MTAA WA TATU (37)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA THELATHINI NA SABA ILIPOISHIA... Akiwa ndani ya gari ghafla kwenye siti ya pembeni kukaanza kufuka moshi kwanza alishtuka tena akashtuka zaidi baada kutokezewa na kiumbe chenye sura ya baba yake yani Mzee J Ikram NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Akafunga breaki ya gari ajabu gari haikuweza kusimama mwanaume akatamani hata kuruka sema mlango wa gari haukufunguka wala vioo kila kitu kilijilock, “Hafidhi kijana wangu embu punguza presha tambuwa kitu kimoja mimi ndio Baba yako wa ukweli ndio ninae tumia nguvu zangu na maarifa yangu siku zote kukulinda wewe popote ulipo nimeweza kuifanya sura yako isiweze kutambulika mbele ya wabaya wak…