MAMA MWENYE NYUMBA (35)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA THELATHINI NA TANO ILIPOISHIA... Hapo milinga akamsimulia kilicho tokea kama yeye alivyo simuliwana mzee Ngonyani , lakini yalikuwa ni marudio kwa mke wa bwana Kazole, “sasa meambiwa mimi mganga?, akachukue ela alizonywea mipombe zimpeke hospital” SASA ENDELEA... Kiukweli siyo mala moja kwa bwana Milinga kusikia shemeji zake wakikataa kusaidia ndugu zao, lakini leo mzee Haule alikuwa anaitaji msaada, simu ilikuwa imesha katwa, lakini wakti huo huo aliliona gali moja dogo aina ya Toyota lav 4 , likisimama kwenye uwanja wa nyumba ya mzee Haule, akashika mwana dada mrembo Selin , ambae alikuwa ame kuja na habari njema sana kwao, juu ya kuanza ukarabati wa nyumba yao na kufungua mlado utakao wawezesha kujiingizia fedha kwa matumizi ya pale nyumbani, lakini alishangaa kukuta watu wengine watatu tena wote wakiwa na sura za uzuni, alipata jibu baada ya kumwona mzee Haule ambae sasa alibebwa na kuwekwa sebuleni juu ya kochi chakavu, Selina alis…