MAHABA NIUE (2)
JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... Aliuliza maku sudi Ramsey ili kumuanza. ila dada yule ali muangalia kwa kitambo kidogo. "ndio, vipi kwani?" "lina pita Usalama?" "ndio lina pita. kwani ulikua una elekea wapi?" KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII
SASA ENDELEA... "hapana basi. una itwa nani dada angu?" "naitwa Upendo." "upendo? upendo nani?" "upendo Mrangu" "una fanyia wapi kazi?" "eeeeh kaka mbona maswali mengi kwani vipi?" "sio ivyo ujue napenda tu nijue kwani vibaya" "nipo ustawi nasoma" "aaaah kuna rafiki angu ana soma pale. una mjua Dedi?" "Dedi yupi.. Dedi Mwita?" "huyo huyo yupo yule dogo"? "yupo kajaa tele" "nipatie namba zako ili nimpate" "mmmh labda unipe zako nika mpe" kweli Ramsey alitoa namba alikua hana uhakika kama ange tafutwa. gari lili fika mwisho kabla haja fika nyumbani Li…