SEHEMU YA SITA
ILIPOISHIA...
Hivi naomba nikuulize kitu ndugu kati ya mpira na Glory vikiwekwa hapo mbele ukaambiwa uchaguwe kimoja wapo utachagua nini?"
Seiph akajibu,
SASA ENDELEA...
“nitachaguwa mpira"
“khaa kumbe mchizi wangu wewe kolo ehee yani unathamini kuangalia mpira kuliko demu"
kwanza mpira unakupa faida gani ndugu.
Huyo Arsenal Wenger wewe hakutambui kabisa Embu acha ujinga"
Seiph akaona kumbe jamaa nae kimeo baada kumpa ushauri wa maana anamletea propaganda za kijinga akanyanyuka na kuondoka zake.
Katikati ya kitaa hiko kuna mwanadada alikuwa analia vibaya mno huku akigaagaa chini,
“hiiiiiiiiiiiii,,,,,Mungu wangu mieeeeee,,,,,!!!!,,nakufaaaa....jamani mwiziiiii,,,,
“wee Witness nini tena mbona hivyo"
yule binti anaekwenda kwa jina la Witness ndio aliyekuwa analia,Mwenzake akafika na kumuuliza
“tuambie basi nini tatizo shost kulia sio suruhisho la matatizo vipi umefiwa au?"
“hiiiiiiiihaaaa...bora hata ningefiwa kuliko hiki kilichonitokea"
“sema basi nini hiko kilichokutokea yani kikawa zaidi ya msiba?"
“mwenzenu nimeibiwa pesa zote za mchezo nilikuwa nampelekea mwenyewe ghafla nikaporwa"
Wenzake wakaangua vicheko vya kishambenga na kumwambia
“Hahahaha yani shost ndio useme bora kufiwa kuliko kuibiwa mbona makubwa Hivi nani amekwambia ndugu anaweza kupatikana tena"
Wakati pesa inatafutwa tu cha umuhimu futa machozi twende tukapange mchongo au sio Shost?"
Witness akatikisa kichwa kuitikia kisha hao Wakaondoka pamoja,Ndani ya Camp moja kitaa hikohiko cha Magomeni kuna washikaji walikuwa wanavuta bange utasema hawana akili nzuri.
“oyaa Issa jana tulikupa mchongo gani ukafanye ukazingua mbaba?"
“sio nimezingua wale mademu niliwapa mtonyo kama kawa wakasema kwa muda ule hawawezi kuja maana kila mmoja anaitajika nyumbani kwao.
Wakatoa ahadi watatimba leo"
“kama hivyo full mamzuka kichaa wangu sasa wamesema saa ngapi ndio watatimba"
“hawasema saa wamesema watakuja tu!"
“ukisikia uboya ndio huo yani utaki kutaja muda ili wakija wengine tusiwepo sio, uchezee Chura peke yako"
“sasa ubaya wangu uko wapi",,,,,embu weka denda ganja inaisha hiyo!"
Ni kijiwe cha wahuni mtoto wa Mama huruhusiwi kuwepo basi msela akaweka denda Msoto usiishe haraka,Ndani ya kichochoro kimoja wapo tunawaona wale mabinti waliokuwa wakionyesha show ya kukata viuno nao wakijadiliana jambo
“mmh unajuwa shoga zangu mie mpaka sasa naogopa kwenda huko!"
“sasa Rose unaogopa nini si tunaenda kuwakatikia viuno tu kama pesa tushapewa nusu twenzetuni bwana"
“Fatuma wewe ujui tu kumbuka wale ni watoto wa kiuni uwezi juwa tusije kufanywa asusa bure"
“ehee ushasema watoto wa kiuni pesa yao tushakula nusu Tukisema tusiende hivi unavyofikilia wewe tutajifichia wapi?"
“sikia nikwambie kitu maadamu tushampa taarifa Shemeji yenu Kidume kasema atakuwepo sio mbaya nyie twendeni"
“unasema kweli Suzy Kidume atakuwepo?"
“ndio maana yake mbavu nene yupo"
Mabinti wale wakaongozana na kufika kwenye Mjumba huo,Kitendo cha kuingia tu Radio ikawashwa na kusikika nyimbo ya nakomaa na jiji kutoka kwa Shilole.
Mabinti nao wakaanza kuyakata mauno,Kidume nae alikuwa katulia kimyaa akivuta msoto wake Yani ilikuwa full mamzuka kwa kila mmoja hata masela waliokuwa Arosto wakazinduka na kucheki jinsi makalio yanavyo jimwaya tipwatipwa,Nyimbo zikazidi kubadilishwa tu Sugua gaga kutoka kwake Shaa maji yakazidi unga pindi ilipowekwa nyimbo ya Chura wa Snura Kila mshikaji akanyanyuka na kuanza kubambia na kuyashikashika makalio yale yaliyonona.
Kwa kitendo hiko hakuna binti aliyeshituka wakachukulia kawaida tu,
Ndani ya bagamoyo tunamuona Witness akiwa na shogaake yule aliyekuwa akimuuliza unalia nini, na safari hii imewaleta moja kwa moja kwa mganga mzee Othman chulli Bagamoyo nzima wanamtambua mzee ni noma"
ilipowekwa nyimbo ya Chura wa Snura Kila mshikaji akanyanyuka na kuanza kubambia na kuyashikashika makalio yale yaliyonona.
Kwa kitendo hiko hakuna binti aliyeshituka wakachukulia kawaida tu,Ndani ya bagamoyo tunamuona Witness akiwa na shogaake yule aliyekuwa akimuuliza unalia nini, na safari hii imewaleta moja kwa moja kwa mganga mzee Othman chulli Bagamoyo nzima wanamtambua mzee ni noma"
Ndani ya kibanda cha mganga Othman chulli zilisikika kelele za nyimbo
“kina mama kwenda kwa waganga kazi kutafuta nini bwana kuna madawa mnayopewa yanawazuru mwilini bwanaa",,,,,Chani mwana unyonge mukamukalore bwanaa,,,,,
"Chani mwana karume aisari rambaramba,,,,,,
"utaramba Mchikiti wa muembe chai hakuna asiejuwa bwanaa walizuka polisi wawili mchikitini ingia bwanaa wakamkuta shekhe ochitadhi yeye anajichwalia bwanaa,,,,,,
"wakampiga virungu alafu wakamuuliza bwanaa,,,,,
"Chee unachwali nini kazi yako kudomea bwanaa,,,,,
"Chee akakachirika nakuanza choma duwa bwanaa,,,,
Wakati akiwa anaendelea kuimba na kucheza cheza Ndipo akasikia sauti ya vicheko ikitokea kwa nnje.
Akauliza kwa sauti nene yenye kuonyesha kama amekasirika hivi baada kuhisi amechekwa yeye.
“kina nani nyie"
Kwa sauti ya kubabaika Shogaake Witness akajibu
“sie hapa babu!"
“nyie kina nani na mnafanya nini hapo nnje?"
“mimi Anna nimekuja kumleta shogaangu ana matatizo"
“sasa mbona mmefikia nnje embu ingieni ndani upesi!"
Anna kwa uwoga wakaingia ndani na kwenda kukaa kwenye Mkeka mdogo chakavu.
“ahahahaha karibuni sana vijana
Witness binti unaonekana na matatizo makubwa tena mazito Embu tuone kiganja chako cha mkono!"
Kwanza Witness akashangaa imekuwaje mganga aweze kulifahamu jina lake.
Basi akashikwa na uwoga hata mkono aliuwona mzito kuunyoosha,
“usiogope binti nyoosha mkono.....ahaaahaaaa,,,nyoshaaaa,,,,,"
Witness akaunyosha Mganga akaushika na kuupiga piga na usinga wake,
“sikia nikwambie kitu binti kiganja cha mkono wako kuna kitu kama tobo yani huwezi kushika pesa kamwe zikadumu"
yani ukishika zinapotea pasipo wewe mwenyewe kufahamu"
“ndio babu nina tatizo hilo hata nishike kiasi gani kinapotea tu!"
“usijali hapa ndio umefika kwa Othman chull mwisho wa leri Kila kitu kitakuwa sawa,,,
"ingia mule chumbani kisha uvue nguo zako zote tuanze tiba!"
Witness akashituka yani avuwe nguo zote tiba gani hiyo, mbona makubwa,Kwanza akamtizama Anna nae akamuonyeshea ishara ya kufanya hivyo Akasita kufanya hivyo kwakuwa wahenga wanasema maji ukiyavulia nguo huna Budi uyaoge,
Witness akajinyanyua na kuingia kwenye kichumba hiko kidogo na kuanza kuvua nguo zake moja baada ya nyingine Akabaki kama alivyo zaliwa na kumngojea Othmani chulli kwa ajili ya tiba Waganga wengine bwana washenzi tu.
Ndani ya mjumba baada kina Fatuma kucheza vya kutosha,,,huku masela wakifurahia show hiyo.
Kidume akaenda kumshika mkono demu wake yani Suzy na kutoka nae nnje ya mjumba na kuwaacha shoga zake wakiendelea kucheza sebene
“sasa baby tunaenda wapi bwana?"
“sikia nikwambie kitu Suzy mwenzako hapa nilipo niko hoi kishenzi yani naitaji tukabembee tu"
“ahaa Mimi nimechoka bwana kwanza tunaondokaje wakati Shoga zangu wanakutegemea wewe kama mlinzi baby"
“Suzy bwana embu acha kunichekesha yani ukisikia kunishusha ndio huko yani Mimi nimefikia hatua ya kuwa mlinzi tena"
“sijamaanisha hivyo dear"
“kumbe je?"
“basi tuyaache hayo twende nikakupe mzigo sema baby ufanye taratibu basi!"
“usijali nitapiga kimoja cha faster tena taratiibu nakipuliza"
Suzy akacheka na kumkumbatia mpenzi wake safari ya kwenda kwa kidume hiyoo......"
Ukisikia uswazi kuna vituko pande za Magomeni mwembe chai napo kuna tisha,
“nakwambia hivii wewe ni hanisi tu huna lolote mjinga wewe"
“ningekuwa hanisi mkeo angekuja kunivulia Chupi tena kwa taarifa yako Mkeo sijui shogaako kasema wewe kibamia tu jogoo hapandi mtungi mpaka ubustiwe!"
“jamani si mmemsikia Fundi cherehani anavyo jitapa kutoka na mke wangu ehee"
“sio najitapa wewe si umeniita Mimi hanisi sasa ndio nakupa shua kama imekuuma chomoa!"
Ghafla yule baba akamvamia fundi cherehani na kuanza kuzichapa ilikuwa piga nikupige Vidume vikavua hadi Mashati na kubaki vifua wazi.
Wapenda ugomvi tena wakabaki kushangilia tu.
“wewee piga huyoo hakuna kuamulia...Waacheni waonyeshane heshima,,,"
Fundi cherehani alikuwa amekabwa Roba wenyewe wanaita ya mbao,Seiph alikuwa anapita pande hizo na kukuta kuna mieleka ya Uswazi akaingia kati na kuanza kuamulia
“wee mzee Mudy muachie mwenzio bwana utakuja kumuuwa ohoo"
“nimesema niache nimuonyeshe huyu mshenzi haiwezekani atembee na Mke wangu kisha anitusi namna hii"
Seiph kwa jitihada zake akaweza kumchomoa Fundi kutoka kwenye ile Roba, akiwa anahema vibaya mno maana alikuwa tayari anachungulia kaburi,
“niache mamaye zako niache nasema!!!
“mzee wangu punguza jazba basi hivi unafikilia kupigana ndio suruhisho au?"
Mzee mudy hakutaka kusikia cha muadhini wala mkimu swala. Shida yake ilikuwa ni kumfunza adabu Fundi cherehani Maana mke anauma aisee asikwambie mtu,,,baada kuona Seiph anamzingua akamkata ngumi ya uso na kwenda kumvamia tena Fundi Hakujua kama amefanya kosa kubwa sana kitendo cha kumvamia tu Fundi Akajikuta anapiga yowe zito la maumivu baada kuchomwa na kitu chenye incha kali tumboni dahaa kumbe Fundi alikuwa na kisu, sijui hata kakitolea wapi"
Mzee mudy akarudi nyuma huku damu nyingi zikimtoka tumboni Mpini wa kisu ukiwa unaning'inia.
Watu wakabaki kukodoa macho na kujishika vichwa tu, Maana ugomvi umefika pabaya.
Kila mmoja aliondoka eneo la tukio kimpango wake huku Seiph akimwambia Fundi
“kimbiaa",,,,,,kimbia!!!,,,
Fundi nae akatoka mbio kwa jitihada za Seiph yule Mzee akawahishwa hospital Kwa kawaida kama utumbo haujagusa damu unaweza kupona kwa %90.
Asssssss,,,,,,ahaaaaaaa,,,,ohooooo,,,,,,mmmmmmm,,,,uwiiiiiiii,,,,babuuuuuu,,,ahaaassssssopsiiiii,,,,basssssss,,,,ilikuwa full kufokoa baina ya bibiye Witness na mganga Othmani chulli Mtoto wa kike alikuwa amelala kifo cha mende huku Kipochi manyoya chake kikiwa kinapwita kwa jinsi kinavyo suguliwa,,,,Bassssss,,,,babuuuu,,
Witness kwa sauti ya huruma alijikuta akisema hivyo
“chubiri binti utakuja kuvunja machariti Kusema kweli huyu mzee ana matatizo ya kuitamka herufi ya (S)Vero nae alikuwa yupo hoi baada kuweza kushuhudia mtanange ule usiokuwa na Refa akabaki kujichokonoa vidole tu,,ahaaaasssssohooo,,,,huku akigugumia na kutamani kwenda kumchomoa Witness pale ili asuguliwe yeye Tiba iliyochukuwa kama dakika kumi na sita hivi.
Witness akiwa hoi ajiwezi basi akapewa maji na kwenda kuoga baada hapo kuna madawa akafukizwa na nyingie kufungiwa aende nazo nyumbani kwake,
“mmh shoga yule Mzee kiboko yani utasema kijana"
“umeona ehee wale ndio wazee wa kutubebisha vigori kama sisi Sio vijana wa sasa hivi dakika tatu au tano kashapiga goal Na kujitupa pembeni yani wachovu vibaya mno!"
“unajuwa nini Wity"
“ehee niambie Vero a.k.a mamaa shukhuri,
“wewe nawe unanipamba tu hapo ulipo mwepesi hata ukiambiwa upae utapaa tu,
“tenaa ulijuwaje naweza kutoka hapa mpaka south Africa Kwa jinsi ninavyojisikia mwepesi weee acha tu!"
Basi mpaka wanafika stendi ilikuwa story na mipasho kwa kwenda mbele.
KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA