MAMA MWENYE NYUMBA (37)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA THELATHINI NA SABA ILIPOISHIA... Akapiga simu kwa Suzan kumjulisha kuwa anakaribi a pale ofisini, “hoo jamani Edgar nimetoka, njoo hapa tulipo kula sikuile, kwenye ile bar” SASA ENDELEA... Suzan akiwa na Monica mfanyakazi mpya wale kazini kwao, alikuwa amefika pale Full dose dakika chache zilizo pita, akipishana na gari la mama Sophia, japo akuwa nalo makini sana kutokana na yeye kuwa kwenye gari lake na walipishana mbali mbali wakizuiwa na magari mengine yaliyo kuwa kwenye foleni, leo aliondoka na gari tofauti na siku zote akiwa na lengo la kuondoke pale kwenda nyumbani ukizingatia ni nusu siku kwa wafanya kazi wa benk hivyo mala kumaliza kula mda utakuwa umekwisha, sasa wakati anatoka Monica akaomba lifti, nayeye alikuwa na safari ya kwenda kwenye lunch, kiukweli tokea Monica aingie nakuanza kazi pale benk kwenye kitengo cha keshia Watu wengi sana walimtolea macho kutokana na uzuri wake uliopambwa kwa uzuei wa sura pia rangi yake ya…