SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Mpaka siku ya tatu hakupokea simu yoyote ile kutoka kwa watu wali ochukua familia yake na kumfanya azidi kutandwa na hofu moyoni alikosa raha ya maisha.SASA ENDELEA...
Muda wote alikesha kwenye t.v akiangalia habari akitegemea kuwa angeona au kusikia habari yoyote juu ya familia yake, usingizi kwake ulikua shubiri, hakupata hata lepe la usingizi.
Hakuacha kuwa sumbua polisi juu ya swala lake wame fikia wapi lakini walicho mjibu kilizidi kumuumiza sana kichwa chake,
“tume kwambia iyo tuachie sisi, mbona huelewi kijana!”
“sio ivyo naona kimnya sana”
“basi ndo tuna fanya kazi yetu, ulikua una taka tuwe tuna kupigia pigia simu, tuna kazi nyingi za kufanya, ivyo kua na subira, tukisikia chochote tuta kutafuta”
“lakini titi titi..!”
Simu ile ili katwa gafla alivyo jaribu kupiga haikupokelewa tena. Alijua kivyovyote vile polisi wale hawana tena msaada kwake , alizidi kuumia moyo wake ndani kwa ndani.
Alisikiliza vizuri na kusikia mlango ukigongwa alivyo fungua alimuona Sabrina na Mwanae Catherine wakiwa mbele yake, ilimbi-di atabasamu ili afiche sura ya uzuni aliyo kua nayo.
“shikamoo Anco”!
“marahaba hujambo”?
“sijambo Anco, mbona kama haupo sawa”?
“nipo sawa Cate, nina mafua tu, nilikua nafanya fanya usafi chumbani.”
“pole utapona”
“karibuni, vipi Mama Catherine karibu ukae”
Walikaribishwa vizuri na kupewa juice pale pale,
“Anco anti yuko wapi naona kimnya,cousine Natu yuko wapi, nime mm-si sana, amelala au, Natuuuu”?
Aliongea Catherine huku akiita na kuonesha tabasamu hakuelewa kinachoendelea, hakuelewa maneno aliyoongea yalikua yana uumiza moyo wa Kway, hakuelewa kuwa Natu na mwana mke aliye zoea kumuita shangazi huko walipo wana kula mateso ya ajabu sana.!
Kway machozi yalianza kumlenga lenga hakutaka kulia mbele ya Catherine alicho fanya alisimama na kuondoka zake bila kujibu chochote.
Catherine kupitia kitendo kile alitafsiri kuwa kuna jambo au tatizo kubwa, lakini hakujua ni tatizo gani.
“mama kwani kuna nini?, mbona anco hayupo sawa,sijamzoea mimi akiwa katika hali hii,”
“siku hazi fanani, hata mimi sijui”
Ivyo ndivyo ilivyo kua..
Baada ya kurudi waliendelea na maongezi na stori za hapa na hapa huku akimdanganya catherine kuwa Anti yake pamoja na Natu wamesafiri hakutaka matatizo yake kila mtu ayajue, hiyo ndiyo ilikua sifa yake kuu aliyokua nayo, walibeba siri nzito yeye na Sabrina pamoja na baadhi ya watu wake wa karibu sana!.
Catherine akiwa amebeba simanzi nzito za kuumizwa na mapenzi ambayo alifanya kuwa siri huku Sabrina na Kway walibeba siri nzito juu ya majambazi walioteka familia ya Kway. Kila mtu alibeba matatizo yake ndani ya moyo wake.
Baada ya usiku kufika ili bidi watoke na kwenda kukaa sehemu ambayo waliamini wange punguza mawazo yao,
Walipaki gari lao nje ya baa ya TECLA ili yokua karibu na ukonga na kushuka, kulikua kumechangamka sana wavulana kwa wasichana , wazee kwa vijana walikuwepo, kwa kua ilikua siku ya jumamosi ivyo sehemu iyo ilijaa watu na magari mengi sana kufurika nje hapo!.
Walifika na kuketi pembeni kabisa na kuagiza vinywaji na nyama choma .
Walikula na kufurahi kwa pamoja!
“nakuja sasa hivi, naenda toilet”
Aliaga Catherine na kuelekea msalani kutoa haja ndogo, alifika na kupandisha sketi yake kisha kuchuchumaa, baada ya kumaliza haja yake alitoa tishu na kujifuta na kunawa wa mikono yake, ila kabla ya kutoka mlango ulifunguliwa hakuamini mtu aliye muona mbele yake, na kubaki akimshangaa sababu hakutegemea, kumuona mahali kama pale tena chooni alikua ni Mzee Mwasha, akiwa ameingia kwenye choo hiko kinachotumiwa na wana wake bila kujali.
