WEKA YOTE (13)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA KUMI NA TATU
ILIPOISHIA...
Alinisogelea huku akiona aibu na vazi lake lile alilovaa.
Kitendo cha kunisogelea ilikuwa ni kama kumtishia mamba mguu eti unamfukuza ndani ya maji, ukijua ataondoka yani ni sawa na kujipeleka mwenyewe ndio kitendo alichofanya Ester aliponisogelea sikutaka kufanya ajizi.
TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
Muda huo tamaa zangu ziliniandama vilivyo na kuninyima mpaka nafasi ya kutoa maamuzi.
Nilitupa begi langu kando na kumdakia kiunoni Ester sambamba na kumlaza kifuani kwangu.
Alijifanya kukataa kataa.
"Bwanaa niachee niacheee tutakutwa hapaaa niacheee."alilalamika hapo sikusikia hata neno moja nilimtia kitanzini tayari kwa kumbana na mikono yangu huku nikitumia ulimi wangu kuuterezesha shingoni kwake.
na yeye akileta purukushani za mimi kumuachia.
"Jamani achaa, gaooo gaooo ahhhh achaaa."aliongea sitaki nataka sikumjali nilichojari ni kuzisikiliza tamaa zangu za kimwili.
Kwa kuwa tulikuwa katikati nilimsogeza moja moja kwenye kochi pale muda huo hata harakati zake za kukataa zilisimama alitulia ndipo alinipa uhuru na mimi sikuuchezea uhuru huo.
Nilimlaza vyema juu ya kochi lile tayari kuparangana na mwili wake nikijawa na uchu pamoja na tamaa iliyo tamauka.
Nilianza kupapasa, nikikitupia kile kimtandio chake kando kilifata amri ya mkono wangu.
Nilimlaza chali na kumtanua miguu nikimbakisha na kufuri tu.
Nilianza kumhadaa na mikono yangu nikimpalaza palaza juu ya kitovu nikipanda juu kukutana na dodo zilizopo kifuani.
Alikuwa akihema kwa tabu kama mgojwa wa pumu huku mimi nikiwa fiti vya kutosha.
"Aaagh sshhhh aaagh ssshhhhhh ssss."alidudumia chini chini na sauti zike za mahaba ambazo zikikuwa burudani masikioni mwangu sikuona kama ni kelele niliona tena ndio zinanizidishia ukakasi wa kucheza mechi hiyo ambayo mpinzani alisha nionesha udhaifu wake hivyo asubiri magoli mfurulizo.
nikianza kushinda na dodo zikizopendezesha kifua chake ambazo wakati huo hazikuwa hata na kifuniko chake ambacho ni sidilia.
Nilianza kuzifakamia kwa pupa kama mtoto mdogo alienyiwa nyonyo kutwa nzima pengine baada ya mama yake kwenda kutafuta ugali.
"Aahhh gaoo shhhhiit aah sssssssh"alizidi kutoa kaukelele kake kalikozidi nipagawisha nikiona sasa ni muda muafaka wa kushuka chini baada ya kuridhishwa na unyonyaji dodo zake.
Hapo nilishuka mpaka kwenye kufuri na kulipumulia.
"Huuuuuuuuh."kitendo cha kufanya vile nusura Ester aruke kwa mihemko yake sikuzidisha papara nikang'ata kufuri na meno kwa nia ya kulisogeza pembeni nianze kuifakamia tompoo, ila kabla sijamalizia kumvua kufuri lile. tulichosikia ni mlango kufunguliwa bila hodiii.........
.................
"haah,ester unafanya nin hapo"ilisikika sauti ya kike tena msichana ambae hata sijamtambua. Alikuwa ni mgeni machoni pangu hivyo tuliachiana na Ester huku akiwa kajawa na aibu yule msichana alietufuma pale, alianza kutufata pale kochini tulipokuwa.
"haya shoga yangu ndio unafanya nini hapa na huyu mwanafunzi"alisema akiniona mimi mwanafunzi kwa mavazi yangu ya shule mana sikuvua nguo za shule.
"Shoga, nimepitiwa naomba unifichie siri wasijue nisaidie shoga yangu"alilamika Ester hapo nikagundua ni shoga yake na mimi kwa aibu hata kiungo changu kikuu cha siri kilinywea tayari na kuinamisha kichwa kama kondoo hata kuondoka niliona aibu nikisubiri hukumu.
"mmh, haya shoga sitamwambia mtu."tayari alipoa kabisa ila sijaelewa kapoa kwa nini wakati aliwaka kama mtoto wa kuni mbichi sikujua atazima kama moto wa karatasi.
"asante shoga yangu nashukuru kwa msamaha wako naomba iwe siri yetu."aliongea Ester hapo kashajifunga mtandio wake tena wakati huu aliufunga kishingo tu.
Baada ya kuongea pale aliaga na kuondoka wakati huo sikujua hata alichokileta pale kuongea kutokana na kuondoka bila kusema chochote zaidi ya kukuta tukio lile na kuliongelea.
Ester alikaa kimya pembeni kochi tofauti na nililokaa mimi na kale kamtandio kake alikokafunga kishingo.
Sikumtazama sana niliamka na kuondoka bila kusema chochote.
"unaenda wapi gao jaman njoo tumalizie mwenzio njoo"alilalamika Ester hapo mimi sikuona sababu ya kurudi kuendelea na tendo lile. Mana Ester hana aibu yani pamoja na kufumwa ila yeye bado anataka tena. Sikumjali nikaingia chumbani kwangu.
Baada ya kuingia niliubamiza mlango wangu na kuufunga kabisa, nikakumbuka nimesahau begi langu pale valandani niliufungua mlango kwa kasi kisha nikaenda hadi pale kwenye makochi na kulichukua begi langu, muda huo ester sikumkuta. Hivyo nililichukua na kurudi ndani baada ya kuliweka mahala pake ndio nikabadili nguo za shule na kujitupa kitandani kuumalizia usingizi wangu dakika chache tayari nikaangusha gari(usingizi) nikiwa nimelala baada ya kimya cha masaa kadhaa ndipo nikaanza kuhisi baridi na matone ya maji yakinimwagikia, nilistuka haraka toka usingizini hapo nikagundua ni mvua iliyoambatana sambamba na upepo kutokana na dirisha langu kuwa wazi hivyo matone yalinifikia.
Sikulala tena nikafungua pazia la dirisha baada ya kufunga milango ya dirisha.
Nilipo maliza nikakaa juu ya kitanda nikitafuta kiasi cha pesa nilizopewa na yule mdada sambamba na namba yake, nilijisikia kumtafuta hata niongee nae lakini kikwazo kilikuwa ni pakupatia simu, nilifikiria kwa muda ndio nikakumbuka jamaa zangu wa kitaa.
Nikapanga mvua ikipita niwafate wakaniazime simu, na kuziweka pesa mfukoni pamoja na namba ya simu. nikiwa katika kufikiria mlango wangu ukagogwa na sauti ya kike kuita jina langu ambayo haikuwa ngeni.
Hapo nikajizonga zonga ni kuufata mlango tayari kwa kuufungua nitoke nje kumuangalia mgongaji.
Nilifanikuwa kuufungua na kutoka nje ya chumba changu hapo nikakutana na neema sambamba uso kwa uso.
"Mambo, gao"alinisalimia huku akitoa tabasamu pana.
"poa tu"nilijibu kwa kifupi.
"haya mama anakuita pale valandani."aliniambia hapo nikajua fika shangazi amesharudi siku hiyo mapema.
Neema akaondoka huku nyumba akiangusha moja moja kama kawaida yake sikumjari.
Kwa mbali nikaanza kusikia mazungumzo ya watu wawili ambao wote sauti zao zilinakirika kichwani mwangu ambayo moja ya kike ya shangazi na ya kiume nikatambua fika ni baba yangu anaeitwa juma.
Sikuwa nikimpenda hata kidogo kiasi kwamba ningepewa hata sumu nimuue mtu nisiempenda wakwanza angekuwa yeye tukiachana na lusinde ninaempikia dawa yake jikoni.
Nilitaka kujiaminisha mwenyewe na kwenda moja kwa moja kwenye kibambaza ilinimuangalie kama ni yeye kweli, Nilimshuhudia kwa macho yangu matatu kama sio mawili amekaa kochini tena miguu kaweka juu ya meza ya shangazi kabisa shangazi nae hakumsemesha kamuacha yani kusema ukweli nilijenga chuki mno kwake hivyo njia sahihi niliyoona ni kutokwenda pale japo wasomi wanasema "KUBALI WITO YAKATAE MANENO"ila mimi kwa upeo wangu nikabadili siku sikiliza wito wala kuyakataa maneno nilichoona ni sahihi wakati huo ni kurudi nyuma hatua kadhaa na kugeuka kisha moja kwa moja nikatembea kwa umakini kuufata mlango ambao upo nyuma na pale walipo hawawezi kuniona, niliondoka kwa kasi wasinione hapo hadi kufika barabara kubwa nikaanza kutembea kidogo kidogo baada ya kuiacha mbali nyumba yetu hivyo hawawezi kuniona tena.
Nilianza kufata vigenge vya marafiki zangu nikienda kuwapa salamu hapo nikakumbuka mfukoni nilikuwa na ile namba na pesa niliyopewa na yule dada.
Niliwafikia jamaa zangu pale kama kawaida nikawapa salamu na stori zikaendelea kama kawaida yao, walianza kuongea kama wanatumbuiza kutokana na mirindimo ya sauti zao.
"wewe yanga wa kimataifa wale simba hamna kitu."alisema jamaa mmoja anaejiita mbuyu twite, kutokana na kufanana vilivyo na beki wa yanga ambaye sio mtanzania mwenye jina la mbuyu la mbuyu twite harisi sio kopy.
"Wewe mbuyu hujui wewe hamkumbuki tulimitia vitano, nyie hamtuwezi kwanza waarabu sisi ndio kiboko yao nyie hamuwawezi alafu mwajiita wa kimataifaa aah wapi"alisema jamaa mwengine hapo waliongea kwa mabishano. sikuzote mabishano ya simba na yanga huwa ni mzozo.
hali ile ilikuwa mzozo kila mtu akiisifia timu yake hadi kijiwe kichafuka hivyo hata nilichokuwa nimezamiria kuomba nikadhindwa niliondoka bila kuaga baada ya mzozo kuwa ngumi watu wamewekeana ndita, sikuona sababu ya kukaa tena pale niliondoka tayari kuelekea dukani kwa mangi nikaombe simu, nikiachangumi pale zinaendelea hasa twite, ndio alimkwida tayari mwenzie.
Nilitembea upesi upesi kuwahi dukani ambapo baada ya kufika kulikuwa na msongamano wa wateja wakinunua vitu hivyo sikuongea kwanza klikanibidi nikae kando kisubiria msongamano ule uishe ndio nimwambie mangi shida yangu.
Baada ya madakika kadhaa si chini ya 20 kwa makadilio ndio kukapoa wateja wakuhesabu na mimi nikajisogeza kifikisha shida yangu.
Nilianza kwa salamu.
"Niaje mangi vipi"nilisalimia kishikaji.
"Safi chaliii yangu sema.'aliongea kwa rafidhi ya tofauti na yangu hasa watu watokao mkoa wa arusha wengi ndio huongea hivyo.
Nilinunua kinywaji pamoja na kitu cha kutafuna kisha nikamwambia shida yangu nae bila kinyongo alinipa, hapo nikaanza kutafuta namba ndani ya mfuko wangu wa suruali hadi kuipata ndio nikaanza kuinakili kwenye simu kisha nikapiga.
"Samahani mteja unaempigia hapatikani kwa sasa tafadhali jaribu tena baadae."yalikika maneno hayo ilabnikaona kama atapatikana nilipiga tena zaidi ya mara tano wapi aliongea mdada huyo huyo hadi nikamchoka.
Baada ya kumkosa ilinibidi niirejeshe simu ya watu ya mangi, kisha nikaondoka wakati huo jua linakaribia kufutika kabisa hivyobnikaanza kutembea hima hima kuwahi nyumbani, baada ya muda mwendo ulipoa nikasimama baada ya kuhisi nimeangusha hela.
Kitendo cha kusimama bila kutegemea mikono laini ilinishika kiuno ilinibidi nigeuke haraka, ile nageuka nikamshuhudia yule dada alienifuma na Ester wanaoitana shoga.........
Kwa akili za haraka haraka ambazo hazikuhitaji upembuzi, sikujua dhamira yake nini kunikuta nimesimama na kunifanyia vile.
"Mambo, vip mzma"alinisalimu kwa tabasamu lake, akiwa kaniachia
"Poa tu."nikajibu kwa mkato.
"Mbona ukolesi kiasi hicho kwanini.?"aliuliza.
"Nakimbizana na giza lisije nikuta njiani,msna sijafua uniform za shule."
"ahaa,kwani watoka wapi."aliuliza tena baada ya swali la kwanza kumjibu ipasavyo.
"Natokea hapo mbele maskani."
"si ungefua mapema tu jamani,au ulichoka sana si ungempa Ester afue"alizidi ni chosha na maswali yake ya kipolice yani swali liko open lakini unauliza.
Nilichoka kwa muda mfupi.
"Jamani mbona unakuwa mkali."
"Amna maswali mengi."
"Kwani kuna ubaya si ninajua tu jamani."
"Sawa."nikajibu kifupi kabisa.
"Ester nani yako.?"aliuliza tena hapo ndio kabisa nilimchoka kwa maswali yake yasio na mbele wala nyuma basi hata katikati hayana.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni