
SEHEMU YA NANE
ILIPOISHIA...
“Sasa kama nimepaliwa nisiombe maji alisema au ndo unataka nifie hapa alisema Mwajabu huku akiyanyuka na kwenda kunywa maji.”. “Kuna rafiki yangu nimelala naye babee ilibidi Gaston atume meseji kwa Jesca ili kupunguza ukali wa tukio”. Badalaya Jesca kujibu sms yeye alipiga kabisa kumwambia Gaston nipe huyo uliyelela naye niongee naye.. “Acha wivu babee mtu mweneywe ni mgonjwa na amelala hizo ni kwikwi za usingizini tu alijaribu kudanganya Gaston huku akimwekea ishara Mwajabu kuwa hasije akaharibu tena.SASA ENDELEA...
Mwajabu alitamani kucheka kwa jinsi Gaston alivyokuwa amechanganyikiwa.Inaelekea huyu Mwanaume hana la kusema mbele ya huyu Jesca wake aliwaza Mwajabu. Gaston aliendelea kumdanganya na kumbembeleza mpenzi wake Jesca mpaka akafanikiwa kumtuliza maa alishahisi vibaya kwa asilimia zaidi ya mia moja mara baada ya kusikia sauti ya kike.Ikumbukwe haikuwa mara ya kwanza kwa Jesca kusikia sauti hiyo kwani hata ile siku ya fumanizi la Mwajabu alisikia sauti kama ya mwanamke.
Baada ya mazungumzo kuisha na Jesca kukata simu Gaston alianza kumind Mwajbu. “Kwa nini unafanya vitu vya makusudi au kukuaribisha kwangu na kukupa hifadhi imekuwa nongwa”? alihojii Gaston kwa ukali. Mwajabu kuona Gaston amepandwa na hasira akajitetea na kusema yeye hakujua alikuwa akiongea na nani. Mwajabu ni mwanamke mjanja sana maana alijua kujishusha na kuomba msamaha hasa pale alipoona maji yamezidi unga.Aliomba msamaha huku akimsihii Gaston hasiwe na hasira kiasi hicho.Gaston alimwambia kitu kimoja tu anaomba asubuhi ifike ili binti huyoo arudi kwake kwa sababu yeye huwa hapendi kutawaliwa hasa na watoto wa kike.
Hapo Mwajabu ilibidi akae tu kimya kwa sababu ilionekana Gaston ameshavurugwa vya kutosha.Wakati Gaston akilala mara simu yake iiliita tena na alipoangalia akakuta ni namba ya Alice ndo ilikuwa inapiga. Huyu naye usiku huu anataka nini au ndo Jesca ameshashitaki kwake? Alijiuliza Gaston na kuacha simu iite mpaka ijikate yenyewe. Simu ile ikapigwa tena na yeye bado hakutaka kuipokea. Baadaye iliingia sms inayosema “mimi Stela rafiki yake na Alice nilikuwa nakutakia usiku mwema namba yangu ni 0714 .....akawa ameindika pale. Gaston akajibu kwa kifupi noted.
Akaiizima ile simu kisha akajifunika shuka na kuanza kuutafuta usingizi ambao siku hiyo ulikataa kabisa kuja.Akawa anawaza sana juu ya maishayake ya kimapenzi.Akajaribu kufananisha penzi la Jesca na Mwajabu ambaye alikuwa amelala pembeni yake. “Kwa upande wa kitandani huyu Mwajabu kwa kweli yupo vizuri lakini ana mapepe sana bora nibaki tu na Jesca wangu mtulivu na hasiyependa shari aliwaza Gaston”.
Bora tu nibaki na Jesca wangu ingawa kitandanii sio fundi sana ila tutafundishana kidogo kidogo kuliko huyu mwanamke anayeoekana kabisa amekubuhu. Aliwaza vitu vingi sana juu ya Jesca akakumbuka jinsi bintihuyo alivyokuwa akijitoa kwa mambo engi juu yake ikiwa ni pamoja na kutorooka kwao kwa ajili yake.Akakumbuka jinsi Jesca alivyokuwa akimwibia hela baba yake na kumkabidhi yeye.Akakumbuka pia jinsi Jesca alivyokuwa na uwezo wa kumfariji kipindi kile alipokuwa mpweke mara baada ya Beatrice msichana wake wa kwanza kwenda mbali na upeo wa macho yake.Akagundua pamoja na usaliti alioufanya lakini Jesca ni msichana wa kuheshimiwa sana kwake na hata iweje bado hayupo tayari kuachaana naye.
