PENZI PENZINI (22)

Jpt
0
Mwandishi: Eliado Tarimo

SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
ILIPOISHIA...
Dulaha kwa mbwembwe alianza kumuogesha binti huyo kwa maji ya moto huku akimsugua sugua vizuri sehemu mbali mbali za mwili wake hasa zile ambazo zikiguswa na mwanaume uamasha hisia za huba.Zuhura naye alijibu mapigo kwa kuanza kumuogesha Dulaha huku mikono yake ikikwama sehemu zile za kifaa maalumu ambacho ndicho fahari na raha ya mwanamke.

SASA ENDELEA...
Stimu ziliwakolea na hawakuweza kutoka humo bafuni bila kupeana mautamu.Hapakuwa na jinsi zaidi ya staili ya dogie kutumika.Waliendelea kupeana raha huku maji ya moto yakiendelea kububujika kutoka kenye hilo bomba la mvua. Zuhura alijibinua kidogo akashikilia bomba na Dulaha kumuingilia huku macho yake yakifaidi umbo zuri la kibantu la binti huyo, hasa kwa upande kwa nyuma.Alifurahia jinsi makalio makubwa ya binti huyo yalivyokuwa yamejibinua. Msuguano msuguano huo ulitosha kabisa kufurahia mapenzi ya bafuni. 

Haikuwachukua mda sana kufika mwisho wa safari iliyoanza bila kupangiwa na hii ni kutoakana na utamu wa staili hiyo. Walioga vizuri kisha wakavaa nguo tayari kwa kuelekea stendi. Zuhura aliuliza kama kunauwezekano wa kupata majivu ili eti achanganye na maji eti anywe ili azuie mimba. “Majivu hata hamna huku kwetu wanatumia majiko ya gas na umeme alijibu Dulah. “Sasa tufanyaje? maana mimi nipo kwenye siku za hatari za kupata mimba” aliuliza Zuhura. “Wewe nani amekwambia majivuu ni kinga ya mimba?” aliuliza Dulaha kwa mshangao. “Si wanawake wa kule kwetu Mbeya wanatumiaga majivu” alijibu Zuhura.

“Hapana achana na hzio njia za kienyei cha msingi nitakupa pesa uendee duka la dawa watakupa vidonge ambavyo unatakiwa uvimeze ndani ya masaa 48 tangia ufanye mapenzi” alipendekeza Dulah. “Kwa hiyo hakikisha kesho asubuhi unakunywa hivyo vidonge. Akampa hela na kumuandikia jina la vidonge hivyo ambayvo walikuwa wakivitumia sana na Alice punde tu walipojikuta wamefany kosa kama hilo. 

Basi alimpeleka stendi akapanda basi na wakaagana na kuachina hapo stendi. Huo ndo ukawa mwanzo na mwisho wa mapenzi yao kwa sababu hawakupata kuonana tena mpaka matokeo yakatoka na Zuhura akapangiwa chuo cha SAUTI mwanza. Dulaha yeye matokeo yake hayakuwa mazuri sana ila kutokaana na hali nzuri ya kiuchumi waliyokuwa nayo aliamua kujiunga na chuo cha utalii na wanyama pori ambacho kipo kibosho mweka. Miasha yakaendelea na kujiunga kwake chuo kidogo ikamsaidia kuepukana na anasa zilizokuwa zikimsumbua kichwa lakini bado mawazo ya yeye kulipa kisasi kwa Alice yalikuwepo pale pale.

Alianza mazoea na marafiki zake Alice hasa Easther na Stella. Wikiendi walikuwa wakikutana kwa siri na kula bata. Kwa kuwa ilikuwa ni kawaida yao kupenda starehe hivyo ilikuwa ni rahis sana Dulaha kuwashawishi marafiki wa Alice kukutana mahali na kula bata. Yaani Easther ukimuakikishia nyama choma na kinywaji basi lazima afike eno lolote utakalo mwambia afike. Easther pamoja na kupenda starehe bado ilikuwa ni ngmu sana kumuingiza laini kwani Easther alisistiza kuwa alikuwa na boyfriend wake ambaye alikuwa akimpenda sana.Dulaha hakukata tamaa na aliamini kuwa ipo siku atakamilisha lengo lake hilo ya kulipa kisasi.

Hakutaka kuamishia majeshi kwa Stelaa kwa sababu aliamini alikuwa ni mrahisi sana na angeweza kumshawishi na kufanya naye mapenzi kwa urahisi. Ila yeye aliamini kuwa Easther ndo alikuwa kubwa la maadu na poa anaamini kuwa yeye ndo chanzo cha cha kumshawishi Alice aache na yeye.Dlah siku zote laiamini kuwa Easther ndo chanzo cha kumbadilisha Alice na kumshika masikio kwa kumpa ushauto mbya ambao nfo ulisababisha wao kuachana. Pia kisasi cha Dulaha hakikuishia kwa marafiki tu wa Alice bali kisasi kiliamia mpaka kwa ndugu wa Alice wote alitaka kutembea nao.

Staili ile ya kukaa katikati ya kitanda kisha Alice kumzungushia Gaston miguu yake kwenye kiuno na kumkumbatia kwa nguvu huku matiti ya Alice yakigusana na kifua cha Gaston ilitosha kabisa kumaliza ushemeji wao na kufungua ukurasa mpya wa mapenzi.Walifanya hivyo kwa mda kabla kuachaina na Alice kutumia taulo lilokuwa hapo pembeni kujifuta yeye na kumfuata Gaston ambaye alihisi kuchoka sana hivyo alijiahia na kupitiwa na usingizi. 

Gaston naye alikuwa amechoka sana na hakuamini kilichotokea. “Yaani leo nimepewa mautamu kiulaini kabisa” yaani kama na nawa aliwaza Gaston haku akiwa amejilaza pembeni mwa Alice. Kwa jinsi alivyofurahishwana penzi la binti huyo akajihsi mwenye bahati akavuta shuka kisha akamfunika vizuri binti wa watu na yeye pamoja kisha wakaanza safarii ingine ya usingizi.

Walilala fofofo mpaka asubuhi na walisahau hata kushusha neti.Nazani hata mbu walishindwa kuwashamblia sana kwa sababu damu zao zilikuwa zimejaa pombe. Walikuja kushitushwa na mtu akigonga mlango.Gaston hakuweza kushtuka kwa sababu alikuwa amelala fofofo. 

Alice alibahatika kusikia mlango ukigongwa akajaribu kumshtua Gaston lakini ndo kwanza alikuwa anazidi kukoroma. Alice akajua labda ni yule dada muuza maziwa ambaye kila siku huwa analeta maziwa na kwani Alice alishawahi kulala hapo mara kadhaa hivyo alishazoea.Basi aliaamua kuvuta shuka na kujifunga kiholela holela na kwenda kufungua mlango. “Mungu wangu” ndo kauli aliyoisema Alice huku akianza kutetemaka kabla ya kufunga mlango kwa nguvu na kurudi ndani.Alice alitamani ardhi ipasuke ili aingie ndani kwa kile alichokiona.

Nguvu zilimuishia akajikuta akishuka chini taratibu na kuzimia. Mtu aliyemuona aliendelea kugonga mlango kwa nguvu jambo ambalo lilimfanya Gaston ashtuke kutoka usngizini.Wakati Gaston anataka kufungua mlango alimuona Alice akiwa ameanguka hapo chini. “Helow ni sauti ya mtu aliyekuwa nje alipiga simu kwa Dulah na kumwambia kama anaweza kufika eneo hilo basi afike haraka iwezekanavyo akashuudie matunda ya usaliti. 

Dulaha kwa kuwa alikuwa mjini tena stend alichukua gari na kuamua kwenda kushuudia nini kimetoakea. Ilimchuka Dulaha kama dakika kumi kufika eneo hilo. Gaston aliendelea kumpa huduma ya kwanza Alicea ambaye alikuwa ameanguka chini na kupoteza fahamu. Gaston aliona ni bora kabisa kuokoa maisha ya Alice kuliko kufungua mlango.

Bado pamoja na kumpepea pepea Alice bado hakuweza kumka.Akaona isiwe tabu ngoja atafute msaada mwingine.Wakati anatafuta nguo ya kuvaa mlango ukagongwa tena na kasikia sauti kama ya kike tena ya Mwajabu. Akaona isiwe tabu bora aombe msaada wa kumtafuta gari na kukimbiaza Alice hosptali . Alifungua mlango na hapo kidogo na yeye azimie mara baada ya kumuona Jesca mpenzi wake wa zamani na rafiki kipenzi wa Alice. 

Sio yeye tu bali alikuwepo pia Mwajabu ambaye alikuja kuomba notes za somo ambalo jumatatu yake likuwa na test . Kuangalia vizur pia alimwona Dulah ambaye kwa kumbukumbu zake pia alikuwepo kule polsi kwenye yale majanga amabyo yalimkuta Alice.Gaston alikuwa kama amechanganyikiwa huki akitoa ishara kuwa Alice alihitaji huduma ya kwanza.

Jesca kwa hasira aliingia chumbani na kumkuta rafiki yake huyo akiwa amelala chini ishara kuwa alikuwa amepoteza fahamu. Alijaribu kumtingisha tingisha lakini hakushtuka na alipomwangalia vizuri aligundua kuwa alikuwa uchi hakuwa amevaa nguo yoyote zaidi zaidi ya shuka ambalo alikuwa amejifunika. Gaston wakati huo alikuwa amekimbia barabarani kwenda kuita tax ambayo ingetoa msaada wa kumpeleka Alice hospitali.

Jesca aliingiwa na huruma sana akamuomba Dulaha ambaye alikuwa amekuja na gari kutoa msaada. Jesca alijaribu kumsitiri Alice kadiri awezavyo kisha wakasaidiana na Dulaha kumpakia kwenye gari tayari kwa kumkimbiza hospitalini. “Ujue huyo anakuwaga anasumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa moyo na presha.” Alisema Dulah huku akiwasha gari.

Mwajabu yeye alikuwa ameduwaa tu hasijue nini kinaendelea. Ikabidi na yeye ingie kwenye gari tayari kwa kuelekea hospitalini.Wakakutana na Gaston na yeye akija na gari ikambidi tu na yeye ashuke na kujiunga na msafara wa kina Mwajabu. Yule dereva aliyekodishwa ikabidi awe mpole kutokana na mazingra ya tukio lenyewe. Walimkimbiza Alice kwenye hospitali iliyokaribu. 

Kama alivyosema Dulah presha yake ilishuka hivyo akapata huduma na baada ya mda hali yake ilirudi ktik hali ya kawaida.Jesca ambaye alipata taarifa kuwa Alice anamsaliti kupitia Easther rafiki wa Alice ambaye hakufurahiswa kabisa na kitendo cha Alice kumkataa Deo na kumkubalia Gaston.Ikumbukwe Deo alikuwa akimpa hela nyingi sana Easther ilimradi tu amuuunganishe na Alice. Kwa hiyo usiku ule walipokuwa disco mara baada ya kuona Alice ameondoka na Gaston akaamua kuandika sms ya umbea kuwa rafiki yake anamsaliti yeye hakujua kwamba Gaston na Jesca walishaachana kwa sababu kama hizo hizo za usaliti.

Kwa bahati mbaya au nzuri Jesca na yeye alikuwa Moshi siku hiyo hivyo akaamua kuthibitisha hilo kwa asubuhi yake kuamkia eneo la tukio. Alitaka kumuonesha Alice kuwa kitu anachokifanya sio kizuri kwa sababu wawili hao kulikuwa kuna uwezekano mkubwa kabisa walilala wote mpaka asubuhi. Hivyo aliona ni vyema kumshirikisha na Dulah ili ajue duniani hakuna wa kumwamini hata awe nani yako. 

Hivyo pia marafiki zake Alice yaani Easther na Stella walifika hospitalini. Madaktari walishauri watu wote waondoke abaki rafiki mmoja tu wa Alice ili atakapozinduka kutoka kwenye usingizi wa kuzimia hasiwaone kwa sababu kulikuwa nauwezakano kuzimia tena kama angeonana na rafiki yake Jesca. Hivyo Mwajabu waliondoka na Gaston na Dulah aliondoka na Jesca na Easther ambao aliwashusha chuoni na wao(Dulaha na Jesca) kuondelea na safari ya kuelekea mjini.

Kwa hiyo aliyebaki na mgonjwa alikuwa ni Stella ambaye hakuwa msaliti wala mnafiki. Dulaha alifurahishwa sana na tukio hilo na aliaamini kuwa hiyo ndo itakuwa njia rahis ya kulipa kisasi na tayari mawazo yake yalishaamia kwa Jesca ambaye alikuwa pembeni ya gari. 

“Mbona unapita barabara ya mbali?” aliuliza Jesca mara baada ya kuona akipandisha barabara ya shaunt Town. “Nataka tuingie hapo Mercury tupate chochote kitu na pia toungee mawili matatu” aliibu Dulah huku akiongeza mwendo. “Mmmmh taratibu shemu spidi yako hiyo usije kusababisha ajali alimuonya Jesca. Wakafika Mercury sehemu ambayo ilikuwa inasifika kwa kutoa huduma nzuri.

Walipaki gari kisha wakatafuta siti nzuri ambayo ilikuwa imejitenga na yenye utulivu wa kutosha. Baada ya kukaa muhudumu alifika tayari kwa kuwahudumia. Dulaha akamuuliza kama wanabarafu na muhudumu akamjibu kuwa hilo sio swala la kuuliza huduma zote zinpaiakana. Basi naomba uniletee Gilbers, barafu na limao aliagiza Dulaha na kumtupia mpira Jesca ambaye yeye alisema aletewe fanta orannge. Jambo hilo lilimshitua Dulah na kushangaa shemeji yake huyo kuagiza soda. 

“ Kwa hiyo shemeji hutumiagi kabisa pombe aliuliza Dulaha kwa mshangao mara baada ya muhudumu kondoka”?. “Sijawai kutumia shem uwangu na hata sijui ladha ya pombe ipoje” alijibu Jesca kwa upole. “Itabidi leo uonje tu alisema Dulaha kabla ya kummuuliza kama atafurahia wine aletewe kuliko kunywa soda.

Jesaca kwa sababu lishawahi kuonja wine kwenye masherehe akajikuta akikubali kiurahisi.Basi muhudu alivyokuja Dulaha alimuamuru arudishe fanta orange na ammletee penasol red.Dulaha aliomba pia aitiwe mtu wa jikoni.Boksi la penasol lililetwa na muhudumu pia alikuja. “Mimi nileteee mchemsho wa kuku alisema Dulah”. Na mimi pia nileteee hivyo hivyo alidakia Jesca.

Kila mtu alijimiminia kinywaji kwenye glass tayari kwa kujiburudiisha. “Kwa hiyo shemu wangu hivi umerizika kabisa wewe kuachana na Alice?” aliuliza Jesca mara baaaada ya kupiga pafu moja la kinywaji. Nitafanyaje sasa shughuli mwenyewe si umeiona alijibu Dulah. “Kweli hapoo hamna jinsi hata mimi nimekubali matokeo kwa sasa 

Gaston siwezi kuwa naye kwa namna yoyote ile alisema Jesca huku akiendelea kunywa kile kinywaji kwa spidi kubwa bila kujua kwamba pengine kinaweza kumlewesha kwa urahisi pengine kuliko hata pombe kali alizokuwa akinywa Dulah.Mchemsho wa maana ambao ulikuwa unatia hamu ya kula hata kabla hujashushwa mezani ulitengwa mezani tayari kwa kuliwa.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)