MZOA TAKA (9)

0

JINA: MZOA TAKA
Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA TISA
Nikafikia hatua ya kukufuru kwa kulaani kwa nini nimezaliwa
Nimeletwa duniani kuja kuteseka why?
Mpaka kufikia hapo story ya Bibi ikanitoa machozi nikampa pole kwa mitihani aliyo pitia.

SASA ENDELEA...
Akaniambia
“Salumu nilikwambia usilie maana ukilia nitashindwa kuendelea kingine jikaze wewe ni Mwanaume!"
“Sawa Bibi nitajikaza sitolia tena!"
Akatabasamu japo kwa kulazimisha akaendelea kusimulia
Usiku ulikuwa mkubwa sana Kawe nzima ilikuwa kimya nikaenda kumgongea mmoja kati ya Mashoga zangu anayeitwa Sikitu baada kumgongea kwa muda

akaitikia na kuuliza wewe nani?
Baada kumjibu akawasha taa na kuja kunifungulia mlango nikaingia ndani na begi langu
Hakutaka kuniuliza kitu kwakuwa ilikuwa usiku tukalala ila Mimi sikupata hata lepe la usingizi

Usiku kucha nikawa nawaza na kuwazua kuhusu mustakabari mzima wa maisha yangu. Nikajikuta mchozi ukinitoka,
Asubuhi kulipokucha
Sikitu ikabidi aniulize

“Ehee vipi tena shost kunijia Usiku usiku na mabegi?"

Sikuwa na jibu la kumpa zaidi ya kuinamisha kichwa changu chini. Mchozi sijui macho yangu hayana komeo au vipi nikajikuta nalia.
Sikitu akanibembeleza na kuniambia
sikuwa na jinsi zaidi ya kumsimuliza kila kitu,
Sikitu akabaki kusikitika tu, na kusema
“pole sana Asma hakika utaishi hapa pamoja nami
japokuwa maisha yangu ni magumu sana tutajisogeza tu hivyo
hivyo.
Tukipata tutakula tukikosa tutalala"
Sikuweza kuamini nikamkumbatia
Shogaangu huku nikijifuta machozi.
Salumu usione nimechakaa hivi
mpaka unaniita bibi,
Hapana mimi ni sawa na umri wa
Mzazi wako au mama yako mdogo.
Siku zote yaache maisha yaitwe maisha, leo
hii msichana wa kijijini akitembea pamoja na
Binti wa mjini yule mwenye kujipiga
sijui madudu gani wenyewe wanaita"...
Nikamtajia

“Wanaita Mockup,
“ehee ndio hayo basi hata kama binti wa mjini atakuwa na umri mkubwa ataonekana mdogo.
Wakijijini ataitwa bibi yote sababu ya kutopata matunzo bora,
Salumu nikuulize kitu?"

“ndio bibi niulize".......
“hivi Mama yako mpaka sasa yupo hai nakama yupo hai ana umri gani?"
Nikamjibu
“mpaka sasa mama anamiaka 42
Tu"
Bibi akatabasamu na kuniambia
“hakika mama yako nimempita miaka sita tu
Salumu ni haki yako kuniita bibi,
Binafsi story hii nitakusimulia kila kitu kuhusu maisha yangu
sitoweza kukuficha chochote kile Nina hakika wewe ni mtu mzima sasa.
Unaejuwa baya na zuri"..........

“basi Asma shogaangu nyamaza usilie piga moyo konde Mimi nipo Tayari kuwa pamoja nawe bega kwa bega. Niambie nini tatizo"..
Nilijisikia faraja sana kuwa na rafiki kama Sikitu alikuwa ni zaidi ya ndugu kwangu niliweza kuishi hapo kwao japokuwa katika swala la kupata chakula

lilikuwa shida sana kusema kweli Sikitu hakuwa na kazi yoyote ile yenye kumuingizia kipato.
Nahiyo nyumba wameachiwa kama urithi tu na marehemu Baba yao
Sikitu ana wadogo zake wawili wote wakike ni vibinti vikubwa tu kama Mimi kipindi hiko.
Kutokana na maisha kuwa magumu nikajikuta nadondokea mikononi mwa muuza chipsi
Sikujuwa kama ananidanganya ili mladi aweze kunitumia tu.
Aliponiambia ananipenda nikajikuta namkubali bila kipingamizi siku zote penzi linapochipukia basi yanakuwa motomoto
lakini mwisho wa siku linafifia taratibu kama mshumaa unaokwisha vile.
Kijana yule anaekwenda
kwa jina la Swedi akanilazimisha nitoe mimba kwa kisingizio cha kutaka
kuniowa hakika nikapinga
kufanya kitendo cha kinyama kama hiko
Salumu mjukuu wangu kuna matukio mengi yenye kuumiza na kusikitisha
Katika dunia hii
Yenye kutawaliwa na mambo ya kishezi unyama siku hiyo katika mtaa wetu kulikuwa na Mnanda sio sijui vigodoro kama hizi zama zenu
sie enzi hizo tulikuwa tunacheza mnanda mchiriku vanga mdundiko.
basi nikaenda kuangalia tu sikuweza kucheza sababu ya ukubwa wa tumbo langu.
Tokea nashika mimba mpaka wakati huo sikuwai kuijua krinik hakika
Mungu pekee ndie aliyekuwa akinipigania.
Nikiwa na shogaangu Sikitu na wengineo kila mmoja akaonyesha ujuzi wa kuzungusha kiuno katika
kibao kata ulizungushwa mduara hivi
nilitamani namie nicheze nikashindwa ghafla nikaja kushikwa mkono na kibwana changu Swedi
akanivutia pembeni na kuniomba nikampe dawa maana anajisikia hamu.
Nikamkatalia kwa kumwambia
“hivi wewe Mwanaume wa aina gani usiejali hali ya mwenzio ikoje kwanza siwezi kukupa usije kumtoboa mwanangu utosini bure meana ukipewa unafanya

kwa sifa embu niache!"
Swedi hakutaka kuniachia.
“Asma mpenzi ujuwe mwenzako nyege zimenizidia nakuahidi nitafanya
taratibu sitoingiza yote
twende basi baby afu kesho uje nyumbani kuchukuwa ule mzigo!"
Mmh nikacheka
Baada bibi kutaja kitu Nyege
Hahaha
“unacheka nitaacha kusimulia Ohio!"

“haya basi bibi endelea"
Akaendelea
Nikajikuta nalainika kwa maneno ya Swedi
japo nikakana kauli yake ya kutoingiza yote sababu bunduki yake
haina masikio au mapembe kusema ataingiza mwisho wa kikomeo.
Basi tukaingia kwenye mjumba fulani hivi ambao ulikuwa katika matengenezo haikuitaji maandalizi
Swedi akanivamia na kunivua nguo yangu ya ndani. Na kuniingilia binafsi alikuwa anafanya kwa hasira baada raha nikahisi karaha
Maumivu nikayasikia ila nilivumilia ili kumlizisha mpenzi wangu
Hatimae akamaliza huku akihema akaniambia hasante sana baby akanikiss kisha akapiga mruzi nikamkataza asipige mruzi Usiku ule.
Anaweza kuita majini.
Ghafla nikastukia vijana wakiume kama 8 hivi wakiingia ndani mjumba ule hakika nilistuka sana nikijua tumevamiwa. Nikamuona Swedi akipeana nao salamu

hapo hofu ikanishuka baada kugundua kumbe mpenzi wangu anajuana nao.
Mmoja kati ya wale vijana akauliza
“Demu mwenyewe ndio huyu boss?"

Swedi akajibu
“ndio yeye ninachohitaji kazi ifanyike kimyakimya!"
Kengere ya hatari ikagonga kichwani kwangu Swedi akatoa pesa na kumkabizi yule kijana aliyeuliza swali.
Asma Mimi nikavamiwa na kuanza kushikwa shikwa kwenye maungo yangu nikavuliwa gauni langu nikajitahidi kupiga kelele nikashindwa baada kuzibwa

mdomo
Nikalazwa chini na kuanza kuingiliwa kwa zamu Giza totoro likatanda kwenye upeo wa macho yangu sikujuwa kilichoendelea.
Nilikuwa nimepoteza fahamu.
yani kupoteza fahamu ilikuwa kama hobi yangu.
Nikaja kustuka na kujikuta nipo kitandani huku nikiwa na maumivu kila mahari nikaitaji kujiinua nikashindwa nikasikia sauti ya shogaangu
Sikitu akija mbiombio huku akiita Nesi!!!
nesi!!! akaja hadi kitandani na kuniuliza
“Asma umzima Dada yangu?"
Kwa macho ya kivivu nilimtazama Sikitu machozi yakaanza kunichuruzika na kurowanisha shuka.
Ajabu nikajishangaa sina mimba tena
Nikaitaji kumuuliza Sikitu ila.doctor akaingia akiwa na kitoto kichanga mkononi kwa uso wa bashasha na tabasamu zito akaniambia

“ongera Binti kwa kujifungua mtoto wakiume"
Nilifurahi sana nikajisikia faraja kwa kuweza kupata ndugu ni kweli mwanangu ni kama ndugu ni mtoto wakiume nikampa jina la Wahidu yani ni mmoja tu!"
Nikatoka hospitali kila aliyeniona mtaani wakati narudi kutoka hospitali alikuja kunipa pole wakiambatana na zawadi za hapa na pale.
Kama Neema ya Mungu basi Wahidu alikuja nayo kumbuka baada ya ziki faraja, kuna Mwanaume wa kiarabu akajitokeza na kuitaji kuniowa
Alikuwa yupo Tayari kulea mtoto asiekuwa wake.
Sikutaka kudenguwa maisha yenyewe yako wapi nikakubali nikaolewa
hakika Mwanaume yule alikuwa na pesa kama tipa la mchanga.
kila nilichokitaka Asma nilikipata
Wahidu mwanangu akatimiza mwaka mmoja na nusu nikaweza kushika mimba ya bwana Tariq ndio Mume wangu hatimae nikaja kujifungua watoto mapacha
Wakike na kiume kutokana na Furaha aliyokuwa nayo Mume wangu akaanda bonge la sherehe
Watu walikula na kusaza nikiwa katikati ya sherehe nikajikuta nashikwa makalio yangu kwa nyuma. Kwanza nikastaajabu nani huyu anayenishika hivi"......
Maana hata Mume wangu hana tabia hiyo. Kugeuka dahaa kumbe ni Swedi
Mwanaume aliyenitendea unyama wa ajabu yani nikabakwa na Wanaume nane hasira. Zikanishika
Na kujikuta nachukuwa kisu kidogo hivi. Kwa nguvu zote nikamchoma nacho shingoni.
Hakutegema mimi kufanya vile
kuna kitu alitaka kuongea akashindwa Asma nikajikuta nauwa
mbele ya umati wawatu
Siku zote hasira hasara nikakamatwa japokuwa Mume wangu alitumia kila mbinu kwa kuhonga pesa ila mwisho wa siku nikahukumiwa kunyongwa!"
Nikashituka na kumuuliza Bibi ulihukumiwa kunyongwa tena?"

“ndio nilihukumiwa kunyongwa
Mwanangu Wahidu alilia sana kunililia Mama yake. Ndani ya mahakama ya kisutu nikavishwa pingu safari ya kwenda segerea
ikaanza ukungu mzito ulitanda
kwenye macho yangu machozi yalinijaa nikainua uso wangu kuangalia
Mbinguni japo niongee
na Mwenyezi Mungu nimuulize kosa gani nimetenda mpaka nakutana na mitihani kama hii.
Asma nikafikishwa gerezani na
kutupwa jela nikakutana na wafungwa
waliopinda na kuchoka na maisha.
Hakika nikafanyiwa vitendo vya ajabu ajabu kwa kushikwa shikwa kimapenzi
na Wanawake wenzangu
nikagombewa kama mpira wakona
kila mmoja akitaka niwe mke wake.
Salumu usiombe kupelekwa
jela ni zaidi ya jahannam
kunatisha vibaya mno.
“Sasa Bibi kama ulihukumiwa kunyongwa imekuwaje leo hii upo hai
wakati mtu akinyongwa anakufa au walikosea kukunyonga nini?"
Lile swali likamfanya Bibi atabasamu kabla ya kujibu.

“Sijui tuseme muujiza au vipi nakumbuka nikiwa bado gerezani nangojea siku ya hukumu yangu kuna tukio moja lilitokea Usiku
baada sero niliyokuwepo Mimi kuwaka moto basi gereza zima
wakapiga kelele za moto.....moto.....
Askari jela wakaja haraka haraka na kuanza jitihada za kuuzima moto ule pasipo kufahamu chanzo chake ni nini.
Basi baadhi ya wafungwa tukaitumia
nafasi hiyo kutoroka
ndani ya gereza....
Baada kutoroka gerezani tulikimbia kutoka kwenye ile ngome nzito huku tukikimbizwa na Askari jela. Wakiwa wameongozana na Mbwa.
Hakika sikuweza kukata tamaa nilikimbia kwa juhudi zangu zote.
Baazi yetu tukaweza kuruka fensi ila wengine
wakaishia kukamatwa
Tulitoroka Wasichana kama kumi hivi ila sita wakanaswa tukabaki wanne
Tukiwa hatujui wapi tunapokwenda mmoja wetu akasimama huku akisema
Subirini kwanza ikatubidi wote tusimame.
Na kumtizama yeye kila mmoja akihema.
Akasema
“hivi naona tunakimbia tu pasipo kufahamu wapi tunakwenda!"
Hakuna aliyejibu kitu tukabaki kimya tu.
Akaendelea kusema
“Unajuwa kwa sasa Usiku umekuwa mkubwa sana mi naona tufanye jambo moja tu ili tuweze kupata usafiri utakao weza kutuondoa eneo hili!"
Nikamuuliza jambo gani hilo?"
Akanijibu ya kwamba
“Kwakuwa sie wote ni Wanawake kwanini tusijifanye kama vile Machangudoa yani tunajiuza ili tuweze kuiteka gari ya Mwanaume yeyote yule atakayejifanya ni

Mkwale!"
Kila mmoja akamtizama mwenzake tukaafikiana kufanya hivyo. Tatizo likaja kwenye mavazi yetu ya kifungwa nikajikuta naambiwa Mimi ndio niwe kama chambo.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA KUMI

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)