“David”!
Aliiita Catherine huku akiweka nguo yake ya juu vizuri ambapo ziwa lake lilikua likionekana , Mwasha alimsogelea na taratibu kumshika kiuno akitumia mikono yake miwili na kumbana ukutani akilazimisha kumnyonya mdomo wake uliokua na lips nzuri tena nyekundu.
“daviiiid stooooop”!
Pembeni ya kitanda chake alisimama Zahara akiwa mwenye majonzi tele sana, aliweka mikono yake shavuni akisikitika, alimtizama Enock aliye kua amelala juu ya kitanda kwa huruma ,Alisha kesha sasa hospitalini hapo siku ya pili mfululizo akimuhudumia Enock, kuanzia chakula mpaka vinywaji , alivyoambiwa amepata ajali mbaya ya gari na wasamalia wema waliompeleka hapo, ila licha ya ivyo Mke wake Heather hakuwahi kuonekana hata siku moja hospitalini hapo,kutokana na ugomvi mkubwa sana
uliyopo kati yake na Zahara ivyo aliapia kuwa hawatosemeshana tena na atakapo kanyaga Zahara kamwe yeye hatoweka unyayo juu yake, kweli hali iyo ilionekana wazi wazi!.
Moyo wa zahara sasa ulianguka kwa Enock moja kwa moja alikua akimpinga sana Heather. Na kulidhia kua na Enock amlinde na hila zote za Heather, ambae sasa alikua akikesha kwa mganga kalumanzila ili apewe dawa nyingine sababu aliamini WAKYOKYO ilishaisha nguvu kabisa.
“Enoock, amka unywe uji jamani, utapoa”
“haaaaaapana, Heather yu…ko wapi, where is my wife?(mke wangu yuko wapi)?”
“amesema ana hali mbaya sana, tumbo lina msumbua ameshindwa kuja”
Alisema Zahara akimtetea , japo kua alikua na chuki nae lakini hakutaka kuweka wazi jambo lile kwa Enock
“si nilikutuma juzi umwambie nime lazwa hapa”
“anajua”
Alisogea zahara karibu yake na kumbusu Enock juu ya paji lake la uso, na kumpa pole. Penzi alilopewa na Enock Mwasha siku chache kweli liliteka hisia zake zote, sababu hakuwahi kufanya mapenzi na kufikishwa kileleni na mwana ume yoyote ile isipo kua Enock, kwake yeye alimuona Nguli wa mapenzi au gwiji kuliko hata mchumba wake Robert, ivyo ilimbidi afanye juu chini amteke kihisia Enock, mambo aliyo kua akifanya na kumjali Enock alivyokua akiumwa vilitosha kabisa kuonesha mapendo tele juu ya mwana ume huyo ambaye alikua ni mume wa rafiki yake kipenzi Heather.
“pole Enock Mungu ata kusaidia ili upone”
“sawa Zahara, ahsante!”
“HIVI AMEESEMA HII NIMUWEKE KWENYE UJI, KISHA HII KWENYE CHAI ALAFU ANYWE SASA HIVI, ISIJE NIKACHANGANYA MADESA HAPA NIWE MWEHU.!”
Aliwaza Heather akiwa ana endesha gari baada ya kutoka kwa mganga kalumanzila na kupewa madawa mengine makali ambayo yata mfanya Enock aweze kumpenda tena .zilikua ni dawa kali mno zilizoitwa Limbwata ambazo binadamu akipewa na akiambiwa kitu hutekeleza mara moja, hata akiambiwa akakojoe mbele ya mama mkwe hutii amri!.
Alifika mpaka nyumbani na kutengeneza uji na chai kisha kuziweka dawa zile ndani yake alivyo hakikisha kila kitu kipo sawa alirudi ndani ya gari na kutimua mbio akielekea hospitalini ,
Alifika moja kwa moja na kumuulizia haikua tatizo sana alioneshwa chumba alicho lazwa Enock na kuingia na kumkuta Enock amelala kitandani, haraka haraka alifungua chupa ya uji na kutoa kikombe na kuanza kumimina , ila kabla ya kuazna kumlisha alitokea zahara na kuipiga chupa ile ya uji pembeni na kupiga teke chupa ya chai na kufanya vyote vimwagike chini sakafuni! ,
“zahara ni nini unafanya”?
“hujui au, siwezi kukuacha hata siku moja nione una mfanyia vitu vibaya Enock, ngoja nikwambie ukweli nampenda na nina uhakika huo uji unaotaka kumpa sio mzuri, kuna mambo yako umeweka mchawi wewe!”
“we Malaya una semaje, Enock keshafi** mku*** wako sasa umedata sio?”
“utajijua Malaya mwenyewe, mapenzi ya dawa ni mambo ya kizamani”
“halloo hallooo, mimi ndo mke wake wa ndoa sasa, we jichetuee tuu, ila atakuto*** akuache”
“haiusu hiyo, ”
Walizidi kutupiana maneno makali na matusi ya nguoni kisha kila mtu kupandwa na hasira na kuanza kupigana makofi, walishikana shikana na kumuangukia Enock juu ya kitanda aliye kua amelala hajui ana piganiwa na wana wake wawili tena hospitalini, walikuja wauguzi na kuwatoa wana wake hao nje muda huo huo.!
Tayari macho yake yalikua mekundu sana yakiwa yamelegea kama mtu aliyekula kungu au mnazi, mapigo yake ya moyo yalimwenda mbio sana hii ni baada ya kushikwa maziwa yake, mihemo ya puani ilimtoka , alihisi vitu kama
utitiri vinatembea ndani ya mwili wake, alikua hajiwezi tena mzee Mwasha taratibu aliupeleka mdomo wake juu ya lips za Catherine na mrembo huyo kupokea vizuri tu!
Kisha kilicho fuata hapo ni kulambana midomo yao Catherine alizidi kuuzungusha ulimi wake ndani ya kinywa cha mzee Mwasha huku akimtekenya kwenye masikio yake na kumfanya mzee huyo am-bebe na kuingia nae choo kidogo huku akiendelea kulamba midomo yake kisha kupandisha sketi aliyo vaa na safari hii alikua ana mnyonya shingo yake, catherine aliya fumba macho yake, hakika alikua dhaifu sana kwenye chuchu zake, hiyo ndiyo ilikua sehemu yake kuu ambapo ukimshika hapo na kwenye ikulu yake ilikua ni lazima apanue miguu yake na kusubiri kinacho fuata,
Alifungua mdomo wake huku akihema mihemo ya huba na wakati mwingine kushika chuchu zake, mwenyewe!.
Mtalimbo wa Mwasha ulikua teyari upo hewani sasa kusubiri kuingia kwenye shimo, alichukua mikono yake na kuipitisha chini kwenye ikulu ya Catherine na kuanza kuishika shika kwa juu, japokua alikua mzee wa makamo ila alijua mambo yale japo sio sana , alishusha chu** ya Catherine kisha kumuweka juu ya chooo cha kukaa na kuipanua miguu yake, na yeye kufungua zipu yake na kumtoa NYOKA wake ila kabla ya kuingiza ili mchezo uanze, simu yake iliita pale pale, aliiitoa mfukoni na kuona jina MHAIKI aliiikata lakini iliita tena, aliipokea na kuiweka sikioni.
“bosi wale watu wame toroka”!
“una semaje Mhaiki siku sikii vizuri”
“bosi Yule mwana mke katoroka na mtoto wake”
“watafuteni, nita kufanya kitu kibaya sana”
Baada ya kukata simu ile alivyogeuka alimuona cate akiweka nguo zake vizuri na kuvaa chup* yake huku akiwa amekunja ndita sura yake huku akihema kwa hasira.!
“nini Beatrice”?
“nini kuhusu nini”?
“sasa tuendelee basi”
“jieshimu,”!
Catherine alitoa misonyo na kuiweka nguo yake vizuri alikua ni kama mtu aliye toka usingizini baada ya kukurupuka tena baada ya jotoridi kushuka na kumfanya ajute kwa kile alichokua akikifanya chooni muda mchache na mzee huyo,alizilaumu sana hisia zake, alitembea taratibu huku akihisi wenda kila mtu kamuona kwa yale aliyokua akiya fanya chooni mule,watu waligeuza shingo zao hasa wale walevi waliokua wamesha lewa tayari,
Mzee mmoja alisimama na kumuendea na kumshika kalio lake kitendo kile kilimkera sana, Catherine alimzaba kofi na kufanya mlevi Yule adondoke chini , watu walijaa na kuanza kumzunguka Catherine huku wakianza kumshika shika, nguo zake wakimvuta.
Kway na Catherine tayari walisha fika eneo lile na kuwa pangua pangua watu wale.
“jamani, tuweni wastaarabu kidogo, Catherine njoo”!
Aliongea Kway akiwa na Sabrina pembeni yake
“we cho** nini huyu demu haendi popote una mfahamu wewe?”
Alijibu muhuni mmoja huku akiwa amemshika Cate mkono. Catherine muda wote alikua akilia machozi
“kijana. Hatu fahamiani sawa, kwaio ki ustaarabu tu, naomba mumuachie mwanangu, hili tusiharibiane siku, kila mtu akalale vizuri makwao!”
KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA