MTAA WA TATU (41)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA ILIPOISHIA... Hafidhi akaushika mpini wakisu kile na kukichomoa akakifuta damu kupitia nguo za Patrick kwa wakati huo roho yake Ishaenda kwa Mungu baba baada kufanya mauwaji mwanaume bila kuwa na wasiwasi wowote akasogelea sehemu ya Mabegi yalikuwa kama mabegi sita hivi NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Sema yeye akachukuwa moja na kuondoka nalo, Akiwa hatua kadhaa baada kutoka nnje ya uwanja ule akapishana na kijana vijana kama wawili wakiwa na pikipiki sema hakutaka kuwajali sana akaishia zake, Kati ya wale vijana wawili mmoja alikuwa yule Shooter aliyefanya mauwaji kule Uwanja wa taifa kwa kumuuwa bibiye Yusra na…