MAMA MWENYE NYUMBA (36)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (36)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA THELATHINI NA SITA ILIPOISHIA... Kiukweli dada yake Edgar mkubwa hakujuwa aseme nini, zaidi alipoagana na yule mama aka elekea nyumbani kwake nakuingia ndani, akaitoa simu yake na kuanza mawasiliano, kwanza alipiga simu kwa mdogo wake anaye mfwata, “we! mama semeni, hivi una taalifa yoyote ya kule nyumbani,” SASA ENDELEA... Lilikuwa swali la kwanza mala tu baada ya simu kupokelewa, “ipi tena kuna zaidi ya ile ya baba kuumia?” aliuliza mama semeni kwa mstuko mkubwa “hapana, nazani baba ameuza mashamba mpigie mama tatu tukutane, ili tujuwe la kufanya” Taalifa hizo zili samba mpaka kwa bwana kazole , akaduwaa “nimiujiza gani imetembelea kwa huyu mzee” alitaaruki bwana Kazole akipanga kujuwa chanzo cha fedha cha mzee Haule , ikiwezekana na yeye afaidike kupitia mke wake, kumbe mkewake alisha kutana na wadogo zake wawili, kujadiriana kwakile walicho kizani ni kwamba baba yao kauza mashamba na kukarabati nyumba pamoja na kufungua biashara, le…