SEHEMU YA KUMI NA SITA
ILIPOISHIA...
TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
Huyu naye alikuwa na ufundi mwingine yaani badala ya kupeleka mbele tu akawa kama anaikunjia pembeni kwa ndani.Akawa anapiga mashuti kushoto kati na kurudi kulia.Utamu ulipokolea akaacha huo ufundi sasa akawa anapiga mashuti ya kulenga goli tu.
Nikajua tayari mda mfupi atafika ili sasa tuenda sawa. Mkono wangu mmoja niliushika kwenye godoro huku mwingine nikimvutia aingize ndani zaidi.Akafanya hivyo na sasa ilikuwa ni mda wa kumaliza wote.Alinilalia kwa nguvu ishara kuwa amefika mwisho na hawezi tena kuendelea.
Ingawa yeye alikuwa akitaka kupumzika kwenye mwili wangu lakini mimi niliona na hatari hivyo nilimnyanyua na kumwaga pembeni.Nikavuta zile nguo zangu nikazivaa haraharaka na sasa nilikua tayari kwa kukimbia. “Ngoja tutoke wote”, alisema baba huyo.
Nilikuwa naona hata aibu kumwangalia usoni. Na alinambia tupite uchochoro kwa uchoro ili tufike stend. Alinambia tukipita barabara tunaweza kukutana na mama.Njiani nilijaribu kumuuliza maswali kama huyo hawezi kuniloga maana namuogopa sana.Baba huyu alicheka na kuniambia kwenye pesa hakuna uchawi na kama ungekwepo basi wachawi wangekuwa matajiri sana maana wangeweza kuiba bank.
Nikamuuliza tena vpi ni mgawie pesa kidog lakini pia alikataa kwa madai kuwa yeye haitaji pesa ila anachotaka ni kunisaidia. Alinipa namba zake na kuniambia kama nitafanikiwa kimaisha basi nisimsahau.Mda ulikuwa umeenda sana hivyo kupata gari ilikuwa nishughuli lakini kwa bahati nzuri kuna gari la private lilipita hapo na lilikuwa likihitaji abiria wa Morogoo mjini.
Hapo nikasema asante Mungu maana nilipanda na safari ikaanza.Tukisafiri salama na tuliingia mjini mida ya usiku kabisa na niliposhuka hapo nilikuwa siji hata nieleke wapi. Lakini kwa sababu nilikuwa na pesa haikuwa tabu kwangu.Niliita boda boda na kumwambia anipeleke guest ambayo iliyokuwa hapo karibu. Boda boda akaniuliza ya bei gani.Bei ya kawaida iwe ya chini sana na wala isiwe ya ghali sana nilimjibu.
Kweli boda boda hakufanya iyana akanipeleka gest iliyo karibu kabisa na hapo Msavu Stend ya mabasi.Yaani alifanya kama anashuka kidogo kufuata njia ya kwenda Dodoma hivyo kwa pembeni kuna nyumba za kulala wageni. Nilimlipa boda boda kisha nikalipia chumba na kuingia ndani.
Yaani hata boda boda alishangaa maana pesa ilitolewa kwenye mfuko wa Rambo. Sikuwa na nguo sikuwa na begi wala kitu kingine bali ni mimi na Rambo tu. Niliiingi bafuni na kuoga na hapo nilipata nafasi ya kufua lile kufuli langu maana mmmh we acha ili nilitoka nalo kule Mahenge.
Alafu alikuwa langu si unakumbuka kwa yule mzee niliondoka na khanga tu.Hili alinipa yule dada mfanyakazi wa ndani wa yule daktari ambaye pia alinipa hizi nguo ambazo nimefika nazo hapo. Nilifikiria nikaona bora nizifue tu na hizo maana bila hivyo kesho yake ningekosa ujanja.
Kabla ya kulala sijalala niliamua kuzihesabu zile pesa ili nione zilikuwa ni shilling ngapi.Hazikuwa pesa nyingi sana lakini pia hazikuwa kidogo maana zilkuwa million 3 na chenji kidogo. Nilitabasau nikapiga goti nikamshukuru Mungu kwa safari hiyo.Nililala mpaka asubuhi na nalipoamka ndo nikaanza kuchekecha akili nifanyaje ili pesa hiyo isiishe.
Nilifikiria sana na hilo tumbo langu nikaona nahitaji kwenda huko jijini Dar es salaam.Sasa nitafikaje sina hata mwenyeji?,niliwaza na kuwazua. Baada ya kuvuta kumbukumbu zangu nikamkumbuka Sabra rafiki yangu na dada yangu ambaye alikuwa akihishi Dar.
Nilimkumbuka huyu dada kwa sababu kipindi kile Napata majanga ya ile mimba yeye alikuwa form four na ndiye aliyenishauri kuwa niitoe mimba hiyo na nisikubali kuzaa nikiwa na umri mdogo. Nikajua kabisa kwa wakati huo atakuwa alikuwa amemaliza shule na kwa jinsi alivyokuwa na mambo mengi basi uenda ameshaolewa.
Yaani huyo pale shuleni alijulikana kwa ujanja na pia alikuwa akitembea na wanaume wengi sana mpaka walimu na wote walikuwa hawajui. Kwa kifupi alikuwa ni mtoo wa kikopo.Uzuri wa rafiki yangu huyu kwakuwa nilikuwa natumia simu yake nikiwa shuleni namba zake niliziweka kichwani.
Sasa nitafanyaje na nilikuwa sina hata simu yaani nipo nipo tu.Nikaona ngoja nitoke nje ili nifanye mpango wa kupata simu.Kwa kuwa nilikuwa mgeni sikutaka kujifanya shababi niliongea na mtu wa mapokezi ili anisaidie.
Nilimwambia simu yangu ilianguka hivyo nataka simu mpya ya kutumia je, anaweza kunisaidia kwa hilo maana mimi ni mgeni hapo.
Akanambia haina shida hatua chache kutoka hapo kuna duka la simu hivyo kama sitojali tuende wote nikachague ninavyopenda.Sasa kimbembe zile nguo zangu zilikuwa hata hazijakauka.Nilirudi ndani na kuendelea kukaa huku nikiwaza nini cha kufanya.
Ilibidi nitoke na kumwambia ujue begi langu lilipotea kwenye gari hivyo hata nguo sina hivyo atanisaidaije kwa hilo. “Mmmmh”, dada huyo aliguna na kuhisi labda mimi ni tapeli. Akanambai anaweza kunisadia lakini kitu cha muhimu hapo kama nitaendele kukaa nimlipe pesa ya chumba ili awe na amani.
Nikamwambai hiyo sio tatizo nikaingia ndani niatoka na pesa na nikamlipa. Yyanai hapa mda ukiisha umeisha hakuna cha siji nini wala nini ukitaka kuendelea ulipie tena.
Alichokifanya yeye ni kuchukua khanga na kunipa nijifunge na kuniambia tunaweza kwenda.Nilijikaza nikavaa ile chupi ingawa ilikuwa bado ni mbichi mbichi.
Tukaingia duka la nguo nikachagua nguo pea kadhaa kisha nikanunua na mafuta si unajua tena mtoto wa kike hata kama upo kwenye shida kiasi gani lazima uutunze uzuri wako.Niliingia pia duka la simu na kuchukua simu ndogo tu ambayo niliona inanitosha kwa mawasiliano.
Nikarudi zangu ndani na kuanza sasa kuwatafuta watu niliokuwa nawajua. Moja kwa moja nilimtafuta shombeshombe la kiarabu mtoto Sabrina.Bahati nzuri simu yake iliita.Nilianza kutabasamu hata kabla simu haijapokelewa. Iliita mpaka ikakata bila kupokelewa.
Sikukata tamaa nikapiga tena ili nione kama anaweza kunisaidia.Hatimaye alipokea simu na aliongea kwa sauti yake ile ya kitoto sauti ya mapozi kama Wema Sepetu. Alianza kwa kuuliza “nani mwenzangu?”. Nilipojitambulisha alinikikumbuka na kufurahi kusikia sauti yangu.Nilimuuliza yupo wapi na kwa bahati nzuri alikuwepo Dar es salaam hivyo nikawa nimepata pa kuanzia.
Nilimweleza mambo yangu kiunaga ubaga lakini nilichomficha ni kiasi cha fedha nilichokuwa nacho.Nilimwambai nina shilingi million moja tu na ninataka kuja kaunza maisha.
Alishangaa sana na kusema milioni moja mbona ndogo sana haitotsha kitu chochte sana sana inaweza kuishia kwenye kutafuta nyumba.
Akanambi lakini nisihofu kuna Shaangazi yake amejifungua na alikuwa anatafuta binti wa kumsaidia kazi hivyo kama nitaweza niende nifanye fanye kwa miezi kadhaa kabla ya kusoma ramani zingine na kujua cha kufanya.Nilifikiria haraka haraka nikaona mpango huo na wenyewe sio mbaya kwa maana utanirahisishia mimi kuingia jijini..
Sikujuata kuipia kile chumba hivyo niliendelea kukaa hapo.Kwa kuwa huduma zote zilikuwa zinapatikana kama chakula na vinywaji sikuona shida kupumzika na kuendelea kaungalia Tv iliyokuwa ndani ya chumba hicho. Baadaye Sabrina alinipigia simu na kuniambia shangazii yake amekubali kwa mgongo wake hivyo nisumuangushe.
Nikifika hapo nijitume kufanya kzi na kwa kuwa wanaishi karibu itakuwa ni rahisi sana kupanga mikakati mingne.Hatimaye siku ikaisha nikalala nikaamka na sasa nilikuwa ndini ya basi la Hood nikielekea Dar.Sikujua hata Dar pakoje lakini nilikuwa nashauku yakufika.
Haikuchukua masaa mengi sana nikajikuta tayari nipo Ubungo kwenye mataaa.Nilikuwa na mawasiliano ya karibu na mwenyeji wangu hivyo akanambia niingie tu Ubungo ndani yeye amechelewa kidogo atanikuta hapo.Sijui ndo mambo ya foleni maana binti huyu naye alichelewa kweli mpaka nikaona kero.Baadaye alifika na baada ya salamu za hapa na pale tukaondoka zetu.
Tuliondoka na breki ya kwanza ilikuwa ni Mwenge House of Wine. Alinambia tushuke kwanza hapo kuna mtu anataka kuonana naye.Kweli tulifika hapo na tukakuta kuna wanaume wawili wanatusubiri.
Mmoja wao alinyanyuka na kumkumbatia Sabrina kuonesha kuwa walikuwa na uhusiono wa karibu kama sio wapenzi. Yule mwingine yeye aliendea kukaa tu hapo alipokaa.Tuliketi na mwenyeji wangu akaagiza wine yake anayoipenda kuacha ile ambayo wale vijana walikuwa wakinywa.
Hapo sasa na mimi nilipatwa na kigugumizi nikajikuta naomba ile soda yangu ninayoipenda jambo ambalo liliwashangaza wengine. “Hapana dada mletee kama hii yangu”, alidakia Sabrina.Ilibidi niwe mpole kumbe huku jijini huruhusi kunywa soda. Tulikaa hapo huku tukipiga story lakini lilonichekesha ni yule kijana mwingine ambaye tulikuwa tukiangaliana alikuwa akinikonyeza na kunipa ishara kuwa alikuwa akitaka namba zangu.
Mimi nilikuwa najichekesha tu maana ni kweli alishakuwa amedata. Mbaya zaidi huyu aliyekuwa akinikonyeza na kunipa ishara ndo alionekana kuwa na uhisiano na mwenyeji wangu.Kweli huku duniani kuna mambo na ukistaajabu ya Musa utayaaona ya firauni.
Baadaye tuliama hapo na kuamia mitaa ya Sinza ambapo tulienda kula nyama choma. Hawa vijana walikuwa vizuri sana maana kila mmoja alikuwa na gari lake. Ikabidi tugawane mimi nipande kwenye gari la yule mwngine ambaye yeye hakuwa na mbwembwe sana mda mwingi alikuwa kimya tu.
Kweli simba mwenda pole ula nyama, huyu sasa na yeye akaanza uchokozi wa kuuliza eti kama nimeolewa.Nilicheka kidogo cheko langu lile ambalo huwa linamtoa nyoka pangoni. Nilimwambia mimi ni mdogo sana ndo kwanza bado nahitaji kusoma.
Hapo akauliza swali ligine “kwa hiyo jimbo lipo wazi?”. Nilitabasamu na kujichekesha maana tayari mimba yangu ilikuwa ni miezi minene lakin kutokana na mwili wangu ukiniangalia kwa wasiwasi huwezi kujua. Tulipofika eneo hilo tulilokuwa tunaenda, kabla ya kushuka aliniomba namba zangu.
Huyu sasa iliidi nimpe kwa sababu alifuata step na wala hakuonesha njaa za moja kwa mja kama yule mwenziye ambaye yupo na mpenzi wake alafu anataka na mimi.Tuliingia hapo tukaendelea kupiga vinywaji huku tukisubiri msosi huo.Tulikula na tukaendelea kukaa hapo.
Sasa watu walianza kuchangamka na hakuna aliyetakakuondoka.Mchezo ulikuwa ukifanyika ni kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Baadaye Sabrina alianza kung’ang’ania kuwa tuharishe kikao kwa sababu anataka kumpeleka mgeni akapumzike.Hapo sasa vijana wakaanza kuwa wakali kwa madai kuwa safari ya kutoka Morogoro Dar es salaam haichoshi. Pia wakasema kwa sababu tushaanza kunywa si vizuri kumpleeka mgeni kwa shangzi akiwa amelewa.
Sasa swali likawa nitalala wapi.Boyfriend wake akajibu kuwa “atalala utakapolala wewe”. Mimi nilikuwa mpole tu maana sasa mgeni hata ukiburuzwa huna cha kufanya. Walibishana bishana hapo na baadaye Sabrina alikuwa mpole kuonesha kuwa alikubaliana na matokeo.
KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
