Notifications
  • MWALIMU MKUU (3)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TATUILIPOISHIA...chausiku alishangaa kuziona zile sale “JAMANI NANI KAKUPA MWANANGUU??!!”aliuliza chausiku kwa mshangao“Kaka juma”alijibu ramekiIKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“Oooh juma jamani mungu akubariki ooooh asante mungu”alitamka mama rameck uku akinua mikono juuRameck alizijalibu zile nguo hakika alipendeza sana adi mama ake alimfagilia kwa vigeregere “jamani juma mungu akuwekee…
  • MWALIMU MKUU (2)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA MBILIILIPOISHIA...“MUNGU WANGU YULE SI MZEE ALINANI???!!!”aliuliza chausiku kwa mshangao chausiku alimuangaria mzee alinani ambae amepoteza furaha yake ya kusomaMzee alinani alikuwa anakuja kuangaria bishala zake pale sokoni kwa kina chausiku.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Mzee alinani alistuka kumuona chausiku alikwepesha macho yake kwa aibu alitoka kwenye soko lile, chausiku alimpitia…
  • MWALIMU MKUU (1)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA KWANZA“MAMA USIFE MAMA NITAISHI VP NA HII MIMBA MAMA”ilikuwa ni sauti ya mdada aitwae chausiku akimwambia mama ake asifee bado anamtegemea mama ake na mimba yakee“CHAUSIKU MWANANGU NAJUA MIMI NDIYO TEGEMEZI LAKOO NILIPAMBANA NA KILIMO ILI USOMEE LAKINI UMECHEZEA SHIRINGI CHOONI MWANANGU UMESHIKA MIMBA BADO MWAKA MMOJA TUU UMALIZE LAKINI NDO IVYO MWANANGU MIMBA NDO ISHAINGIA SINA BUDI KUKUFUKUZA INGALI UKO MOYONI MWANGU NAKUPENDA MWANANGU CHAUSIKUU ILA…
  • THE NIGHTMARE (9)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TISAILIPOISHIA...“mmenifananisha, mimi ndio kwanza naigia ofisini mida hii.” Aliongea yule afande na kuigia kituoni.“sasa aliyekuwa anatuhoji ni nani kama sio huyo?”Alijikuta anajiuliza mwenyewe swali lililompa utata mkubwa kichwani mwake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wakati wakiwa hawajui hili wala lile, walishangaa kuona maaskari wakijazana pale na ambulance ikafika…
  • THE NIGHTMARE (8)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NANEILIPOISHIA...Walipofika feri, walipewa nahodha mwingine tofauti na yule aliyemuota na boti ilikuwa ndogo tu ya kawaida tofauti na ile aliyoiota.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Sharji alijikuta anapiga makelele baada ya kumuona Balqis akiwa amejaa damu mdomoni huku ametoa makucha yake akimfata kwa nia ya kumdhuru.“AAAAAAAAAAAGH”Sharji alipiga kelele na kukurupuka.…
  • THE NIGHTMARE (7)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SABAILIPOISHIA...“kha!!!!”Ulikua mshangao mkubwa kwa watu karibu wote baada ya kumuona Sharji akiwa na taulo akitoka chumbani kwa Balqis.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wengine walicheka na kaka yake alionekana kutoifurahia hali ile.“sasa wewe unatutia wasi wasi bure, si ungesema tu kama unaenda kulala kwa huyu dada?” aliongea kaka yake na kukirudia kile chumba alichompangia…
  • THE NIGHTMARE (6)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SITAILIPOISHIA...“toa loud speaker bwana.”Aliongea Balqis baada ya Sharji kubonyeza kitufe cha kupaza sauti.“kwanini hutaki nisikie maongezi yenu?” aliongea Karimu kwa sauti ya ukali kidogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwani kuna ubaya mimi nikiongea private na mdogo wako?” alijibu Balqis baada ya kuisikia sauti ya Karimu.“hakuna ubaya.” Alijibu Karim kwa sauti ya…
  • THE NIGHTMARE (5)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TANOILIPOISHIA...Alijikuta outomatic akijisemea kwa mshangao baada ya kumuona dada mmoja mrembo mwenye asili ya kiarabu akiingia mule ndani. Hakuvaa ushungi kama alivyowazoea kuwaona waarabu wengi ambao alikutana nao. Huyu alivaa suruali ya jeanz nyeusi na juu akiwa na kikoti chake cheusi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Kati kati kulikua na nguo Fulani nyeupe iliyonakshiwa…
  • THE NIGHTMARE (4)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NNEILIPOISHIA...Aliongea Khalidi na kuufungua mkanda wa suruali yake na kuanza kumtandika Karim.“unanipiga mimi?...utaona!”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Aliongea Karim na kuondoka huku analia.*****************************Zilipita wiki mbili bila ya Karim kuonekana nyumbani kwao. Sabra alisikitika kidogo kutokana na kuwapenda sana watoto wake japokuwa huyo mtoto mkubwa hakuwa…
  • Fumanizi la Mchepuko Mwizi😂 | Comedy
    Mume amefuma viatu vya mchepuko wa mke wake mlangoni lakini akakosea kuingia ndani kabla aweke umakini kwenye hivyo viatu mwisho wa siku akaibiwa na vyake😂Hili tukio lazima lichukuchekeshe sana hata kama ulikuwa haujataka kuchekaItazame kisha nipe like na ukinipa maoni kwenye comment nitashukuru sanaUsisahau kubonyeza Subscribe kama haujajiunga na fungua #ChekanaZephiline kupata video zangu zote ambazo zipo mtandaoniNashukuru sana kwa wewe ambaye unanipa nguvu ya kuendelea kuwaletea kazi nzuri…

TUPEANE (25)


JINA: TUPEANE
Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO
Akaenda chini puhuu huku Rukia akiuliza nini tena Jeffy mbona uchomeki unadondoka tu yule jamaa huku akigugumia kwa maumivu akasema. "Nimepigwa!"

SASA ENDELEA...
“Ushaanza wehu ehee umepigwa na nani wakati wakati nyuma ulikuwa peke yako!"
Jamaa akavaa suruwali yake akaondoka huku akiwa kajishika usoni Rukia akamwita ila hakuitikiwa akabaki kujisemea “dahaa sijui itakuwaje leo usiku nitashindwa kulala kabisa na nyege hizi. Kisha akaondoka zake.

Usiku huo nilijiuliza maswali mengi sana pasipo kupata majibu kikubwa zaidi kuhusu huyu Dada yangu. Amekumbwa na mdudu gani hasa mpaka anapenda ngono kuliko kula nikahitaji kuongea na Kaka niweze kumwambia matatizo ya Dada kama kuna uwezekano tumsaidie. Ni usiku ambao Rukia alikuwa anahangaika huku na kule kuutafuta usingizi.

Nikabaki kusikitika sana nikamuonea huruma yani alikuwa kama Mwanaume aliye ahidiana na demu ya kwamba atakuja ghetto. Kidume kikapata uwakika na kunywa Shift power au Viagra kabisa akijuwa demu atakuja tu kumbe sivyo. Kimbembe kikamkuta vibaya mno baada mishipa ya Bunduki kusimama kama vile imeona Askari wa Vietnam akaja kuomba mchezo kwa Dada yake aweze kumsitiri kwa siku ile.
Nikahitaji kumpa kitu Dada nikamuhofia Kaka.
Yapata saa Tisa usiku nikasikia naitwa nnje “Hafidhi!!!Hafidhi!!!
Sauti ilikuwa ngeni masikioni kwangu sikuweza kuikumbuka na ni nani anaye niita usiku kama ule.

Nikatoka zangu nnje amini usiamini niliye muona mbele yangu ni Bibi mzaa Baba kama unakumbuka Mara ya mwisho alikuja kwenye mazishi yangu na kugundua kwamba sijafa.
Nikabaki kuduwaa tu nisiamini kwa kile nikionacho mbele ya upeo wa macho yangu!"
“Hafidhi ni Mimi Bibi yako!"
Sikutaka kuamini moja kwa moja kwamba huyu aliyoko mbele yangu ni yeye. Nisije kuingia mkenge bure

“Najuwa huwezi kuamini kwa sasa ila sijaja hapa kupoteza muda nimekuja kukupa salamu kutoka Kuzimu kwa kazi nzuri unayo ifanya wewe na Kaka yako!"
Mnaitajika kwa ajili ya Sherehe iliyo andaliwa.
Baada kuongea vile akapotea nikabaki kujiuliza “sasa huko kuzimu ndio wapi na nitaendaje?"

Nikaingia zangu ndani nikalala hatimae kulipo kucha tukajiandaa Mimi na Rukia Safari ya mjini ikawa imewiva.
Siku hiyo nilipendeza balaa baada kutinga mavazi aliyo nipa Mama yani dera jipya wigi na viatu mchuchumio.
Kila nilipo pita watu mimacho kodo kwangu tu nikaweza kumuona yule bishoo niliye mfanya kitu mbaya mpaka akanya.
Nae baada kuniona eti akajificha nikatabasamu tu. Tukiwa ndani ya Bus nikaitaji nimuulize kitu Kaka ila hakuwepo nikastushwa na sauti ya mtu akiniuliza “vipi binti hujambo?"
Nikaitikia ndio sijambo shikamoo Babu!"
“ahaa bibie usitake kuniabisha mie sio Babu bwana!"
Sikutaka kuongea neno baada kugundua yule mtu ameshanitamani akazidi kuchombeza maneno ya hapa na pale huku akinishika shika Mara usoni kiunoni wakati yote yanafanyika Mama na Rukia wapo siti za mbele mie nipo nyima. Yule babu akazidi usumbufu kama ujuavyo tena Mwanamke akitongozwa afu akawa kimya unampa nafasi ya ushindi Mwanaume
Nikatulia tu nione mwisho wake. Wanaume wakwale kama hawa ndio nawataka,
niwaonyeshe kazi kuwa sio kila Mwanamke mrembo umuonae ni Mwanamke kamili
Wengine ni Shemale
Wanasimamisha bunduki zao kama nyie Wanaume sasa Mimi ni Shemale wa kutengenezwa mpenda mipododo mbona Town watanikoma nikawa na kimuhe muhe cha kumuona huyo anaye semekana Hafidhi j ikram
wakati ni Mimi ila nimebadirishwa umbo tu,
Kingine nikajiuliza naenda Dar es salaam Nipe nikupe namuachia nani nikastuka baada kushikwa ziwa na yule Babu
Nikakunja ngumi kwa hasira zote nikamfumua ngumi akarushwa na kwenda kujibamiza kwenye dirisha la gari vioo vikavunjika mbengeree!!!

Yule Mzee baada kujibamiza kwenye kioo na kuvunjika kila mmoja akastuka. Dereva akasimamisha gari huku utingo na konda wakiwa tayari washakuja kumtizama yule Mzee kafikwa na kitu gani. Binafsi alikuwa yuko kimya damu tu zikimtoka kichwani. Wakambeba na kumtoa nnje waweze kumpa huduma ya kwanza. Niliingiwa na hofu isije ikawa nimeuwa maana ile ngumi niliyo mpiga si mchezo. Baada kumtoa nnje wakamlaza chini na kuanza kumpepea huku akiwa kafungwa kitambaa kichwani kuzuia damu isiendelee kutoka. Kisha wakamwagia maji hakuweza kustuka ikabidi arudishwe kwenye gari kwa rengo la kumuwahisha hospitali. Kila mmoja ndani ya Bus akajiuliza lake huwenda chanzo ni Dereva kuendeesha gari kwa mwendo kasi kisha kupita kwenye mashimo. Ndio kilicho pelekea huyu Mzee kujibamiza hivi.
hatimae tukafika kijiji cha Nanjilinji ikabidi mgonjwa awahishwe hospitali ya hapo sie wengine tukaendelea na safari baada maelezo yote kuhusu yule Mzee kukabiziwa kwa Police na madoctor “umeona wee kijana uendeeshaji wenu huo wa kuvuta bange ndio umepelekea mpaka Mzee wawatu apandwe na presha!"
Ni maneno ya Mama mmoja hivi akimwambia Dereva.

Baada mwendo wa kama masaa matano hivi hatimae tukaingia Mbagara jiji la Dar es salaam binafsi hakuna mkoa wenye watu wengi kama jiji hili. Tukashuka na kutafuta usafiri wa kutupeleka Kinondoni mkwajuni. Tukiwa bado stendi nikaanza kupata tena usumbufu baada kijana mmoja kuja akanitolea salamu “za saa hizi Anti?" nikamjibu poa tu!"
“naona uko hapa vipi unaelekea wapi mrembo?"
“naelekea Kinondoni!"
“ohoo mi mwenyewe naelekea Kawe kama hutojali naweza kukupa lift usafiri wangu ule pale!" nikamcheki Mama nione atasemaje akanionyeshea ishara ya kwamba nikubari tu basi nikamjibu yule jamaa “oky hamna shida tukaongozana mpaka kwenye Gari yake tukasepa. Mimi nikiwa nimekaa siti ya mbele Mama na Rukia siti ya nyuma yule mkaka akazidi kuchombeza kwa kujisifu “Binafsi nimekulia katika familia ya kitajili na ni mtoto pekee wakiume katika familia yetu yenye watoto wanne.

Binafsi mimi ndio niliyekabiziwa kila kitu nisimamie juzi tu nimerudi kutoka masomoni. Nchini uengereza. Wakati anaongea yote hayo mie hata sikutaka kumsikiliza nilikuwa mbali sana kimawazo nikimuwaza huyo Hafidhi nitakaye mkuta hapo home. Basi akawa anajifanya kunipapasa mabajani kibahati mbaya akizani kashika. Gia kumbe walaa uwongo wake tu. Tukafika maeneo ya home kimuhemuhe kikanishika zaidi nikajiandaa kushuka nikavutwa mkono na yule jamaa na kuanza kunipa sera zake. “Binti tambua ya kwamba nimetokea kukupenda gafla moyo wangu unapiga embu jaribu kuushika uweze kuusikia. Basi nikamshika ni kweri mapigo yake ya moyo yanadunda vipaya mno. Hivi ndio kupenda au ugonjwa tu sikuweza kupata jibu. Akatoa wallet yake na kunipa kibunda cha pesa na businesses card yake sikutaka kukataa nikaipokea na kushuka ndani ya gari binafsi Mama na Rukia hawakuwa na neno zaidi ya kushangaa tu.

Tukafika getini na kugonga hodi aliyefungua geti ndie aliyenifanya nistuke hakuwa mwingine ni Mimi kabisa imekuwaje hii. Akamkumbatia Mama kwa furaha ya ajabu huku akisema “whaoo Mama huyoo!"
Mama nae akamjibu “ndio mwanangu nimerudi ila nimekuletea wageni. Akamtizama kwanza Rukia na kusema “karibu sana Dada yangu Rukia ni muda mrefu umepita naona sasa hivi umekuwa mtu mzima!" Akanicheki Mimi na kuuliza “Mama na huyu nani?"
“huyo anaitwa Latifa ni binti wa kulekule kijijini kwetu. Si akanibinyia kijicho dahaa nikatamani hata kulia kudadeki. Baba nae akatoka ndani huku akisema “naona utamburisho unafanyika nnje vipi tena?"
Wakakumbatiana mtu na mkewe sie tukaamkia na kuingia ndani. Mpaka sebureni nikaweza kumuona house girl wetu akiwa anatoka chumbani kwangu huku akiwa na kitumbo bira shaka ana mimba tu. Akaja kumsarimia Mama na sie akachukuwa mizigo ya Mama na kwenda kuiweka chumbani kwa Mama ya kwetu akaenda kuiweka chumbani kwake.

Sikutaka kushangaa sana si katuona wageni ni Wanawake wenzie siku hiyo nikawa namuwinda huyu bwege anaye jifanya ndio Mimi pumbavu zake.

Nikamuona katoka nnje nikazuga naenda chooni wakati nafahamu fika nyumba yetu choo kipo ndani ile natoka tu Mama akaniita “wee Latifa unaenda wapi tena mamy?"
“naenda chooni nikamjibu hivyo!"
Akasema “mmh wewe nae huku sio Kilwa mamy nyumba yangu choo kipo ndani!"

Nikajifanya kushangaa na kuuliza “khaa! Ina maana choo kipo ndani si kutanuka humu harufu ya mavi na mikojo?"
“hakunuki bwana vyoo vya huku ni visafi Massa 24 utatamani kulala hata chooni!"
“Kwahiyo Mama Dar es salaam nzima hii vyoo vyao viko hivyo au?"
“hapana sio vyoo vyote wengine utakuta viko nnje vichafu balaa hawapigi deki na wakipiga deki hawatumii sabuni wala dawa utakuta vyoo vingine shimo hiro ukitaka kunya sharti upige msamba. Nikacheka “Ha!ha!ha!ha! Mama bwana sasa kwa nini wasijenge choo bora kama hiki chako?"
“unajuwa nini mwanangu siku zote binaadamu hatufanani kwa vipato ndio maana hata hadhi ya nyumba unaziona ziko tofauti kwahiyo huo ndio uwezo wao kujenga vyoo vya. Mabati makuti au kuzungushia viroba ili mradi maisha yanasonga mbele!"

Nikatoka mbio nnje na kumkuta huyu boya kakaa kwenye kiti kakunja nne kabisa kashika kitabu anasoma nikakitupia jicho kile kitabu kimeandikwa Nipe yote & Chanduka ikiwa na maana Hadithi mbili ndani ya kitabu kimoja nikamkazia macho kabla kutamka maneno flani hivi ili waliokuwa ndani wasiwe na wazo la kutaka kutoka nnje wala kusikia maongezi yetu.

Nae akaacha kusoma akaweka kitabu pembeni akanikazia macho na kunyanyuka kwenye kiti akanisogerea siku zote waarabu wa Pemba hujuwana kwa viremba. Ndio mimi na huyu kila mmoja akamtambua mwenzie nikamuuliza kwa hasira “wewe mwehu ni nani aliyekuruhusu kutumia umbo langu?"
Akashindwa kujibu kitu akabaki kuniangalia tu.
Nikaendelea kumwambia “sasa basi nakupa onyo iwe mwanzo na mwisho staki nikuone ndani ya nyumba hii maana unazidi kunitia hasira tu yani Mimi niwe Shemale nikajikuta namsogerea karibu zaidi na kumkaba akawa anajitahidi kujitoa mikononi mwangu akashindwa nikapanga kuuwa tu. Akatoa sauti ya kuniita Baba mdogo ila haikutoka gafla nikavutwa kwa nyuma ule uvutaji tu nikagundua ni. Kaka kweri ni yeye akiwa ananitizama kwa macho makari sana yenye kuwaka waka kitu kama umeta hivi wingu gafla likabadirika na kuwa jeusi. Akaniuliza “Siku zote nakwambia acha kufanya mambo bila kufikilia aliye kupa umbo hilo ni Mimi sio huyu ni mtoto wangu anaitwa Figisu!"
Nikabaki kushangaa haa ina maana huyu ni mtoto wa kaka amempataje pataje wakati niliambiwa na Mama Kaka alivyo kufa aliacha mtoto mmoja tu wakiume kwa sasa yuko Nchini Kenya akiwa kama barozi wa nchini Tanzania.
Kaka akazidi kutoa maneno makari juu yangu kwa kusema

"Nakupa onyo kwa Mara ya mwisho ole wako urudie kufanya mambo ya kijinga tena kule kijijini nimemuweka mtu mwingine kuziba pengo lako maana Bibi hajui uliondoka ondoka vipi sasa basi bado miezi Sita urudi katika umbile lako huyu Figisu atabaki hapa hapa unacho takiwa kukifanya ni kumzoea kama mwanao tu.

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU


TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

12 Simulizi Tupeane Z12
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni