na binti wajana au unaweza kwumwita Queen baada ya kucheza mchezo kwanjia haramu, ndipo walipo anza story katika maongezi yao ndipo Queen alipo anza kujinadi kuwa analelewa na mzee mmoja akielekeza jinsi alivyo pamoja na gali lake, akimsifia kuwa anapesa nyingi sana, kwabahati mbaya yule kijana siku ya pili aka mwona mzee Mashaka, nadipo alipo amua kumfwatilia, ataalipo ingia benk nakutoa fedha nyingi sana, alikuwa anamwona, kiukweli eneo lile watu walikuwa wachache sana akaona bola atumie muda ule kucheza mchezo ambao uta mfanya aibuke na mkwanja, akapiga atua kumsogelea mzee Mashaka ambae alikuwa anaongea na simu “vipi umechukuwa begi .... ok pitiliza huku nyuma kabisa” hapo yule jamaa hakusubiri akate simu, akajifanya ame jikwaa nakuipamia meza yenye bia ya mzee Mashaka, nakwa umakini mkubwa akajifanya kuidaka bia huku akiisokumia kwa mzee Mashaka, da! bia yote ikammwagikia mzee Mashaka, yule kijana akamwona mzee Mashaka akistuka na kunyanyuka kwa haraka ili ile bia hisi endelee kuingia ndani ya nguo zake, “vipi kijana, mbona unatembea kama kipofu?” aling’aka mzee Mashaka
Wakati huo Edgar alikuwa anaingia pale bar ni baada ya kwenda kwenye duka la jilani kununua begi dogo la mgongoni, kama alivyo elekezwa na mzee Mashaka, akimwacha dereva wa boda boda akimsubiri, nandicho ki[pindi ambacho alikuwa amemaliza kuongea na mzee Mashaka lakini kabla simu aijakatwa akasikia kama kuna kitu kime vurugwa kwakupitia simu yake, kisha akasikia mzee Mashaka akifoka, nasauti nyingine ika jibu, “we pumbavu unaniita mimi kipofu,?” hapo Edgar akajuwa kuwaa boss wa mpenzi wake hakuwa sehemu salama, akaongeza mwendo kuelekea kule aliko elekezwa, ile anatokea tu! akamwona mzee Mashaka akipigwa ngumi ya sahavuni nakuangukia kwenye kiti ambacho akikumsaidia kilimpeleka chini nakutua kama gunia
Yule kijana aka mfwata na kumwongezea ngumi ya usoni, mzee Mashaka akapiga ukelele na kuziba uso wake, naam yule kijana akaona hapo ndipo alipo kuwa anapataka , kilicho baki ni kukusanya ule mkoba wa mzee mashaaka ambao alikuwa ameuweka chini kisha kuondoka maana mzee Mashaa alikuwa bado ame jiziba uso akisikilizia maumivu, yule kijana akaina makuchukuwa ule mkoba, lakini kabla hajaunyakuwa alishangaa akifyetuliwa miguu yote miwili nakupaa juu, kama mwana salakasi, kisha akajibwaga chini akifikia mgongo, yalifwatia maumiivu mkali sana, kiukweli hakujiandaa kwa tukio litakalo fwata baadaa ya kumshambulia mzee Mashaka, lakini yule kijana akaona lazima apambane ilikujiokoa, ikiwezekana kuondoka na mkwanja, baada ya kusikia kishindo cha mtu akianguka mzee Mashaka akatazama nakumwona yule jamaa alie mtandika akiwa chini anaugulia maumivu
Ile anataka kuinuka tu yle kijana akashuhudia mguu wa Edgar ukija kwa speed usawa wa usowake, akajaribu kuukwepa, lakini alisha chelewa alishuhudia mguu mzima ukitua usoni kwake na kumfanya aone giza jeupe lenye nyota kazaa nyekundu, akajiinua nakutimua mbio akipishana nawatu waliokuwa wakishagalia “piga huyo mshenzi” akatokomea nje, kati ya watu walio sikia kelele nakuja kushuhudia, ni binti wajana, alistuka sana baada ya kumwona yule mwanamume alie kuwa nae jana, ndie aliekuwa ame mvamia mzee Mashaka, hao akajiondoa eneo hilo haraka sana, ktokana na tukio hilo mzee Mashaka akuwa na hamu ya kuendelea kukaa hapo akamkabizi Edgar ule mzigo ambao ulikuwa ndani ya bahasha tatu za kaki, Edgar akaweka kwenye begi alilotoka kununua, kisha akamwongezea laki moja, akimshukuru sana Edgar kwa kumsaidia kumwokoa kwenye mikono ya yule kibaka
Wakati huo mama Sophia kumbe baada ya kuli over take lile gali kubwa aliongeza mwendo akijaribu kuwa fukuzia wakina Edgar lakini hakikuwa bahati yake, mapaka anafika mezi hakumwona Edgar wala ile boda boda, akajishauri bola arudi nyumbani akapumzike pengine aikuwa bahati yake, lakini wakati anajishauri kukata kona ya kuelekea msakuzi, ndipo alipo waona Edgar na yule mwendesha boda boda wanakuja upande wake wakikata kona kuelekea kibamba, akawasha taa za hishala ya kumsimamisha yule oda boda alie mbeba Edgar nayeye akasimama, kwanza kabisa Edgar alishangaa kuona yule boda boda anasimama, lakini akalipo mwona mama Sophia akagundua kwanini amesimama, maana macho yake yalikutana na uso wa mama Sophia ukiwa umechanua kwa tabasamu moja la nguvu, akimwonyesha ishala ya kuwa ashuke nakuingia kwenye gari
Hapo Edgar akatoa not ya Elfu kumi na kumpatia boda boda, yeye aka ingia kwenye gali la mama Sophia, kitendo bila kuchelewa mama Sophia aka mtwanga busu la mdomo Edgar kisha akaendesha gari akikata kona ya kuelekea barabara ya zamani akipishana na gari la mume wake mzee Mashaka, wote wakiwa wameonana, na kupigiana honi, lakini mzee Mashaka akumwona vizuri mtu aliekaa pembeni ya mkewake, nakutokana na kumwamini mkewake akutilia mashaka yoyote, alichoamua ni kuondoka zake kuelekea mitaa ya karibu na nyumbani kwake maana aliona pale full dose, kwa leo apakumfaa, wakati kwa Edgar yeye alikuwa anawaza ni wapi anakopelekwa na huyu mama, kiasi cha kuto kumwona mzee Mashaka wakati wanapisha na mkewake,kwani Edgar alijuwa tu! akuna kingine, yule mama anachoitaji ni dudu! “mh! wataniua hawa watu,” aliwaza peke yake, “nili kumisi sana manangu, yani tokea jana nimeshikwa na nyege mpaka basi” duu! kauli hiyo ilimfanya Edgar aone picha ya kazi iliyopo mbele yake, mama Sophia aliendesha gari moja kwamoja mpaka makuti lodge nakuingiza gali ndani ya ukuta mkubwa wa hotel hiyo, nakuliegesha kwenye maegesho ya hotel hiyo, kisha wakaenda kwenye sehemu ya kupata vinywaji na chakula nakutafuta sehemu nzuri wakakaa, dakika chache muhudumu akaja wakaagiza vinywa vyao na chakula, huku mama Sophi akiomba aitiwe muhudumu wa vyumba
Ilikuwa saa tisa bwana kazole akiwa bado amekaa kwenye kigrocer akitazama nyumba ya baba mkwe wake, ndipo alipo liona gari ndogo la kukodiwa TAXI, likiingia kwa wakwe zake, nakusimama nje ya nyumba yao, ikifwatia na kushuka kwa baba na mama mkwe wake, wakiwa na mafurushi ya vitu ambavyo vilionekana wazi vimenunuliwa toka madukani, “wametowa wapi fedha hawa masikini?” bwana Kazole alijikuta akijawa na chuki ya hali ya juu, zidi ya mafanikio ya wakwe zake akisahau ata fedha ya mahali aliyoitoa kwa mke wake, ni juhudi za mkewake huyo baada ya kuuza mazao ya wakwe zake hao, licha ya hivyo pia ata kupata kwake kazi ya ualimu ambayo anaichezea kutokana na ulevi, alisaidiwa kwa fedha za wakwe hao kulipia chuo cha ualimu, “ngoja nita pata jibu tu! lazima nifanye kitu” aliwa Kazole akiendelea kuwatazama wakwe zake, ambapo sasa alimwona mzee Haule akitoa pochi mfukoni na kuchambua minoti ya elfu kumi kumi, kisha akatoa moja na kumptia yule dereva, ambae alimrudishia elfu tano, kisha gali likaondoka na wazee wale wakaingia ndani, “nitakupata tu wewe mshenzi” alijisemea Kazole akiagiza bia nyingine
Nancy alikuwa amekaa sana nje ya majengo ya chuo, macho yake yakiwa barabarani kumwangalia Joyce anapita nanani, huku mawazo yake yakiwa nilazima atakuwa ni Edgar, “huyu Joyce mshenzi sana, yaani hule upole ni wabule tu!” aliwaza Nancy akiendelea kusubiri, lakini mpaka muda wa darasani ulipofika akumwona Joyce wala Edgar, watu wakaingia darasani nayeye akaingia darasani, masaa yalisogea pasipo kumwona Joyce akirudi darasani, mpaka ilpo timia saa nane akaona bola aende kuwafwata huko huko nyumbani, aliomba luksa ya kwenda kujisaidia kisha aka chomoka na kuelekea nyumbani, alipofika akaenda kwenye mlango wa chumba cha Joyce akasikilizia, akaona kimya akaona hisiwe tabu akajaribu kufungua mlango ukakubari, akaingia ndani kwakunyatia, alipoingia nakutazama kitandani akamwona mwenzie Joyce akiwa ame lala chali miguu kaichanua, akiwa anaoneana wazi kupitiwa na isingizi mzito, Nancy alishuhudia kitumbua cha mwenzie kikiwa kina churuzika zile nanii alizo mwaga Edgar,
Akaenda pale kitandani na kumtikisa kidogo, “wewe Joy wewe amka bwana” Joyce alikulupuka na kujifunika shuka, akiziba sehemu zake nyeti, akatazama pande zote pasipo kumwona Edgar zaidi alimwona Nancy, hakujuwa ameingia saangapi na Edgar ameondoka saangapi, hakujuwa pia kama Nancy alimkuta Edgar mle ndani au la, maana jana tu! ametoka kumweleza juu ya Edgar, na leo ameangukanae kitandani, “Hebu kaoge kwanza ona ulivyo chafuka”
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com