MAMA MWENYE NYUMBA (32)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (32)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI ILIPOISHIA... Hakujuwa pia kama Nancy alimkuta Edgar mle ndani au la, maana jana tu! ametoka kumweleza juu ya Edgar, na leo ameangukanae kitandani, “Hebu kaoge kwanza ona ulivyo chafuka” SASA ENDELEA... Aliongea Nancy, akimwonyesha Joyce usawa wa sehemu zake za siri, ambazo kwa sasa alikuwa amesha ziifadhi, na Joyce aka inuka na kuchukuwa ndoo ya maji kisha akaelekea bafuni, akimwacha Nancy chumbani kwake, “ mh! inamaana amenichungulia?” aliwaza Joyce wakati akiingia bafuni, dakia kumi baadae alikuwa amesha maliza kuoga, akarudi chumbani kwake akamkuta Nancy bado amekaa akionekana mwenye mawazo mengi sana, “hivi Joy saazile ulikuwa na mwanamume gani, humu ndani?” aliuliza Nancy nakumfanya Joyce astuke, “he! we umejuwaje?” kwani siri yani kila alipita koridoni alisikia kwamba unafanya nini, yani ulipigaje kelele” aliongea Nancy nakusubiri jibu la kwamba alikuwa na nani “ni mkaka mmoja hivi wa wa mwaka wa kwanza” ji…