
SEHEMU YA SABA
ILIPOISHIA...
Kazi ni kwangu sasa nilikuwa nasubili muda mwingi nipewe ruhusa hiyo sasa nimepewa nanilivyopewa kwa mtindo ule niliona ni zamu yangu na mimi kupeleka simanzi upande wapili Niliichomeka mpini wangu vizuri kwa ustadi wa hali ya juu nilikumbuka babu alivyonipa mbinu za kuwamaliza watu wajinsi ya Mwaju Nikaona ndio time ya kutumia ufundi ule nilizungusha kiuno changu taratibuTUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
Kadrili muda ulivyokuwa unaenda ndio niliongeza kasi kufanya mpinzani atoe vilio sijui si vicheko hata sikuelewa nilichotaka na mimi kumfunza adabu ache kuleta masihara na mimi nina yaweza sipo nyuma hata kidogo nilimpelekea mautamu mtoto Mwaju naye nitamu balaha .huku akitia mbwembwe mara ishiiiiiii!!! Mara oooohh utamu utamu nilizisikia baby za kutosha nilimpeleka sikumpa pumzi wala nini nilipofunga niludi kati na kuanza moja hadi zinafika nne hata akulewa niliamua kumgeuza nikampeleka baba siendi tena wewe mtoto alizidi kufurahia moto wanguMechi ilikuwa tamu iliyotawaliwa na ufundi wetu kila moja alijitahidi kuonesha maujuzi yake binafsi japo nilimzidi ujanja ila Mwaju naye yumo uwezo wake nilikubali sana namna ya kuanzisha mashambulizi yuko vizuri si muoga anajituma tofauti na wanawake wengine yeye hayuko nyuma hata kidogo .usiku wote ulikuwa hatari tu tulicheza gemu ikachezeka kila moja aliridhika na kutosheka kabisa
Wakati huo muda ulienda sana jogoo walishaanza kuwika Mwaju aliniaga anarudi zake ndani mwake japo muda ulikuwa umeenda na asubuhi ilikuwa inakaribia kwa namna alivyokuwa anavaa vile vinguo vyake kwasababu kimwanga cha taa cha nje kilikuwa kinapenya vizuri kilinifanya niweze kuona umbo.lake Mwaju japo si vizuri sana ila nilitamani hata asiondoke kwa raha alizonipa ama kweli utamu umekata nilijisemea huku Mwaju akiwa anamalizia kuvaa Alipomaliza nilijanyuka nikamfungulia mlango wangu wa taratibu Mwaju alitoka ila wakati anatoka maana nilikuwa bado sijasindika na kwabahati mbaya mlango wangu hauna pazia hivyo ilikuwa rahisi sura yangu kugongana uso kwa uso na mama mwenye nyumba huku nikiwa nimeshika Mwaju kiunoni ahaa mmmmmh .hiiiiiiiiiiii
Kwanamna nilivyokikamata kiuno cha Mwaju hakika kwenye vile vivazi vyake vilifanya Mama mwenye nyumba atupie jicho kali huku akiwa anaelekea maeneo ya msalani sikujua itakuwaje kama Mama ashafahamu vile na kibaya zaidi Mwaju anajua husiano wangu na Mama mwenye nyumba hapa nikajua tu kinachofata nibalaha ndani ya Nyumba mmh hatari sasa
Mwaju mwenzangu Hana hata wasi ndio kwanza alinifinya kimahaba huku mimi nikiwa kimya hata nilikuwa si amini ninachokiona nilihisi kama naota vile wanawake awa watanifanya dunia niione chungu kabisa hasirani kwa mikasa inayonikuta mimi shidaa tupu
Nilimwangalia Mwaju machoni mwake alafu nikawa kimya huku Mama mwenye nyumba tiyari alikuwa anaishia chooni . Mwaju aliniangalia nayeye akaachia kicheko cha kiaina huku akitikisa kitako chake akielekea ndani ya chumba chake kiukweli Mwaju ni mchokozi sana utamu wake bado niliutamani mwendo wake ulinifanya nizubahe kidogo nakusahau kama ameniachia balaha na Mama mwenye nyumba . Hiiiiiii.ishiiiii walahi huyu mtoto ataniua miye nilijisemea huku nikisindika mlango wangu kumalizia usingizi wangu
Nililudi kitandani huku mawazo kibao kwanza Mama.mwenye nyumba amelichukuliaje lile tukio na kama amechukulia anavyojua mwenye na kwajinsi anavyozikubali raha zangu alishanipiga stop hata kuleta mademu wengine ndani ya chumba changu haya vipi kuhusu huyu Mwaju si ndio mwanzo wa vita baina yao itakuwa vipi kama kutakuwa na bifu baina yao si mwanzo wa chanzo kujulikana ni mimi itakuwa vibaya sana watu wakifahamu ikizingatiwa Mama.mwenye nyumba ana mumewe na vipi kuhusu mumewe akijua si hatari hii .Nilijiuliza maswali mia kidogo hata sikuelewa mawazo yalinipeleka mbali mbali sana
Kijana kazi leo unayo tarifa zako ninazo mwanzo mwisho mchezo wako unaufanya na mke wangu leo sasa nataka niufanye kwako wewe si umezoea sauti kali Baba mwenye nyumba iliunguruma masikioni mwangu huku akiwa amenishikia panga Njemba kama nne niliziona zimenisimamia zikiwa zimekunja uso kwa kadhabu kali
Niliona sasa kifo kinanikaribia kabisa anifanyie kama ninavyo mfanyia mke wake si ndio ushoga huo mwili wake tu ulivyo si anaonekana anamzigo kama.punda .mmh mimi.mtoto wakiume niingizwe mtarimbo ahaaa bora unife tu siwezi siwezi nilijisemea huku Baba mwenye nyumba akinisogelea karibu yangu
Baba !!! Baba!!! Baba!!! Nisa nisa ~~~ mehe. Nisamehe ~~~~ siwezi siwezi rudia tena nisamehe Baba angu uwi nakufa mie nilipiga kelele
Nilistuka kumbe nilikuwa naota niliogopa sana hata sikuweza tena kulala japo nilikuwa nimechoka nalisha panga kutoenda kazini kwa siku ya kesho ambayo alikuwa tiyari imeshatimia maana ilikuwa alfajili . Sikuelewa .Nilikumbuka tu nilikuwa na mawazo ndipo kausingizi kalinichukua .wakati tiyari kigiza kinatoka toka kamwanga kanaingia taratibu
Nilifikiria juu ya ile ndoto sasa ikaniongezea adhima yangu ya kuhama maeneo yale wazo nilikuja siku hizi za karibuni kutokana na usumbufu wa wanawake na kibaya zaidi ni wake za watu na siku zote mke wa mtu sumu sumu kweli watu hawana masihara hata kidogo na mali zao afadhari umwibie pesa si mautamu yake we kifo hiko kabisa jana tu mume wa Sophi katoka kinijambisha leo naota mambo.kama haya sasa kama sio.Baba mwenye nyumba basi mume wa Sophi anaweza kuanzisha msako.dhidi yangu naashaanza kuhisi tunda lake linaibiwa
Wakati nikifikilia yote pindi nipo kwenye kitanda changu mara simu yangu ilianza kuita mwanzoni nilizani atakuwa mtu anabipu tu ila kelele ilivyozidi kuitoa simu yangu ilinifanya nijivute japo kiuvivu uvivu kuelekea kwenye kimeza changu kidogo nilipoibwaga simu yangu
Nilijivuta nikaifikia na kuipokea ilikuwa namba ngeni ila sauti ilikuwa si ngeni maskioni mwangu ni Irine mdada yule niliyozoeana nae nilipokuwa naenda kwa bonge kujipatia mlo
Habari nilisikia upande wapili sauti nyororo isiyo hata na mkwaluzo ya irine
Safi tu dada mzima wewe nilijibu baada ya salamu yalifata maongezi marefu kidogo kama robo saa hivi lawama tu nilizipokea kutoka kwake na ikihitaji tuonane .tu nikaona sasa hii noma nilimzuga tu na vimaneno vizuri viwili vitatu vya kumpa matumaini nilipoana amenielewa nikakata simu
Hili pepo litatoka lini.vijisichana vingine hata visielewi ukizoena navyo tu shida shida tupu usipokuwa makini unaweza ukajikuta unaharibu mpangilio wako wa maisha si wakuviendekeza una lost kabisa mtu mwenyewe nina majanga kibao hivyo nilimzuga tu
Nilimaliza kuongea naye nikaamua kwanza nikaoge ilinipunguze kauchovu kidogo pilikapilika zote zile kuoga kunahitaji niliona hivyo nilienda kuoga wakati huo wapangaji wenzangu walio kwenda kazini walienda walio baki nyumbani walibaki vyumbani mwao
Nilioga nikarudi zangu ndani nilivaa nikatulia nikitafakali mambo yanavyoenda kama dakika ishirini wakati huo naangalia tv simu yangu ilianza kuita nikaingalia Sophi nilisita kidogo ila nikaipokea Sophi alianza kuniambia vitu vilikuwa vikinishitua jinsi alivyokuwa akiyaniambia mmhh
Niliona hali ya hatari inakuja siku za karibuni kwanamna yoyote ile maneno yake yalinifanya nikose raha muda mfupi tu nilipomaliza kuongea nae
nilijua tu sasa mume wa Sophi atakuwa anasaka mwizi wake kwa nguvu na mali cha ajabu licha maneno yale makali yalitoka kinywani mwa Sophi kuniambia juu ya mahusiano yetu yalivyo hatarini ila mwenzangu hata hakuwa anahofia zaidi ya kuniambia hata acha kupata mautamu yangu hata kama akifumwa yupo juu ya kiuno changu . Hato jali hilo kabisa yupo tiyali kwa lolote sasa amechoka mwanaume hana hata mvuto kazi haiwezi hata kidogo tofauti na mimi nikiamua kulima nalima kweli si masihara
Niliyatafakari maneno yake Sophi ila nilishindwa kubaini suluhisho nini nifanye nilibaki tu na wazo moja kodi yangu ikimalizika nihame kabisa eneo lile ikiwezekana nirudi nyumbani kwa Anko sikunyingi tu ananihita nikafanye kazi ila nimekuwa ninamzungusha tu sikutaka kwenda morogoro nilitaka tu nikomae na dar kutokana na kwa hali ilivyo nitaondoka kwa lazima sasa na kama si Sophi basi Mama mwenye nyumba yangu inaweza wakawa chanzo kikubwa Muda tu si mrefu kabla sijaamka nimetoka kuota ndoto iliniogopesha kweli yote ni sababu ya wanawake iiiii mmh ~~~~ wataniua mimi
Niliendelea kuangalia tv yangu na kwabahati nzuri chaneli niliyoiweka ilikuwa ikigonga ngoma kweli na maranyingi huwa napenda kuangalia music na kwel.siku hiyo nilipatiwa Ngoma zilinifanya nisahau kuwa ninamatatizo lukuki yanayonisumbua mimi hata muda ulivyoenda hata sikujua nilishaanga tu kijua kishaanza kuwa kikali na joto kuongezeka ndani ya chumba na kinjaa kwa mbali kinaanza kunyemerea kwenye langu tumbo
Nikaona sasa ni muda wakutafuta kifungua kimya nilivaa vizuri nikaizima tv na kufunga mlango wangu
Wakati natoka tu nje wapangaji kadhaa walikuwa wapo nje niliwapa salamu na kwabahati mbaya wakati nawapa salamu Mama mwenye nyumba alikuwa akitokea kutokea kwa ndani.alitumbulia mijicho hadi nilijistukia nilijua tu Mama mwenye nyumba atakuwa amechukizwa sana na jambo lile lilitokea usiku
Sikutaka kuonesha badiliko lolote juu yahali ile nilipiga
Hatua mbili tatu baada ya kutoka pale nyumba nilishafika kwa Bonge nikapata chai ya nguvu Njaa yote ilipotelea mbali usingizi tu ulianza kuninyemera siunajua ukishiba napo tabu hivyo hivyo ukiwa na njaa tabu.
Nilipiga story na Bonge mbili tatu siunajua mimi kila mtu niko nae peace hivyo kutoniona siku mbili tatu kaka Bonge alinimic sana sound zangu niliongea na Bonge mambo mengi ila hakusita kuniambia habari za Irine kuwa mara nyingi ananiulizia sana nikamwambia oky siunajua videmu vingine vinapenda shobo tu nivyakuvipotezea tu si vyakuvifatiria ni majanga Bonge alinisikiliza kwa makini ni kaona amenielewa nilimuaga maana usingizi nao ulizidi kugonga kwa sifa zaidi ila nilijua tu tatizo la kutolala usiku hali ile lazima ingenipata tu
Hivyo nilimuaga Bonge na kuanza kurudi mgetoni mwangu sikuchukua dakika nyingi niliingia ndani moja kwa moja nilitafuta kitanda kilipo haikupita hata dakika kumi kausingizi kalinichukua kwa namna nilivyochoka nilijikuta na amka muda ukiwa umeenda sana nilijishangaa ila ile hali ilivyo uchovu uchovu gani hata mchana ulipita sikuelewa nilikuwa usingizini.tu hata hamu ya kula sikuwa nayo ilishatimia kumi saa na dakika zake mishare ya saa yangu ilionesha vizuri
Pindi naangalia simu yangu nilikutana na missed call za kutosha na sms kama nne hivi nilianza kuzipitia moja baada ya zingine zilikuwa zakawaida tu ila moja wapo ya ujumbe ulinifanya niipitie mara mbili ni namba ngeni kabisa machoni mwangu ila ule ujumbe nilijua wazi umetoka kwa mtu anaye nifahamu kabisa ujumbe
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho