WEKA YOTE (31)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA
ILIPOISHIA...
"Aaaassssss gaaaaoooo aaaaahhhh tamuuuu nimemiisss msumalii wako ingizaaa beibiiii aaaah eeeeeeh"alilalamika madam ila mimi sikufurahishwa na ya mule kwenye jakuzi nilimwambia asimame kisha akainama kiasi cha kushika jakuzi, hapo ndio nikamsogelea sasa ili dushelele lingie pahala pake ila kabla hajaingia.TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
"Ngo!ngo!ngooo!..."ulikika mlango ukigongwa tena ule wa chumba tulichopo mimi na madam...........
Tuliingiwa na hofu wote tusijue ñani aliegonga mlango hata hamu ya tendo kuisha kabisa hali iliyopelekea tuachiane.
"ngoo ngooo ngoo,funguaaa funguaa"ilisikika sauti ya kiume tena inayoonekana imefura ama kukaraishwa hapo kila mtu akatoka kwa style yake pale ndani ya jakuzi na kuvaa nguo zake kwa namna yake alioitambua.
Sauti mlangoni ilizidi kuita ikitutaka tufungur mlango, kwa woga niliokuwa nao niliamua kujificha ndani ya kabati lililoko humo ndani kisha nikatulia kma sio mimi nikimwachia madamu kipwite.
Alifokea na kutishiwa mlango unavunjwa mpaka akafungua, mimi nimetulia tu.
"nisameee lusinde ni samehee "kabla hajajibiwa nilisikia mlip wa kofi hapo na mimi mkojo juu juu ukitaka kutoka wenyewe,niliishia tu kusikia kilio cha kufina fina toka kwa madam.
"wewe mwanamke hivi unaakili kweli wewe ni wakunisaliti mimi na kuja huku na hawala zako,"
"nisamehe mme wangu"alizidi kuomba msamaha mimi nilichokuwa nikisikia ni kilio na makofi ila sijaona wanafanya nini.
"kwanza nipishe nimkamate huyo uliekuwa nae utanieleza leo " lusinde alisema.
"ingie munisaidie tumbebebe huyu."nilisikia akiwaita wenzake.
moyo ulinienda mbio kama mabasi ya mwendo kasi hali illikuwa ngumu kwangu,
"tafuta yuko wapi huyu kinyago,, si mliona alivyoingia nae."
"ndio niliona kaingia nae tena mdogo hivi kijana mwenyewe"
"mdogo?"lusinde aliuliza kwa mshangao.
"ndio mdogo hivi kaurambia"waliendelea kuongea huku wakitafuta waliangalia kila sehemu kasoro kwenye kabati na mimi niliendelea kuibana pumzi isitoke wasinisikie.
Baada ya kutafuta wakatoka, ila kabla hawajatoka mimi nikijua wametoka, nilifina kidogo hapo kumbe wamesikia.
"yupo humu hajaondoka yupo fungua kabati nimesikia akifina."alisema mmoja wa wale watu.
Hapo tayari sikuwa na tegemeo la kupona tangia hapo mana nilishaonwa, nilibaki kama samaki mtungoni.
Nikiea nimekaa kabati likafunguliwa kwa pupa pupa.
"mkuu huyu hapa nimemuona dogo"nilishtushwa kumbe alikuwa ni mwalimu yule alienifata pale niliogopa sana hapo wote wakaja mpaka lusinde.
"haaah gao wewe ni wakutembea na mke wangu,gaooh"alisema huku kanishika lusinde nilimuona akiwa na hasira kiasi cha mishipa kumsimama ya hasira.
"nisamehe sir "niliomba msamaha nikiwa na woga usio na mfano.
"nikusamehe nikusamehe nini wewe wa kutembea na mke wangu wewe ahhh nauaa"nilianza kutokwa na machozi kabla hata hajafanya alichodhamiria kunifanyia kile kilio changu ndio kikapelekea anitandike kofi zito lililotua kwenye paji langu la uso mithili ya kibanzi cha mbao.
"nisamehee sir nisamehe utaniua usinipige"niliongra kwa kujitetea hapo akanikwida na ukutani, nialinza kuongea kwa shida sana, kama mtu anekataroho hskuniacha zaidi ya kusema "leo nakuua utanijua lusinde ndio nani"ulikuwa akisema hivyo huku mimi nalalamika nikitaja msaada.
"lusinde muache mtoto wa wawatu hana makosa ni mimi ndio wa kuhukumiwa huyo muache tu."madam ilimbidi anitetete huku wale walimu wengine wakiangalia tu kwa macho sijui ni kuogopa lusinde ambae alikuwa ni mwalimu mkuu msaidizi pale shule.
Hali ilikuwa tete sana kwangu kiasi cha ulimu kuanza kutoka nje nikitapatapa kama mfa maji.
"lusinde basi sasa unaaua, unaua"
"niache niue huyu hapaswi kuishi duniani kabisa"Lusinde aliongea kijasiri mnoo, hakujali malalamiko yangu ya kukabwa koo nilivyokuwa nikipata tabu.
"_aah, muache bhana tumpereke shule hii ikaishie shule sio hapa muache utaua upate kesi"wale qalimu hapo walikuja na kumshika huku mimi jicho likinitoka kiasi cha kuwa kama maiti iliyoko monchwari.
walimvuta vuta mpaka hatimae akaniachia nami nikadondoka chini kwa kuangukia mkono, nilienda chini moja kwa moja.
"haaaaaah,haaaah"alihema juu ju lusinde.
"si mniache niue mimi mwanishikia nini nyie mnaona raha huyu kulala na mke wangu sio."
"hapana ukiua kesi nyengine hiyo kijana mwenyewe mtoto alafu ni mwanafunzi wako."aliongea kwa busara mwalimu yule mwengine.
"amka mwana mharamu wewe amka"aliniamdmsha mwa jaziba,nilikuwa mgumu kuamka alinipiga teke la mbavu ukizingatia kavaaa kombati za maana.
"aiiiiiiiiii mamaaaaa"nililia maumivu,hapi akaniamsha kwa nguvu na kuanza nitoa nje akamshika na madamu,
njiani sikuwa sawa zaidi ya kububujikwa na machozi tu njia nzima nikihenya kuumiaa.
Tulifika kituonibakakodi taksi ambayo tulipanda wote pale.
Ndani ya gari sikuwa na lakuongea zaodi ya kukaa kimya tu kama maji ya mtungini yaliotoka kuchotwa mtoni.
"sikutegemea kama jackiline utanidharirisha hiivi kutemnea na katoto kadogo, sikutegemea kabisa"
"nisamehe mume wangu shetani tu kanipitia nisamehe"madam alisema huku chozi likimdondoka, tena la kisanii kabisa.
Lusinde aliendeleza chuki nami pale akiahidi kunifanyia kitu kibaya na kunifukuzisha shule.
Nilibaki kimya tu, sijajibu kitu ukizingatia nimo kwenye hiyo kes.
Gari ilitembe kwa mwendo wake ndani nusu saa tulishafika shule hapo tukashuka akamlipa mwenye taksi akaondoka.
"sasa mume wangu si yaishe tu mpaka twende shule yaishe tu mume wngu"
"we kahaba nyamaza sawa tena tangulia mbele yani ni hivyo ni mwanamke ungekuwa mwanaume wewe ningekuua tembea huko nenda mbele."aliongea kea jazba hapo na mimi wakinishika na kuniongoza kuelekea shule.
Hatua chache tulifika shule tena kwa kuvutana tukiwa njiani kiasi cha wanafunzi kupata sinema ya bure, wakituangalia tu, tena na vile nilivaa mitoko ya nyumbani zile alizoninunulia madam, ndio kabisa nilikuwa kioja kwao.
Tuliperekwa mpaka ofisini kwa mkuu, ambaye aliponiona tu alishangazwa na mavazi yangu.
"haya tena kunani msobe msobe na huyu alafu ananguo za nyumbani."aliuliza madamu mkuu.
"madam nimewafumania huyu mwalimu wa kike na mwanafunzi guest."
"whaaaat.?"..….....
Mwalimu mkuu aliposikia nimekutwa guest , alihamaki sana likionekana jambo la kushangaza kwake tena hakuwacha kuweka mkono wake mdomoni.
"sijasikia au ndio mlinyosema"Madam mkuu aliuliza kana kwamba hakusikia mwanzo,wakati huo nimesimama sina hata cha kuongea zaidi ya kukodoa macho na kukaa kimya.
"Madam huyu kijana tumemfumania na madam wake katika nyumba za wageni."
"haah,apewe barua akamwite mzazi wake tu, na huyu madam nae nampa barua yake"Alisema madamu.
Hapo moja kwa moja akaelekea mezani mwake baada ya kuniamuru nipige magoti nami nilipiga sikuwa na cha kupinga nilibaki kimya tu, nikimuangalia lusinde kanitolea jicho kiasi kama angekuwa nyoka asingeacha kunimeza.
Madam jack nae alikuwa kimya tukiwa kama tunasubiri hukumu toka kwa hakimu japo madam hakupigiswa magoti.
"hivi jack unashida gani mpaka ukatembe na mtoto huyu wa kidato cha tatu."madam mkuu alisema huku akiendelea na kuandika barua zake, hapo hakuna kilichojibiwa zaidi ya kimya tu.
Nilibaki pale nikiinamisha kichwa tu kama kondoo huku madamu mkuu akimporomoshea madam jack maneno, hakika ilikuwa ni aibu sana mbele ya mkuu wa shule,
Aliongea mpaka akajirizisha hapo ndio akakaa kimya na kumpa madam barua yake. Nilijua fika ni ya kumsimamisha kazi. Nae aliipokea kinyonge huku akimtazama lusinde kwa jicho la husda.
“waniangalia nini Malaya mkubwa wewe kazi kutembea na vitoto sasa ni rika lako huyo ukimuangalia.’lusinde maneno yalimtoka TENA HAYAKUWA HATA NA STAHA MBELE ya mkuu wa shule aliekuwa akitingisha kichwa tu.
Nilipopewa na mimi barua yangu pale pale nikaamka kutoka nje nilihisi aibu hiyo, isiyo ya kawaida.
Mpaka nashuka ofisini na kuelekea chini kwenye njia ya nyumbani, muda wote ni kiwa na shauku ya kuifungua barua ile na kuichaaana ili nipoteze ushahidi.
Nilishuka kabisa mpaka chini kwenye majengo ya shule na kusimama sehemu nikiwa na dhumuni la kufunua barua ile, ila kabla sijafunua nilishtushwa na sauti iliyopiga katika ngoma za masikio yangu.
‘’weee gao hapo ndio nyumbani na wewe ndio mzazi mpaka uifunue hiyo barua embu ondoka peleka kwa wazazi wako wakaisome’’ni sauti ya lusinde nilimpuuzia tu,sikumjali tena nikakaa kabisa bila woga wala wasi wasi.
Niliishia kumtazama tu kwa jicho la sogea uone mpaka mwenyewe akaondoka tu.
Niliifunua ile barua taratibu kwa kuchomoa misumali yake iliyoshikilia kisha kuwa wazi hapo nikaanza kusoma.
MZAZI WA..GAO NASSORO.
YAH;UTOVU WA NIDHAMU.
Husika na kichwa tajwa hapo juu, ukiwa kama mzazi au mlezi unaomba kufika shule siku ya kesho, hiyo nikutokana na utovu wa nidhamu alioufanya kijana wako.
Pia wito huyo ni sambamba na kumsimamisha shule kijana wako kwa mujibu wa makosa ya shule katika fomu……’’Nilisoma tu mpaka hapo sikuwa na chakupinga kama mimi sio mwanafunzi tena hivyo nilikubaliana na hali harisi tu kisha nikaichana ile barua papo hapo sambamba na kuondoka nilipokuwa nimekaa ili nielekee nyumbani.
Njia nzima sikuwa na furaha yoyote usoni nilionekana sina furaha hata paji la uso wangu lilinionesha, sikutaka kuongea na yoyote njiani kabisa hata wale niliopishana nao walionizidi umri sijajisikia hata kuwapa salamu yangu,kama pale nilipokutana na mmama ambaye hakuwa na tofauti na mama yangu kiumbo labda langi tu mama yangu akiwa mweupe kupindukia na yeye akiwa mweusi mweusi kama ametoka kwenye tope la mfinyanzi mama Yule nilipotaka kumpita bila salamu ilimbidi aniamkie yeye.
‘’shikamoo’’sikumwitika zaidi ya kumwangalia kama namfanisha vile,kisha nikampita huku nyuma maneno haya kumwacha kumtoka.
‘’mitoto mingine bhana yani mijeuri sana na inadharau mnoo yani hichi kizazi cha nyoka hakifai kabisa,alisema huku akiendelea na safari yake.
Na mimi nikitembea mwendo wangu ule ule kama mfiwa, nilipita maeneo kadhaa mpaka kukaribia nyumbani, hapo ilinibidi nijiweke sawa nisionekane mnyonge mpaka wakataka kujua sababu ya unyonge wangu, nilitembea haraka haraka haraka mpaka kuingia ndani kwetu.
Pale sebureni hakukuwa na mtu kabisa hivyo ikawa rahisi mimi kuingia chumbani kwangu pasina yoyote kuniona nikiingia, nilipoingia nilichokiona sahihi ni kulala tu sikujali joto wala nini, mana kulikuwa na jua lisilo na kipimo.
Japo nilivua shati mpaka vesti ila jasho halikuacha kunivuja mwilini, japo sikulijali joto nilikuwa mbali kimawazo nikijiuliza nitafanya nini nimefukuzwa shule, nitamwambia nini mama mana hajui kama nimefukuzwa shule, nilijiwazia mwenyewe bila kupata majibu yoyote, hali ilipelekea nilale pale kindani kwangu.
Baada ya masaa kadhaa nilishtuka kutokea usingizi hapo nikifikicha macho giza likiwa lishaingia tayari, niliamka na kufunga pazia lililokuwa wazi ambalo liliupa upepo nafasi uingie ndani, nililifunga kisha nikarudi kitandani pale na kukaa tu, nikihisi uchovu hata wa kutoka nje.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni