MTAA WA TATU (38)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (38)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA THELATHINI NA NANE ILIPOISHIA... Zay alianza kumchokoza Salma “Zay tuheshimiane ohoo mbona usemi buti lake kama ngozi ya kikwapa chako mifuko ya shati lake imeshuka kama kitumbuwa chako"..... NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... “Ohoo bibiye inatosha mimi nimekutania mawili tu wewe unataka kuchambuwa kila kitu kiwe mwili wangu"... “ahaa kunya anye kuku akinya bata kaharisha nenda zako huko Basi kila mmoja akanyamaza Hatimae kesho yake asubuhi ikafika Salma akaleta chai ikatupwa huku Wanajeshi wakisema Muuwaji kama huyo hastahili kula chochote “nani kasema mwanangu asile? Mbuzi gani kasema hivyo nauliza nijibuni haraka nani kamwag…