Baadaye Gaston alipitiwa na usingizi na alikuja kushituliwa na mtu wa maziwa asubuhi saa moja.Akatoka na jagi lake akachukua maziwa akayaweka kwenye friji kisha na yeye akarudi na kuendeea kuuchapa usingizi. Aliamua kulala sana siku hiyo kwa sababu siku hiyo vipindi vyake vilikuwa vikianza jioni.
Baadaye Mwajabu aliamka akaoga na kupika chai.Alikaangiza mayai yaliyomfanya Gaston ashiituke kutoka usingizini. “Amka babee wangu unywe chai nzurii ya huba niliyokuandalia” Gaston alimuangalia Mwajanbu ambaye alishatenga chai mezani huku akiwa ndani ya khanga moja ambayo alitoka nayo bafuni akajikuta sehemu zake za siri sikianza kumsisimka ghafla. “Huyu naye anamautamu yake jamani aliwaza Gaston huku mtarimbo wake ukizidi kusimama na kuumuka utazani umewekewa hamira.” Sijui nipige kimoja cha mwisho aliendelea kuwaza huku akijinyoosha na kujibiringisha biringisah pale kitandani.
Mwajabu akamfuata na kumpa mkono ishara kuwa amke. Akamwambia babee uzuri wa chai mnywe wawili.Mikono laini ya Mwajabu aliyotumia kumshika Gaston ilizidi kummaliza Gaston akajikuta akimvuta Mwajabu kawa nguvu na kumkumbatia. Mwajabu akaanza kuhema kwa nguvu mara baada ya matiti yake kugusana na kifua cha Gaston.Joto la huba likaanza kumpanda. “Sijui ni mnyime maana yeye si anampenda sana Jesca” aliwaza Mwajabu na kujitoakwa nguvu.Gason hakukubali hilo litokee alimfuata na kuanza kumwambia “daaah mtoto umeumbika kila nikikuona nguzo yangu ya umeme inaongezeka urefu”.
Maana Gastona alikuwa amedata juu yake.Kabla hajajibu kitu tayari mikono yake ilishaanza kuperuzi nakudadisi kwenye chuchu zake.Akajikuta na yeye mizuka imempanda. “Acha nimpe tu ili nizidi kumpagawisha amsahau huyo Jesca wake kabisa” alijisemea Mwajabu.Akajibinua kidoga maana walikuwa wamesimama na Gaston akiwa nyuma yake.Bado akaona Gastona anapata abu kuingiza yote hivyo akainama zaidi ile staili ya chuma tembele.Gaston akabaki nyuma na kuanza kuchochoe pedo za baiskeli.Mwajabu alipoona anachoka harakaakajisogeza mbele kidogo akaweka mguu wake mmoja kwenye tendegu la kitanda hivyo kufanya mtarimbo wa Gaston kupiga angle maalumu ambazo huwa na utamu utamu wa vanila.
Mmmmmmmh babeeee,, iiiiiiiiiiiiiiiiiisssssssssssss, ooooooooooooooooh yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh Mwajabu alishindwa kuvumilia mara baada ya Gaston kuonga kuta za ikulu na kutirisha mvua mvua ya barafu ya utamu wa raha ya huba.Gastonaliongeza spidi mpka na yeye akafikia mshindo mkuu.Ilibaki kidogo tu waanguke chini lakini waliweza kukimbilia kitandani.Wakapumzika kidogo kisha akaanza Gaston kwenda kuoga kisha na Mwajabu akafuata.
Wakaakaa mezani tayari kwa kupata chai ya nguvu.Mwajabu akachukua asali akamuwekea kwenye maziwa. “Wewe maziwa na asali vinaendana kweli aliuliza Gaston kwa mshangao”.Acha uwoga babee alijibu Mwajabu.Akaongeza kuwa asali ni dawa kwani inasaidia kurekebisha homoni za mambo ya uzazi, inarudisha kumbu kumbu, inasaidia mfumo wa upumuaji na kutibu vidonda vilivyopo tumboni. Pia asali ni nzuri sana kwani zinarekebisha tezi dume hivyo kukoongezea uwezo wa kupambana na mikimki hasa ukikutana na mwanamke anayejua mapenzi kama mimi alijisifia Mwajabu.Gaston ikabidi aendelee kuwa mpole maaa na kwenye nyanja hizi alishazidiwa ujanja.Baadaye Mwajabu alimpikia chakula cha mchana kisha akaga na kuondoka zake.
Gaston alishukuru sana kitendo cha Mwajabu kuondoka maana alihisi ameutua mzigo mzito ambao alibebeshwa bila ya yeye kupenda. Aliwasha lap top yake na kuendelea kufanya assignment ambazo zilikuwa zikimsubiri.Wakati akiendelea alisikia mtu akaigonga mlango wake. “Mmmmmh siju atakuwa ni nani?” alijiuliza Gaston kabla ya kufungua mlango.Akafungua kuioga woga na alikutana na sura nzuri ya shemeji yake Alice. Alice akanyosha mikono huku ameipanua ishara kuwa amkumbatie na kusema supriseeeeeeeeeeeeeee.
Basi walipeana salamu hiyo ya kizungu na alimkaribisha aingie ndani na hakuwa peke yake bali na rafiki yake Stella ambaye alionekana kudata na Gaston kuanzia siku ile alipowasovia yale maswali ya business mathematics na accounting.Stela ikabidi atie neno mara baada ya kuona yeye amesalimiwa salamu ya kiswahili badala ya kizungu maana yeye alipewa tu mkono. “Inaelekea kaka Gaston una ubaguzi sana, mbona mimi hujanisalimia kama ulivyomsalimia Alice. Gaston akabaki anacheka tu asijue ajibu nini. Waliingia ndani huku wakikaribishwa na harufu nzuri ya chakula ambacho alikuwa amepika Mwajabu.
Swali la kwanza Gaston alilouliza ni je, wamepajuaje kwake hili hali walikuwa hawajawahi kufika ?. Alice akacheka na kumwambia nimeulizia ulizia mpaka nimefika.Gaston alifungua friji akawatolea vinywaji wakaendelea kuburudika. “Una gheto zuri sana alisema Stelaa mara baada ya kupewa kinywaji”. Alice alivyopewa kinywaji alipokea lakini alisema “kwa jinsi anavyosikia njaa ni bora angepakuliwa tu huo msosi unaonukia akajilia”. Alice na Gaston walikuwa wamezoeana sana hivyo angeweza kusema chochote mda wowote. Aliwapakulia chakula wakaendelea kula huku yeye akiendelea kula karanga zilizokaangwa na Mwajabu.
Hakuishia hapo alichemsha na maziwa kaendelea akurudisha nguvu zilizopotea usiku.Kama alivyaambiwa asali ni dawa basi alimiminia huko wenye maziwa badala ya sukari. “Inaelekea Gastona una jua kupika sana kwa jinsi chakula kilvyokuwa kitamu hadi raha” alisema Stella. Kabla Gaston hajajibu kitu aidakia Alice na kusema “sitaki kuamini kuwa hiki chakula umepiga wewe”. “Ni kweli shem nimepiaka mwenyewe si mnaniona nipo mwenyewe” alijibaraguza Gaston. Basi kama ni hivyo wewe ni kiboka na atakaye kuja kuolewa na wewe atakuja kufaidi sana alijibu Alice. Waliendelea kupiga stori mbili tatu huku wakiangalia movie nzuri ya lovestories mpaka mda wa kwenda chuo ukafika.
Stella na Alice walitamani wasiondoke kwa jinsi hiyo movie waliyowekewa ilivyokuwa tamu. Ilibidi Stelaa aulize ataipataje hiyo movie.Gastona akamjibu kwa kuwa na yeye bado hajainagalia akimaliaza atampelekea au kama ana flash basi ampe amnyonyee.Leo sijabeba flash ila usijali nitakuja kuichukua siku ingine alijibu Stella. “Tena kabla sijaondoka sehemu una kesi ya kujibu alisema Alice. Kesi gani tena jamani alihoji Gaston. Kuhusu Jesca sijui kwa nini siku hizi unamnyanyasa sana rafiki yangu kila siku yeye ni kulalamika tu, kama jana sijui ulimfanyanyaje aliuliza Alice. “Yaani sijui niseme nini ila rafiki yako amezidi wivu sana kwa sababu ata akimsikia mtu akiongea kwenye TV tayari anachanganyikiwa.
Wewe mwenyewe unajua maisha haya ya chuo kuna kipindi mtu unakuwa bize hata unashindwa kumatafuta. “Ila kweli hata mimi Dullah analalamikaga sana kuwa eti nimebadilika sana”.Hapo Stella yeye alikuwa kimya tu akiwasikiliza maana yeye ni miongoni mwa wasichana wadogo waliowahi kuumizwa na mapenzi na anayeamini mapenzi ni uwogo, usaliti na nikitu ambacho kinaweza kukupa raha na karaha mda wowote.
Jesca alimsihi sana Gaston ajitahidi asimuumize Jesca na ajitahidi kwenda naye hivyo hivyo pia akumbuke walipotoka.Gaston aliingia bafuni akaoga kisha wakaondoka na kuelekea chuoni.Gastona aliamua kuwahi darasani ili kuepushayale majanga aliyokutana nayo. Akawa anasubiri mwalimu aingie lakini siku hiyo mwalimu alichelewa kidogo.Baaadaye mwalimu aliingia huku akiwa ameongozana na Mwajabu.Jambo hilo la Mwajabu kuingia darasani lilimfanya kila mtu atabasamu mara baada ya uiona sura hiyo hadimu yenye skendo za kufumaniwa.Watu walotamani kucheka ila walijizuia wakikumbuka tukio la jana yake lilomfanya mwalimu asusie kufundisha. Mwajabu mara baada ya kuweka vitabu vya mwalimu aliangaza sehemu ya kukaa na kuona kuwa Gaston alikuwa amekaa mwenyewe binti huyo bila aibu alienda kukaa pembeni ya Gaston. Jamboo hilo pia liliwafurahisaha sana wanafunzi.
Gaston kimoyomoyo akawa anasema “huyu naye anataka kunichafulia jina”.Kipindi kiliendelea na baaada ya mwalimu kuondoka kuna mwanafunzi mmoja bingwa wa utani alikwenda kuwapiga picha ya kushtukiza na kuitupia kwenye group lao la whatasapp na hapo hapo coment za utani zikaanza kumiminika. Wengine walisema hiyo ni best couple, wengine walipiga madongo na kusema love is accident popote hutokea.Gaston mara baada ya kuziona hizo koment alimwambia Mwajabu hasikomenti kitu hajifanye kama hajaona kitu.Kwa kuwakomesha waliondoka wakiwa wameongozana kama bwana na bibi harusi huku Mwajabu akimwekea mkono begani.***
Dulah siku zote alijitahidi kuweka mikakati ya kumzibiti Alice ili asipokonywe na mtu mwingine. Alishatenga fungu kuhakikisha kuwa anakodi chumba ilikila wikiendi awe na Alice. Kabla ya wikiendi Dulah alishuka mjini akalipa kodi ya miezi sita. Wikiendi ilipofika alichukua gari la kaka yake akaweka mafuta na kumfuata Alice chuoni kwao. Ikumbukwe Dulah alikuwa ni mtu wa matambo sana na siku zote alipenda watu wafahamu kuwa yeye ni nani. Hakusita sehemu yeyote alipoenda kutumia jina la baba yake.Siku hiyo alimchukua rafiki yake Omary kwa ajili ya kampani.
Waliondoka na Alice na kabla ya kwenda huko alipopata chumba waliingia sehemu moja maarufu kama city garden na kutuliza koo kidogo. Wakiwa sehemu hiyo alikuja kijana mmoja ambaye alikuwa pembeni yao na kumsalimia Alice. Na Baada ya salamu ya mda mrefu walibadilishana mawasilianao kitu ambacho kilimkera Dulah. “Hapa hakuna kusema eti ni jirani yangu wa kule Dodoma kwani angekuwa ni jarani yako asingekosa namba zako” alilalamika Dulah. Rafiki yake aliyekuwa naye yaani Omary alijaribu kumsihi Dulaha aache hasira na wivu kwani hao ni mambo madogo sana. Basi waliamua kupanda gari na kuelekea huko mahali ambapo chumba kilikuwepo.
Ni sehemu nzuri sana na tulivu paliitwa Shanti town, Ingawa chumba hicho kilikuwa hakijawekwa kitu chochote lakini Alice alikifurahia sana kwani kilikuwa ni cha kisasa na chenye kila kitu. Kilikuwa ni self container na ndani kilikuwa na tiles na rangi nzuri ya kuvutia. Maliwatoni kulifungwa heater za kuchemshia maji.
Ilimbidi Alice aulize kuhusu kodi maana alihisi kodi itakuwa ni ghali sana. “Ni elfu 80 tu mpenzi na ukijumlisha umeme na maji inafika laki” alieleza Dulah. Mmmmmhhhh aliguna Alice.
Hata hivyo unikopeshe kama laki tano niongezee na hizi laki nne nilizobaki nazo mkononi tununue vitu vya ndani kwani mimi nilikuwa na milioni moja tu alifafanua Dulah.Alice alishindwa kukataa moja kwa moja kwani ndo kwanza alikuwa amepata boom. Basi baada ya hapo walitoka na kwenda kuchukua kitanda na godoro. Kitanda kilishakamilika kwa fundi na ilikuwa ni kubeba tu na walipitia kwenye duka la wahindi na kununua godoro na kupeleka.
Wakarudi tena mjini wakachukua jiko la gesi na na vitu vidogo vidog vya ndani. Siku hiyo hiyo tayari chumba kilishaanza kuonekana kuwa palikuwa panaishi watu. Kweli hela haishindwi kitu kwani kwa mda mchache huo Alice na Dulah walikuwa tayari wameshaamia. Alice hakuwa na hamu ya kurudi chuoni japo kesho yake jumamaosi walikuwa na assignment ya group discussion.
KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA