Notifications
  • THE NIGHTMARE (9)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TISAILIPOISHIA...“mmenifananisha, mimi ndio kwanza naigia ofisini mida hii.” Aliongea yule afande na kuigia kituoni.“sasa aliyekuwa anatuhoji ni nani kama sio huyo?”Alijikuta anajiuliza mwenyewe swali lililompa utata mkubwa kichwani mwake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wakati wakiwa hawajui hili wala lile, walishangaa kuona maaskari wakijazana pale na ambulance ikafika…
  • THE NIGHTMARE (8)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NANEILIPOISHIA...Walipofika feri, walipewa nahodha mwingine tofauti na yule aliyemuota na boti ilikuwa ndogo tu ya kawaida tofauti na ile aliyoiota.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Sharji alijikuta anapiga makelele baada ya kumuona Balqis akiwa amejaa damu mdomoni huku ametoa makucha yake akimfata kwa nia ya kumdhuru.“AAAAAAAAAAAGH”Sharji alipiga kelele na kukurupuka.…
  • THE NIGHTMARE (7)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SABAILIPOISHIA...“kha!!!!”Ulikua mshangao mkubwa kwa watu karibu wote baada ya kumuona Sharji akiwa na taulo akitoka chumbani kwa Balqis.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wengine walicheka na kaka yake alionekana kutoifurahia hali ile.“sasa wewe unatutia wasi wasi bure, si ungesema tu kama unaenda kulala kwa huyu dada?” aliongea kaka yake na kukirudia kile chumba alichompangia…
  • THE NIGHTMARE (6)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SITAILIPOISHIA...“toa loud speaker bwana.”Aliongea Balqis baada ya Sharji kubonyeza kitufe cha kupaza sauti.“kwanini hutaki nisikie maongezi yenu?” aliongea Karimu kwa sauti ya ukali kidogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwani kuna ubaya mimi nikiongea private na mdogo wako?” alijibu Balqis baada ya kuisikia sauti ya Karimu.“hakuna ubaya.” Alijibu Karim kwa sauti ya…
  • THE NIGHTMARE (5)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TANOILIPOISHIA...Alijikuta outomatic akijisemea kwa mshangao baada ya kumuona dada mmoja mrembo mwenye asili ya kiarabu akiingia mule ndani. Hakuvaa ushungi kama alivyowazoea kuwaona waarabu wengi ambao alikutana nao. Huyu alivaa suruali ya jeanz nyeusi na juu akiwa na kikoti chake cheusi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Kati kati kulikua na nguo Fulani nyeupe iliyonakshiwa…
  • THE NIGHTMARE (4)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NNEILIPOISHIA...Aliongea Khalidi na kuufungua mkanda wa suruali yake na kuanza kumtandika Karim.“unanipiga mimi?...utaona!”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Aliongea Karim na kuondoka huku analia.*****************************Zilipita wiki mbili bila ya Karim kuonekana nyumbani kwao. Sabra alisikitika kidogo kutokana na kuwapenda sana watoto wake japokuwa huyo mtoto mkubwa hakuwa…
  • Fumanizi la Mchepuko Mwizi😂 | Comedy
    Mume amefuma viatu vya mchepuko wa mke wake mlangoni lakini akakosea kuingia ndani kabla aweke umakini kwenye hivyo viatu mwisho wa siku akaibiwa na vyake😂Hili tukio lazima lichukuchekeshe sana hata kama ulikuwa haujataka kuchekaItazame kisha nipe like na ukinipa maoni kwenye comment nitashukuru sanaUsisahau kubonyeza Subscribe kama haujajiunga na fungua #ChekanaZephiline kupata video zangu zote ambazo zipo mtandaoniNashukuru sana kwa wewe ambaye unanipa nguvu ya kuendelea kuwaletea kazi nzuri…
  • THE NIGHTMARE (3)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TATUILIPOISHIA...Akiwa hewani akikata mawingu kurudi Tanzania, kichwa chake kilikua na mawazo mengi sana juu ya mume wake. Aliikumbuka siku waliyofunga ndoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Pia alijua kwanini mume wake alipendelea kufanya kazi uingereza na yeye kumfungulia ofisi huku huku Tanzania. Hakujua kuwa kazi anayoifanya mumewe ni ile ya kutembea na tajiri mkubwa…
  • THE NIGHTMARE (2)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA PILIILIPOISHIA...Khalidi alishangaa kuitwa na mtu asiyemfahamu. Alitoka na kwenda kumuangalia huyo mtu maana kiukweli hakua na ndugu aishie hapa Dar hata mmoja anayemfahamu..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Alipigwa na butwaa baada ya kumuona Sabra pale.“ahsante mungu.” Aliongea Khalidi baada ya kumuona tu yule binti pale.“pole sasa kaka yangu, nisamahe mie.” Aliongea Sabra kwa…
  • THE NIGHTMARE (1)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA KWANZANi kipindi cha mvua za masika. Upepo mkali, na mvua kubwa iliendelea kunyesha kwa kasi kila kona ya nchi ya Tanzania.Ipo mikoa iliyofurahia mvua hizo kwa kuwa walikua wanaisubiria kwa hamu kwa ajili ya kilimo. Lakini ipo mikoa iliyokua inapata shida kwa uharabifu wa mazingira na mengineyo mengi.Moja ya miko hiyo ni Dar-es-salaam. Watu wanaoishi katika mkoa huo walichukia mvua mfululizo kutokana na sababu mbalimbali. Biashara nyingi…

UTAMU WA VANILA (21)

Mwandishi: David Kagawa

SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Hazijapigwa jeki na sidilia nilitupa blauzi pemben na kuzamisha chuchu zote mdomon na kuanza kunyonya aaaaash aaaaash alivuta pumzi na mimi nilizidi kushuka kwenye sketi yake na kuanza kuishusha chini taratibu
SASA ENDELEA...
Nilimnyanyua na kumweka vizur na kisha kuvua shati langu .Mtoto muda wote jicho lilikuwa limelegea kama anataka kukata roho vile umbo lake lilikuwa nzuri sana na kunifanya nipagawe huku rungu langu likiwa limesimama na kuwaka moto

Niliishusha taratibu chupi yake na kuacha utamu wake ukiwa wazi .Mwili wangu ulizidi kusisimka na joto la mwili kupanda mara mbili nilinyanyua miguu yake na kupitisha ulimi wangu katikati...Mmmmh....Aaaaash alizidi kulalamika

Nilishituka usingiza na kusikia huko nje dada vero akiongea na mapolisi ili bidi nisogee dirishan kusikiliza nilikuta baby akiwa na baba yake pamoja na mapolisi
"ndio yupo ndani kalala nilisikia dada vero akiwajibu

Moyo ulilipuka na kujua ile ni kesi nilitupa shukan pemben na kwa kuwa kigiza giza kilikuwa kimeingia

Niliwaona maaskali wakiingia mbio ndani kwa kasi ya ajabu ile kuona vile nilitokea mlango wa nyuma kwa mbio za ajabu,kufika nje nilikutana na ukuta uliozunguka nyumba yetu

Nilishindwa kuruka ule ukutan na nikasikia sauti za maaskari
"hayupo humu chumban mwake ebu koplo angel nenden huko nyuma mkamwangalie upesi

Nilisikia miguu ya askari ikija kwa kasi ya ajabu nilicheki huku na huku sikuona sehemu ya kujificha .Ile kuangalia vizuri nikaona banda la mbwa wetu jack ikabidi niingie humo humo japokuwa banda lilikuwa dogo lakin nilijitahidi kuingia nilifanikiwa kuingia lakin mbwa alikuwa anabwaka sana na kunitia hofu

Maskari walifika mpaka kule nyuma na kuanza kupekua kote lakin hawakuniona na ikabidi warudi mbele
"mkuu hayupo
"mmekagua vizuri
"tumekagua kote kasoro kwenye banda la mbwa
"nasema nenden mkakague kote
"sawa mkuu

Nilisikia tena miguu ya askari wakija nyuma ya nyumba kuona vile nikajua mwisho wangu umefika lakin likanijia wazo la ghafla kichwan mwangu na nguvu za ajabu nilitoka mbio mule bandan na kwenda moja kwa moja kurukia ukuta ukuta ulikuwa umewekewa chupa kwa juu ili kuzuia wezi lakin sikujali nirukia vile vile na kupata maumivu makali kwenye mikono yangu chupa zilinikata lakin nilijitahidi kuruka kwan nilijua kama ningezembea jela itakuwa yangu

Nilifanikiwa kuruka huku damu nyingi zikinitoka lakin sikuangalia nyuma huku damu zikinitoka na nilikuwa nalia kama mtoto sikupita njia ya moja kwa moja nilipita vichochoron

Nilienda mpaka reli na kukaa chini na kuanza kujifikiri na kujilaumu kwann nilimzalimisha mtoto watu kufanya naye mapenz na pia msala wa shule moyo nilikuwa nafikiria baba atavyokuwa na hasira na mimi ilifika mida ya saa 5 usiku nikiwa bado niko relini sikuwa na sehemu ya kwenda kutokana na damu zile ila wazo moja likanijia niende kwa Nasra kwa kuwa yuko pekee yake pale nyumban mwake

Nilifunga safari mpaka kwake na kukuta milango imefungwa niligonga hodi
"ngo ngo ngo alikaa kimya kidogo
"nani wewe mwenzangu
"davie
"mh usiku wote huu umefuata nn
"fungua tu alikuja kufungua mlango na kunikuta nimelowa damu
"davie umefanya nini kipenzi
"matatizo
"yapi tena hayo ilibidi nimueleze lakin nikimdanganya nimezingizwa kubaka wakati mimi sikufanya kitendo kile ,sikupenda kumuambia ukwel kwan alikuwa ananipenda sana
"pole sana davie aliniambia huku akiniingiza ndan mwake na kisha kufunga milango aliniweka kwenye kiti na kisha jikon kuchemsha maji kwa ajili ya kuniosha vidonda alirudi akiwa na maji mkonon
"kaa vizur nikuoshe alipitisha kitamba kwenye mikono yangu
"oooh nililia kwan nilipata maumivu makali
"pole
"mh sitaki tena naumia nenda kachukue sindano ya ganz
"sasa davie hiyo sindano mimi nitaipata wapi

Nilimuona akiamka na kwenda chumban mwake na kurudi akiwa na kanga moja kiunon
"unataka kufanya nini tena nilimuuliza
"subiri nikupe ganzi

Aliinama chini na kuivua suruali yangu na kisha kuanza kulichezea rungu taratibu kwa ulimi wake ,alinipapasa mapaja yangu kwa vidole vyake na kisha kuanza kulamba koni yangu taratibu alilamba na kusababisha rungu kusimama na kunifanya 

Mwili wote usisimke kwa rahammmmmh.......Aaaash ......Ooosh....Pole....Pole nilalamika kwan nilisikia raha za ajabu mwilini mwangu na kunifanya mpaka nipagawe aliendelea kulamba huku maji ya unyevunyevu yakitoka alisimama na kunisogeza vizur na kuchukua besen la maji kuweka pemben yetu alipanda juu ya miguu yangu na kupitisha rungu taratibu kwenye utamu wake ooooooosh alivuta pumzi na kuanza kukatika viuno na kunifanya nipagawe 

Vibaya alikatika na huku akishika mikono yangu na kuanza kuiosha kwa maji ya moto sikusikia tena maumivu kwan nilipata radha ya utamu alimaliza kuniosha na kisha kunipiga kiss shavun na kuanza kuzungusha kiuno kwa spidi ya ajabu na huku akilia vilio mmmmh .....Raha.....Asssha..... Uwii alilamika na mimi sikuweza kujishughulisha kutokana na vidonda tulicheza mchezo mpaka wotu tulipomwaga maji ya dafu alinyanyua na kunipeleka bafuni kuoga na kisha kuja kula alinilisha chakula na huku akinipiga mabusu mfululizo

Nilimaliza kula tulienda kulala chumba kimoja kama mke na mume kwa kuwa nilikuwa nimechoka sana nilipitiwa na usingiz nilikuja kushituka asubuhi nikiwa pekee yangu nilitoka mpaka seburen na kukuta kikaratasi kikiwa kimeandikwa
"davie mie nimeanda kazini na usitoke ndan nilikisoma na kisha kuwasha video na kukutana NA taarifa ambayo ilinishitua moyo wangu na kuwa na hofu kwa maisha yangu yanaweza yakawa mwisho kutokana na habari ile ....

Niliendelea kutoa macho kutazama kwenye television nilishuhudia tangazo likiwa na picha yangu huku kukiwa na maandishi anatafutwa kwa kosa la kubaka

Moyo ulinienda mbio na kujua tayari mwisho wangu umeshafika

Nilianza kujilaumu huku nikijutui kwann nilimlazimisha Baby

Machozi yalikuwa yananitoka na huku nikifikiria nimemwingiza baba kwenye matatizo na mimi nikiwa mtoto wa pekee

Nikiwa nimejinamia kwenye kochi huku machozi likanijia wazo kichwan mwangu niliingia chumbani kwa Nasra kwa kuwa mwenyewe alikuwa kaenda ofisini nilichukua suruali yangu na kuiva upesi nilitafuta shati nilikuta likiwa limelowa damu ikabidi nichukue jezi ya Nasra ya Moro united niliivaa na ikanikaa vizuri

Mikono yangu ilikuwa ina vidonda nilivaa gropsi na safari ya kwenda shulen kwa kina baby kumuomba msamaha ili akatae si kumbaka mimi ikaanza

Sikunywa chai niliamua kuondoka hivyo kwa miguu sikupenda kupanda basi kwa kuwa nilijua watu wangenijua nilipitia duka moja na kuchukua kofi ili kujificha uso Nikiwa njian kuelekea shulen kwa kina 

Baby nilishangaa gari ikipita na kusimama mbele yangu sikuitilia manani sana lile gari niliamua kulikwepa na kuendelea na safari yangu lakin nilishangaa likawa linanifuata kwa nyuma bado ilibidi nisimame lifunga breki karibu yangu nilishituka na kujua tayari mwisho wangu umefika na nilisimama huku mapigo ya moyo yakinienda mbio vioo vya gari vilifunguliwa na nilikutana na sura ya maadam recho
"mambo davie
"safi
"vp mbona leo asubuh alafu haupo kwenye uniform za shule
"Nimetumwa na baba
"ok twende nikupe lifti

Nilipanda kwenye gari lakin nikashangaa kukuta recho amevaa kiguo kifupi sana na kuacha mapaja yake yote wazi
"vp unaelekea wapi
"shule ya sekondari ya alfa
"kufanya nn
"nimetumwa na baba nilijaribu kumdanganya hakunijibu na akawa bize kuendelea kuendesha gari na mimi nikiwa na muangalia kwa macho ya wizi ,kwan mapaja yake yalikuwa meupe na yaliyojazia na kunifanya shetan aanze kuniingia mwili mwangu

Mara kidogo tukagongana macho mimi na yeye ghafla akasimamisha gari na kuanza kuniangalia kwa jicho la mapenz
"vp mbona wanishangaa
"mh

Mara nikashangaa kuona akichukua mkono wangu na kuupeleka kwenye mapaja yake na kuanza kuuchezesha na yeye kuupeleka mkono wake kwenye rungu langu na kuanza kulichezea mawazo ya kwamba nina kesi yaliniruka na shetan wa mahaba akaniingia

Nilichukua mkono wangu na kuanza kuchezea utamu wake na nilikuta ajavaa chupi nikapitisha kidole na huku midomo yetu ikiwa inabadilishana mateaaaash.....Oooosh..... Davie ....Mmmh.....Asssh alilalamika lakin sikujali

Niliendelea kumchezea na yeye alikuwa anachezea rungu langu mwili ulinizidi kunisisimka nakupata raha za ajabu recho alikuwa na ziwa kozi huku akiwa ana joto la ajabu na mwili wake ulikuwa unanukia harufu nzuri iliyosababisha kunipandisha mzuka zaid hatukujali kama tupo barabaran tulizid kuchezea na huku nikitoa mdomo wangu na kuupeleka kwenye ziwa lake

Mara kidogo tulishitushwa na mlio wa honi kumbe tulikuwa barabaran
"shit alisonya recho na huku akivaa nguo zake vizuri
Tuliondoka mpaka shule ya alfa na kupaki gari alitaka twende wote lakin kinguo alichovaa kilikuwa hakifai
"ok davie baadaye ila kesho nataka kuonana na wewe
"sawa nilimjibu na kushuka upesi kwenye gari

Nilishuka kwenye gari upesi na kukimbia kwenye geti la shule lakin nilishangaa kukuta hakuna wanafunzi ilibid nimuulize mlinzi
"shikamoo
"marhaba
"vp leo hakuna shule
"hapana wanafunz wameenda kwenye tamasha uwanja wa jamhuri sikungoja kumuaga mlinzi nilikimbia mpaka stendi na kuchukua gari kwenda uwanja wa jamhuri

Nilifika na kukuta wanafunzi mbalimbali wa shule za Moro nikasogea mpaka getini nikakuta kuna askari nikashusha kofia yangu ili nipite mara kidogo nikasikia sauti kwa nyuma
"ww

Moyo wangu ulishituka na mapigo ya moyo kunienda mbio kwa hofu na huku miguu yangu ikinitetemeka nikajua tayar mwisho wangu umefika na kujua lazima niwekwe ndani kwa kuwa kituo cha polisi cha morogoro kipo karibu na uwanja

Mapigo ya moyo yaliongezeka baadaya kusikia sauti ile ikiniita kwa nyuma .Niligeuka huku nikiwa na hofu na kujua labda ni polisi
"oya vp chalii wapenzi mzee wa totoz
niligeuka na kuwakuta Evans na baraka wale jamaa ambao tunasoma nao shulen pamoja moyo kidogo ulitulia
"xafi vp
"pouwa mbona leo shule hujaja
"naumwa
"ooh pole sana ila ilo kofia limekutoa ile mbaya
"asanten
"na vipi jana mbona umegombanisha wachumba umeacha msala mkubwa maticha wanakutafuta kama nini
"vp leo tunacheza nani nilijaribu kubadilisha mada upesi upesi
"leo tunakipiga na kihonda sec
"ok pouwa

Niliwajibu upesi upesi na kuingia ndani ya uwanja maana yule polisi alikuwa ananiangalia sana Niliingia ndan ya uwanja na kutafuta sehemu na kukaa na kuitoa kofia yangu maana mule ndani sikuwa na hofu kwa kuwa lile tangazo lilitangazwa asubuh na wanafunzi wote walikuwa wameshaenda mashule

Nilikaa sehemu ghafla nikashangaa mikono ikiniziba uso kwa nyuma nikashituka sana 
"mh otea mimi nani aliniuliza huku akiendelea kuniziba macho
"sijui nilimjibu
"mimi mpenzi wako ebu nitaje 

Nilikaa kimya kwa kuwa nimetembea na wasichana wengi
"taja bana au unao wengi sikumjibu bali nilichukua mikono yangu na kuivuta mikono yake kwa nguvu nilipata maumivu kwan mikono yangu ilikuwa bado na vidonda
"oooh kumbe wewe alikuwa ni stella
"yaah ni mimi alinijibu huku akiwa kwenye hali ya upole

Alinishika mkono na kunivuta kunizungusha nyuma ya vyoo vilivyokuwa ndani ya uwanja wa jamhuri tulikaa sehemu na yeye akakaa kimya huku akiniangalia machoni

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

19 Simulizi Utamu wa Vanila
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni