MTAA WA TATU (34)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (34)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA THELATHINI NA NNE ILIPOISHIA... “Mkamateni huyo Dada ndio kauwa" ikawa kila anaemshika anapokea ngumi vifuti mateke viwiko yani bibiye alitembeza kichapo mpaka wananchi wakajuta kumshika NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... “vipi kaka mbona unatoka mbio huko utokako kuna nini? Mariam akamdaka kijana mmoja aliyekuwa anakimbia huku damu zikimtoka kichwani. “msiende huko kuna muuwaji wakike anapiga kila atakayetaka kumshika ni hatari huyo. Kijana akachomoka kutoka mikononi kwa Mariam na kuendelea kutimua mbio, Benjamin akawaambia “achaneni nae twendeni hiyo sehemu kwa mwendo wa haraka wakaongozana, Wakati huo bibiye Yusra umati umez…