MTAA WA TATU (35)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (35)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA THELATHINI NA TANO ILIPOISHIA... Hafidhi akashuka na kumfata “Kassim" Kessy akashtuka kuitwa jina lake ikabidi ageuke kumtizama huyo anaemwita Ni nani. NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Akashtuka zaidi baada kugunduwa anaemwita ni mbaya wake kwa wakati huo mkono wake mmoja ni mbovu, ikabidi awe mpole tu, akajichekesha “ohoo kaka mkubwa naona leo uko huku vipi tena"... “sikia nikwambie kitu Kassim siku zote sinaga muda wa kuongea sana Ukiwa kama ndugu yangu naomba unijibu hiki nitakachokuuliza Je huyu mzee unamfahamu?" Hafidhi akauliza swali huku akimpatia simu Kessy sema Hafidhi anamwita Kassim. Nae akaipokea na kuitizama…