MTAA WA TATU (39)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA THELATHINI NA TISA ILIPOISHIA... Kwa upande wake Hafidhi hata yeye akabaki kujiuliza maswali inamaana kikundi cha watu wale hawamuoni au wanafanya makusudi tu, akaona isiwe shida wacha aondoke zake, safari yake ikampeleka mpaka Mbagala rangi tatu akafanya manunuzi ya vitu NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Kama vile kitanda masofa godoro na baadhi ya vitu akakodi gari ya mizigo na kuelekea kwenye makazi yake mapya kwa bahati nzuri akaweza kupata vijana wakamsaidia kushusha vitu na kumuingizia ndani akafanya malipo kati ya vijana hao mmoja ndio akabaki kumsaidia kufunga kitanda. Na kupanga vitu hapa na pale, “karibu sana ndugu yangu…