TUPEANE (22)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
Nikiwa tayali nishaingiza muwa wangu kwenye mpododo wa mke wa mwenyekiti yeye alionekana ni mzoefu katika mabo haya, sauti ya kicheko ikasikika kwa nnje bila shaka atakuwa ni Nipe nikupe nikatoka nnje speed ni kweli nimuonaye mbele yangu ni huyu boyaSASA ENDELEA...
“Ha!ha!ha!ha!
kijana naona unafanya mambo kwa hasira sio busara yani unadiliki kumuingilia kimwili Mama mkwe wako kweli!"
sikutaka kumjibu kitu zaidi ya kufutuka na kombora moja tu likaenda kumpata sehemu za mbavu na kurushwa hewani nikaruka kwenda juu kumuwai kabla hajatua nikamtandika kifuti na kuja nae hadi chini akapotea na kuacha damu zake tu zilizo mwagika baada kumshambulia kwa kustukiza nikarudi ndani na kuwakuta wale wachawi wananingojea kwa shauku maana walikuwa kama vile kuku wakizungu mwenzao anachinjwa hapo wao hata kukimbia hawawezi mke wa mwenyekiti akiwa kabong'oa vile vile nikamfata na kuendeleza gemu akawa anazungusha kiuno balaa, baada kumaliza mtanange na mke wa mwenyekiti nikawatoa nnje kasoro mama mkwe tu usiku kucha nakula kiboga chake usiulize nguvu nilitoa wapi ni magic wall ndio niliyotumia usingizi nao ukanipitia nikaja kustuka baada kusikia kelele za watu “jamani!!! wachawi huku wamenasa!"
watu asubuhi ile walikuwa wakijindaa kwenda mashambani wakaja kujazana nyumbani kwa kina Veronica,
“hii jamani huyu si mke wa mwenyekiti Mama Mbwana?"
“ndio yeye kwani kinacho kushangaza hasa nini siku zote huwezi kumjuwa mchawi kama wewe mwenyewe sio mchawi ndio huyu sasa yani kipindi kile alikuwa mstari wa mbele kutaka Biti manjawila achomwe moto kumbe yee mwenyewe ndio walewale!"
ikawa aibu kubwa kwa wachawi wale tena kukutwa uchi wa mnyama “ehee umenikumbusha kitu na yule pale ndio alimtandika bakora za maana mama wawatu siku ile!"
“unajuwa nini kaka kuna usemi unasema hivi ukiona mwenzio ananyolewa basi nawe jiandae kutia kichwa chako maji nazani hawa kina Mama washatia maji vichwa vyao kilicho baki hapa ni kuwatia moto tu!"
kila dakika iliyo songa mbele wanakijiji wakazidi kujazana na kuanza kuwatandika bakora za maana na kuwapeleka sehemu wanayo iita machinjio ya wachawi,
Mama yake Veronica akawa anatetemeka huku mchozi ukimtoka na kuniomba nisimtoe “tafadhali baba usinitoe nnje nikiwa hivi nitakufa mie!"
“kumbe unaogopa kufa sio je wewe mwenyewe umeuwa na kuwapoteza watu wangapi mpaka sasa?"
“ni wengi mno!"
“kumbe umeuwa na kuwapoteza kwa kuwatesa watu wengi mno kwanini na wewe usife?"
“hapana baba usifanye hivyo nipo tayali kukupa chochote kile utakacho kihitaji kutoka kwangu, akanipigia magoti kabisa nikapiga moyo konde kwa kumwambia “oky nimekusamehe iwapo tu ukiwa teyali kuacha uchawi na kunitajia wanachama wenu wote niweze kumfatilia mmoja baada mwingine!"
“ahaa sawa niko tayali kwa kila kitu!" nikamwambia avae mavazi yake na atoke nnje ajifanye kama sio yeye vile, nikamuamsha Veronica akastuka kwa kunikumbatia huku akiongea “naogopaa!"
naogopaa!"
“unaogopa nini baby?" hakuweza kuniambia kile anacho kiogopa basi tukatoka nnje na kwenda huko machinjioni wakati napiga hatua kazaa nikastuka baada kusikia sauti ya kaka ikisema “dogo ushaota mabembe sio yani unafanya vitu visivyo sahihi kabisa!" nikageuka kucheki sauti ilipo tokea sikuweza kuona mtu kabisa, akaendelea kusema “kumbuka wewe ni mtetezi na wala sio muuwaji ila ushauwa mtu mmoja hukutosheka unaitaji kuuwa na hao!" “kaka!!! uko wapi kwani na yupi niliyemuuwa?"
“huwezi kuniona kwa sasa tambua ya kwamba yule uliye muacha mbagara kwenye bajaji kashauwawa kwa kutiwa moto palepale ila muuwaji ni wewe na hao watu watatu wakifa muuwaji ni wewe!" baada kusema vile kaka akacheka sana “ha!ha!ha!ha! itabidi dogo ukae pembeni nije kusafisha dunia mwenyewe yani hufai kabisa!"
yale maneno ya kaka yakanichanganya kabisa kwa kuniambia mimi muuwaji nikajiambia moyoni nitafanya juu chini kuwaokoa wachawi hawa kwenye mikono ya wananchi wenye hasira kali
tukaweza kufika eneo la tukio na kukuta tayali wamefungiwa sehemu husika kwa kutiwa moto
kuna baazi ya watu wakawa wanalia kuwalilia ndugu zao
nilicho kifanya ni kwenda kusimama mbele ya watuhumiwa na kusema “hakuna mtu yeyote kuuwawa hii adhabu sio sahihi kabisa!"
nikastukia napigwa na jiwe moja tu la kichwa nikayumba na kwenda chini huku watu wakipaza sauti “huyo nae mchawi!!! nikajikuta nashikwa na kuanza kushambuliwa kwa bakora ila nikapiga mruzi kilocho tokea hapo kila mmoja alijuta kwa nini kafika eneo hilo
yani mzinga wa nyuki sijui walitokea wapi wakavamia eneo lile kawaida ya nyuki ukilala chini akufati ila hawa walikuwa tou much hata uzame shimoni unao ambao hawakung'atwa ni mama mkwe Veronica na waliofungwa pamoja nami
Veronica akaja kunifungua mimi na mie nikaenda kuwafungulia wale wengine nikarudi nyumbani kwa bibi ajabu kabla sijafika nikaweza kuisikia sauti ya Mama akisema “binafsi mwanangu kwa sasa hawezi kuja huku tena!"
Bibi akadakia kwa kusema “mwanao gani unaye mzungumzia hawezi kuja huku tena?"
“si Hafidhi naitaji kwanza asome maana jana tu karudi kutoka shule akiwa na furaha baada kushika number moja katika mtihani wa mathematics!"
“mmh Rehema mwanangu nahisi ushaanza kuchanganyikiwa si bure Hafidhi gani unae mzungumzia wewe wakati Hafidhi yupo hapa wiki ya tatu sasa hii!"
“Mama acha masikhara bwana yani Hafidhi si yupo mjini jana tu ndio kanisindikiza hadi stendi na kusema msalimie mke wangu huko pamoja na Ankor wake Mwichande sasa unavyo sema Hafidhi yupo hapa unataka kusema mzimu au?"
“mi sijui kwakuwa wote tuna macho na masikio subili akirudi utamuona tu!"
nikabaki kujiuliza ina maana siku niliyo toroka nyumbani na kuja huku kumbe kuna mtu amekaimu nafasi yangu sio! je ni nani?"
sauti ya kaka ikaniambia “usishangae sana kijana siku zote fikili kabla ya kutenda ile siku uliyo toroka mama angegundua basi angeweza kupoteza maisha kwa mstuko, sasa basi hutakiwi kujitokeza hapo tafuta mbinu ya kuondoka urudi mjini haraka sana!"
“sasa kaka nitaondokaje wakati Nipe nikupe sijamalizana nae?" “hahaha kumbe hofu yako Nipe nikupe piga mruzi faster!!! nikapiga
pale pale nikabadirika na kuwa mwanamke mrembo, “khaa! kaka ndio nini sasa nimekuwa wa kike?"
“kuwa mpore bwana mdogo hilo ndio umbo lako utakalo ishi nalo mpaka siku Mama atakayo rudi mjini!"
nikapiga ukelele hapanaaaa!!!
mzimu au?"
“mi sijui kwakuwa wote tuna macho na masikio subili akirudi utamuona tu!"
nikabaki kujiuliza ina maana siku niliyo toroka nyumbani na kuja huku kumbe kuna mtu amekaimu nafasi yangu sio! je ni nani?"
sauti ya kaka ikaniambia “usishangae sana kijana siku zote fikili kabla ya kutenda ile siku uliyo toroka mama angegundua basi angeweza kupoteza maisha kwa mstuko, sasa basi hutakiwi kujitokeza hapo tafuta mbinu ya kuondoka urudi mjini haraka sana!"
“sasa kaka nitaondokaje wakati Nipe nikupe sijamalizana nae?" “hahaha kumbe hofu yako Nipe nikupe piga mruzi faster!!! nikapiga
pale pale nikabadirika na kuwa mwanamke mrembo, “khaa! kaka ndio nini sasa nimekuwa wa kike?"
“kuwa mpore bwana mdogo hilo ndio umbo lako utakalo ishi nalo mpaka siku Mama atakayo rudi mjini!"
nikapiga ukelele hapanaaaa!!!
SONGA NAYO SASA
Sikuweza kujuwa wala kufahamu kwa nini Kaka kaitaji mimi niwe vile yani mwanamke, sio siri nilidata vibaya sana huku nikijiuliza nitaishi vipi nyumbani kwa bibi katika umbile lile la kike,
ajabu sehemu zangu za siri zilikuwa zipo vile vile vile yani Dudu ninalo ina maana Kaka kanigeuza Shemale hii ni hatari sana, nikaondoka nyumbani kwa bibi nikiwa bado sijui wapi nakwenda, “psiii mambo vipi mrembo?"
kwa mara ya kwanza nasikia naitwa mrembo si handsome tena ilikuwa sauti ya kijana mmoja hivi akiwa kabeba begi lake dogo nikajuwa bila shaka amekuja kutoka town, “naona binti nakusalimia hutaki kuitikia sio kumbuka salamu haitii mimba!" binafsi yale maneno yake yakazidi kunitia hasira vibaya mno, nikahisi harufu ya damu tu, “oky binti naona umesimama tu hujibu kitu chochote wenzako nikija huku bush wananigombea handsome kama mimi nahisi wewe mgeni ehee?"
wakati anaongea hivyo kwa mbwembwe mkono wake usiokuwa na adabu ukatua kifuani kwangu na kunitomasa titi langu la kushoto nikastuka baada hisia flani kunijia hivi, nikatamani aendelee kunitomasa tu maana kila anavyo nitomasa tomasa basi dudu langu linatuna vibaya mno nikavuta hisia mbele yangu yupo Veronica nikaitaji kitumbua tu wakati huyu wambele yangu hana hiko kitu zaidi ya mpododo tu nikaitaji kuifunza jamii hasa wanaume wakwale wanao penda kudandia dandia wanawake wa kila aina sasa mimi ni Shemale yangu inatia mimba pia, yule kijana baada kuona nimekuwa mpore nikimuacha anishike shike tu vile anavyo taka yeye akanivutia kichakani, kwa pupa aliyokuwa nayo akalitoa dudu lake ajabu hakuweza kusimamisha akabaki kujishangaa tu nilicho kifanya kwake ni aibu kusimulia nikaondoka kichakani na kumuacha akiwa hajiwezi kwa lolote maana alijinyea kabisa,
nikiwa bado narandaranda kijijini nikatokezea kwenye nyumba moja wapo hivi nikamkuta bibi mmoja akiwa anatwanga mtama lakini nguvu hakuwa nazo kabisa, nikamuamkia “shikamoo Bibi!"
akaacha kutwanga kisha akaniangalia na kuitikia salamu yangu “marhabaa binti vipi hujambo?" “sijambo bibi sijui wewe tu!"
“mie sijambo sijui nikusaidie nini mjukuu wangu?"
ilibidi nitunge uwongo ya kwamba nimekuja hapo kijijini na shogaangu flani hivi tukitokea nyumbani kwetu Nachingwea ajabu ndugu zake shogaangu wakanitimua nirudi nyumbani kwetu wakati nauli sina, nilizungumza hayo huku nikilia basi yule bibi akanionea huruma akaja kunishika na kuniambia “usilie mjukuu wangu binafsi utaishi hapa kwangu mpaka siku itakayo patikana nauli na uweze kurudi kwenu ila leo utalala hapa kesho nitakupeleka kwa rafiki yangu kukuombea hifadhi umesikia mtoto mzuri ehee?"
nikaitikia huku niki furahi moyoni binafsi sikujuwa ninge lala wapi leo,
nikamsaidia kutwanga mwisho akaenda kusaga ili upatikane mchele usiku familia iliongezeka akaweza kunitambulisha kila mmoja aliweza kunisifia kwa jinsi nilivyokuwa mrembo hatimae usiku ukapita bibi yule akanichukuwa moja kwa moja mpaka kwa rafiki yake kwanza nikashangaa nikajikuta naganda nishindwe kutembea kumbe rafiki yake mwenyewe ni Bibi yangu, yani kama kuku aliyekata kamba leo hii anarudishwa nyumbani kwao,
“vipi tena binti yangu twende sehemu yenyewe tushafika!" ilinibidi niende japo shingo upande tu,
“whao shost wangu huyo vipi tena naona Asubuhi yote hii umeongozana binti mrembo za wapi tena mwenzangu?"
yalikuwa maneno ya bibi yangu akimwambia yule bibi niliyekuja nae
KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni