SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO
ILIPOISHIA...
Masikini msichana huyo akajikuta akiingiliwa kimapenzi bila idhini yake.Sitaki kumlaumu sana Anna huenda umri wake wa kitoto ndo ulimponza ila kwa namna moja au nyingine na tamaa pia ilimponza.Ebu fikiria kama mwanaume alikuwa akimtaka kila siku na kumkatalia nini kilimfanya akubali kwenda chuoni kwao na kuingia chumabani kwake. Pia tabia yake ya kupokea zawadi na kula pesa za Dulaha ilimponza kwa namna moja au nyingine.
SASA ENDELEA...
Mahusiano hayo yaliendelea na Dulaha alifanikiwa kufanya naye mapenzi kama mara tatu hivi kabla ya binti huyo kurudi kwao Dodoma kwa maama Moshi alienda kusalimia tu.
Pepo la Dulaha likaamia kwa Easther mtu ambaye alimsumbua kwa mda mrefu sana kwa kula pesa zake.Safari hii hakutaka kutumia njia za kistaarabu la hasha bali yeye aliamua kutumia njia za kimafia zile zilizofanikisha yeye kulala na mdogo wake Alice. Kama kawaida yake alisubiri wikiendi ifike na kuomba outing na binti huyo na safari hii alihakikisha kuwa Easther anakuwa peke yake.
Akaenda mahali ambapo huduma mbili zilikuwa zikipatikana yaani huduma ya bar na huduma ya guest house. Siku hiyo Easther hakuwa na hili wala lile akajipanga kabisa kwa ajili ya kula bata na kutia hasaraa tu. Mawazoni mwake alikuwa anawaza pombe na nyama choma tu.
Wanasemaga ndege mjanja unasa kwenye tundu bovu , basi ndivyo ilivyokuwa kwa Easther siku hiyo kwani alifakamia pombe utafikiri yupo kwenye sherehe ya bure. Mda wote huo Dulah alikuwa akisubiri tu aende chooni na maji yalipozidi kwenye mwili wa Easter alikwenda chooni mwenyewe bila kuambiwa na mtu.
Hapo Dulah hakufanya makosa alifungua karatasi yake ya dawa na kumiminia vizuri kwenye chupa kisha kutingisha vizuri kuhakikisha kuwa dawa hiyo haifurumii na kumuumbua.Ilibaki kidogo afumaniwe ila umakini wake ulimsaidia. Easther alirudi kutoka chooni huku akiwa hana hii wala lile. Alivyokaaa tu alinyanyua kinywaji chake kilichokuwa kwenye glass na kupiga pafu moja.
Kitendo hicho cha kunywa kinywaji kwa Dulah ilikuwa ni zaidi ya fuaha akiamini kuwa atakapo maliza kinywaji kilichopo kwenye glass basi itakuwa ni fursa nzuri kwa Easther kumimina chupa iliyokuwa nusu ambayo ndo iliwekewa zile dawa za kulevya. Kasi ya Easther kwenye unywaji ilikuwa kubwa sana akanyanyua chupa kwa ajli ya kumimina kwenye glass.
Ghafla ilitokea shoti ya umeme ambayo ilifanya watu kushituka na kugonganisha meza na kufanya vinywaji kumwagika. Hata kile ambacho ilikuwa ni mtego wa Easther na chenyewe kilimwagika jambo lilomtia huzuni bwana Dulah ambaye tayari alishaanza kushangilia ushindi wake wa kulipa kisasi kwa binti huyo.
Walisogea kwa ndani zaidi maana mwanzo walikuwa wamekaa nje sehemu ambayo ilikuwa ni garden.Walianza upya kwa kuletewa vinywaji vingine huku Dulah akikata tamaa kabisa na jambo hilo la kutegemea madawa kumzimisha Easther.Ikabdi aanze kutumia njia za kawaida za kumtongoza mwanamke huku akijifanya amelewa na kumshika shika
Easther sehemu ambazo zilikuwa na stimu. Kweli usilolijua ni usiku wa giza kwa maaana wakati Dulaha akiangaika kutumia mbinu zisizo rasmi Easter yeye alikuwa akitafuta mbinu tu za komkomoa Alice ambaye alitangaza kuvunja urafiki. Kwa akili za Easther ni kwamba endapo Alice akigundua kuwa Dulaha ametembea na yeye basi itakuwa ni zaidi ya maumivu kwake.
Kwa hiyo mbinu aliyoitumia ni simple u kumwambia Stella afike sehemu hiyo walipo na Dulah.Easther alimweleza ukweli Stela kuwa yupo na Dulaha na siku anataka wakafanye naye mapenzi na ameamua kumkubali kwa sababu Dulaha amekuwa akimsumbua kwa mda mrefu sana. Easther alikuwa na akili sana kwa sababu alijua mda huo lazima Stela atakuwa na
Alice hivyo basi lazima atamuonesha hizo meseji na kweli ndicho kilichotokea. Stella hakuweza kufika mda ukazidi kwenda na kigiza kikaanza kuingia huku Easther akizidi kulainika na kutoa ishara kuwa alikuwa tayari kwa lolote hivyo Dulah hakuona haja ya kutumia tena madawa ya kulevya.Zaidi aliongeza huduma ya raundi za pombe huku akiamini kuwa kumlewesha itakuwa ni jambo zuri zaidi.
Waliendelea kula bata na Easther alidai kuwa anataka kwenda club kukamliisha furaha ya siku hiyo. Dulaha alitumia nafasi hiyo vizuri kwa kumuuliza je, achukue chumba kabisa ili wakitoka klabu waje walale wote? Easther alisita sita lakini baadaye alikubali na harakati za kwenda club zilianza.
Wakati wao wakipanga kwenda club, Stella, Alice na Gaston na wao walijiandaa kwenda club kwa kile walichokiita kwenda kupunguza stess.Unajua kitu ukishakizoea inakuwa ni tabia, ingawa Gaston hakupendelea kwenda club lakini wenzake walikuwa wamezoea sana na ilikuwa ni moja ya furaha yao. Gaston alikosa kisingizio hasa katika kipindi hicho ambacho Alice alikuwa kwenye matatizo na alikuwa ametoka hospitali.
Hawakupanga kukutana lakini walikutana Club jambo ambalo lilimuumiza sana Alice kuona mpenzi wake wa zamani yaani Dulaha akiwa na rafiki yake yaanii Easther “Najua hayo ndo matunda ya usaliti alisema Alice mara baada ya kumona Easther na Dulaha wakiwa wanacheza kwa kukumbatiana kimahaba.
Gaston alibahatika kulitambua hilo kuwa Easther alikuwa akicheza mchezo ambao ungeweza kuleta madhara kwa Alice na pengine kurudia hali yake ya ugonjwa. Dulah aliamua kuwa beneti na Alice na hakumpa upenyo wowote ambao ungeweza kuleta vurugu na majanga mengine. Alice alijitahidi kuvumilia lakini baadaye uzalendo ulimshinda na akamwambia Gaston anahitaji kupumzika.
Basi ilibidi siku hiyo waondoke club mapema na kuwaacha wenzao wakiendelea kula bata. Kitendo hicho cha wao kuondoka ilikuwa ni zaidi ya furaha kwa Easther kwa sababu lengo lake la kumkomesha kwa kumrusha roho lilikuwa limetimia.Baadaye mara baada ya Easther na Dulaha kurizika na kutosheka na mziki waliondoka na kwenda kulala kwenye kile chumba ambacho walikodi.
Kwa Dulaha siku hiyo ilikuwa ni zaidi ya ushindi ingawa yeye hakupenda kumuumiza Alice kwa kiwango kile kutokana na matatizo yake ya presha aliyokuwa nayo binti huyo.Ingawa Dulaha alifanikisha athma yake ya kulala na Easther mtu ambaye anaamini kuwa ndio msichana aliyevuruga mapenzi yao pia aliwaza
kumpiga picha za uchafu maana aliamini bila yeye mapenzi yao na Alice yangedumu. Walivyofika chumbani Easther alikimbilia chooni kwenda kujisafisha.Dulaha akatumia nafasi hiyokutega mitambo yake ya kamera ambayo ingerekodo kila kilichoendelea hapo ndani. Easther alivyotoka chooni alichojoa nguo zote na kubaki kama alivyozaliwa kisha akijimwaga kitandani.
Dulah alisimama kama dakika tano hasiamaini kuwa msichana huyo ndiye aliyemsumbua mda wote huo. Easther mara baada ya kuona mwanaume huyo amesimama kama mlingoti alisema “ Naomba uzime taa tulale maana mda wenyewe ushaenda sana sasa hivi tutagongewa”.
Basi Dulaha naye akajitupa kitandani na kuanza kujilia vitu alivyovingaikia kwa mda mrefu. Aliamaua kumkomoa binti huyo kwa kumpeleka staili za ajabu ajabu zenye raha na karaha. Kutoakana na wembemba wake na umbo lake la kimiss Dulaha aliweza kumkunja kwa staili yoyote aitakayo.
Ukilinganisha na pombe walizokunywa basi ilikuwa ni zaidi ya burudani.Dulaha nia yake kubwa ilikuwa ni kumkomesha binti huyo.Alimchukua na kumuweka staili ya kifo cha mende lakini sio ile tuliyoizoea bali yeye aliimkunja na kuiweka miguu kwa mbele.Miguu ya Alice ikawa imejikuja kuelekea kichwani kwake.Ingawa Dulaha alitaka kumkomesha Easther lakini ni kama tu alikuwa akijisumbua kutokana na Easther kuwa mtu wa mazoezi na umbo lake jembembe lilimuwezesha kumudu staili hiyo.
Utamu Ulipokolea Easther aliamua kuweka mguu mmoja kwenye ukuta huku akiendelea kutoa milio ya raha..Mmmmmmmmh, mmmmmmmm,, uyuyuyuyuuuuuuuuuu, yeeeeeeeah. Sauti hizo kwa Dulaha ilikuwa ni furaha maana alihisi anamsugua na kusababisha raha na karaha. Kama hiyo haitoshi Dulah akamchukua akampigisha magoti ili afaidi utamu utamu wa nyuma. Alimpigisha magoti alafu yeye akaka nyuma yake na kuanza kupeleka mashambhilizi kutoka pande hizo za nyuma ya goli. Easther naye hakuwa haba alikuwa akimsogezea makalio na kujaribu kumzungushia na kuleta mshawasha wa ajabu.
Dulaha alijitahii sana kumsugua lakini bado bao lilikataa kutoka.Ikabidi Easther ajilegeze na kujiachia pale kitandani.Dulaha naye alikuwa amechoka akampa ishara binti huyo apande juu ili ajipimie mwenyewe.Dulaha akalala na mgongo kisha binti huyo akapanda juu na kujipimia saizi aliyokuwa akiitaka.Hapo Easthe naye akaonesha maufundi yake ya kuzungusha nyonga yake nyembemba ya kimiss kumpa raha Dulaha na baada ya mda mfupi wote walikuwa kileleni wakifurahia upepo mwanana. Kutokana na uchovu na ulevi ulevi wa pombe hakuna aliyetaka raundi ya pili zaidi tu kila mtu alialla kwa staili yake.
Mapenzi ya Gastona na Alice yaliendelea na Alice aliaminshia vitu vyake vyote kwa mwanaume huyo kwa madai kuwa hawezi kuendelea kukaa na Esther chumba kimoja kwa roho mbaya aliyokuwa nayo anaweza hata kumwekea sumu.Ingawa Gaston hakufurahishwa na tukio hilo la
Alice kuaamia kabisa lakini hakuwa na jinsi kwa kipidi hicho aliamini kwakuwa semista ilikuwa ikiisha ivyo wakirudi kutoka likizo kila mtu angefuata ustaarabu wake. Walisoma kwa bidii sana na walifanya mitihani kisha kila mtu kutawanyika na kuenda kwao. Ilikuwa ni likizo ndefu tena ile ya zaidi ya miezi mitatu ambayo wanachuo wengi wanaendaga ya kumalizia mwaka wa masomo.
Likizo hiyo ilimfanya Alice kuwa mpweke sana na mda mwingi alikuwa akiwaza vitu vingi vilivyotokea ususani kwenye maisha ya mapenzi. Pamoja kwamba alishaanza mahusiano na Gaston na ni mwanaume ambaye alimkubali sana kipind hicho lakini bado alikuwa akimwaza sana Dulah na hakuaamini kama kweli waliachana.
Alitamani kama angeweza angezirudisha siku nyuma.Kwa upande wa Dulah yeye roho yake ilirizika sana mara baada ya kufanikiwa kulipa kisasi kwa kutembea na Easther mtu ambaye alimsumbua sana akili yake. Siku ile alipolala naye usiku alifanikiwa kumpiga picha za uchi na kwa sababu Easther alikuwa amelewa sana hasiyejieewa.Alizihifadhi picha hizo akiaamini siku yoyote akimtaka mwanamke huyo atampata kwa sababu endapo akikataa tu basi atamtishia kuzisambaza picha hizo kwenye mitandao ya kijamiii.
Siku moja Dulaha alimpigia simu Easther na kumwambia waonane. Easther naye kwa kuwa alikuwa akipenda starehe ilibidi waonane wakaponda raha sana siku hiyo lakini Dulah alipotaka kulimenya tunda na binti huyo Easther alianza mashauzi.Basi Dulaha siku hiyo akamvumilia na kumuacha arudi chuoni bila kufanya naye mapenzi.Wikiendi iliyofuata alimuita tena binti huyo akaja mjini lakini pia binti huyo hakutaka kufanya mapenzi zaidi tu alitaka kula nyama choma na bia.
Dulaha siku hiyo aliamua kumtolea uvivu kwa kumwambia kama siku hiyo a hasipompa penzi basi atazisambaza picha zake mitandaoni.Easther hakuamini anachokisikia na kwa ushenzi Dulah alimuonesha picha hizo.Easthe hakuwa na jinsi zaidi ya kukubali kwenda kuliwa.Siku hyo Easthe aliamua kujitoa ufahamu ili mradi tu aweze kumpagawisha Dulh kisha kuzifuta zile picha kwenye simu ya Dulah.Siku hiyo alimpa penzi tamu na aliitaidi kutumia kila staili ilimradi tu ampagawishe.
Ingawa Easther aifanikiwa kuiba memory ya Dulaha na kuondoka nayo lakini Dulaha hakuumia kwa sababu picha hizo aliziwekapia kwenye laptop yake.Kwa hiyo kama angetaka kuendelea kumfanya Easther kuwa chombo cha starehe yake angeweza lakini kuna roho ya kibinamu ilimjia na kuamini kuwa huko kutakuwa ni zaidi ya kumkomesha na kumuharibia maisha.Dulaha aliamua kubadilisha maisha yake na kuachana kabisa na maisha ya starehe. Alitafuta njia nyingine za kujipa raha za maisha kama kufanya mazoezi kupenda kusoma vitabu mbali mbali hivyo kujikuta akikaa mda mrefu sana bila kuwa na mpenzi.
Siku moja akiwa kwenye gari akitokea chuoni na kwenda mjini alitokewa kuvutiwa sana na binti mmoja aliyepandia njiani ambaye alilazimika kusimama kwa sababu siti zilikuwa zimejaa.Dulaha alitamani kumpisha binti huyo kwenye siti kwa jinsi tu alivyomvutia. “Sema anaonekana bado mdogo” aliwaza Dulaha mara baaada ya kumkagua kwa ukaribu na hiyo ni pale agari lilposimama kwenye kituo na abiria walipokuwa wakishuka. Alimuangalia sana binti huyo akajikuta uzalendo unamshinda na kuanza kumpigia hesabu kali hasa za kupata mawasilianao yake.
Waliendela na safari na vituo vichache kabla ya kufika stendi kubwa ambapo ndipo mwisho wa gari binti yule alishuka. Jambo hilo lilimchanganya Dulah akajikuta na yeye akishuka kwenye gari.Konda akawa anaangaika kutafuta chenji kutokana na binti huyo kutoa hela kubwa. “Kuna mtu mwenye chenji ya elfu kumi? Alisikika konda huyo akiomba msaada kwa abiria”
Dulah akaamua kutumia nafasi hiyo vizuri kwa kumwambia konda asimrudishie chenji yake yeye bali akate hela ya yule binti kisha amrudishie yule binti pesa yake kama ilivyo.Binti yule alibaki anashangaa tu hasijue nini kinaendelea. Konda akamrudishia binti yule elfu 10 yake na gari likaondoka wakabaki Dulaha na binti huyo.
“Asante kaka alisema dada huyo ambaye alionekakana kuwa mwenye heshima sana.Basi huo ukawa ndo mwanzo wao wa kujuana na kubadilishana namba za simu.Mazoea yakaendelea lakini Dulaha hakufanikiwa kumshawishi binti huyo kuwa mpenzi wake. Alitumia juhudi zake zote lakini bado hakufanikiwa wakabaki kuwa na ule urafiki wa karibu tu.
Maisha ya Gaston na Alice yaliendelea mara baada ya kufunguachuo na waliendelea kuishi kama mke na mme.Waliendela na uhusiano wao mpaka Gaston alipomaliza chuo. Kwa kuwa alimtangulia mwaka mmoja Gaston alimwacha Alice akiendelea na masomamo.
Gaston kutokana na perfomance yake kuwa nzuri darasanai alipomaliza tu chuo alipata nafasi ya kwenda kuendelea na masomo ya masters nje ya nchi. Alice akabaki kuwa mjane huku akipoteza imani kuwa Gaston atakuja kuwa wake tena kwa sababu sponsorship aliyoipata ilikuwa ni ya miaka 10.
Alice akaanza maishaya usingle huku akaimchukua Stela rafiki yake waishi woe kwenye chumba alichoachiwa na Gaston.Gaston alikuwa na roho nzuri sana kwani alimuachia Alice kila kitu kilichokuwa chumbani na hapo yeye aliondoka na begi lake tu.
KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA