MTAA WA TATU (40)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (40)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA AROBAINI ILIPOISHIA... Kwa upande wa bibiye Vivian aliweza kutambuwa kipenzi chake kachukia kuhusu lile swala akajaribu kumpigia simu ikajibiwa haipatikani akaona sio mbaya akiacha ujumbe wa kuomba msamaha. Aliandika hivi “nafahamu ni kwakiasi gani umechukia kipenzi changu tafadhali baby nisamehe niliingiwa na hofu kuhusu mwanetu wala sio mimi kama kweli umenisamehe ujibu ujumbe huu’’ NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Ilikuwa siku ya Desember 1 siku hiyo kulikuwa na maadhimisho ya miaka 53 tokea Tanzania ipate uhuru wake kutoka kwa wakoroni. Watu wengi sana kutoka mikoani na nnje ya nchi waliweza kufika ndani ya uwanja wa taifa. Wa…