MTAA WA TATU (36)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA THELATHINI NA SITA ILIPOISHIA... Yalikuwa maneno ya Gadhabu kutoka kwa bibiye Yusra binafsi muuwaji Anatia hasira vibaya mno yani ndani ya dojo hilo kauwa watu ishillini na nne si kitu kidogo hiki. Ndugu jamaa na marafiki waliweza kufika eneo la tukio waweze kuitambuwa miili ya ndugu zao NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Vilio vilitawala kwa wale walioweza kushuhudia miili ya ndugu zao. “nilikwambia mimi Tuwa kuwa kujifunza mapambano si kitu kizuri sasa umeona eheee Washakufanya ulale embu amka sasa!" zilikuwa kelele kutoka kwa mama yake Tuwa akitaka mwanae amke kutoka usingizini ni usingizi wa kifo. kijana Tuwa hakuweza hata k…