MAHABA NIUE (3)

Zephiline F Ezekiel
MAHABA NIUE (3)
JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA TATU ILIPOISHIA... "Asante sana leo bajeti ya kula umeni save sana" 'izo chips sio bure bure' Ramsey alimwangalia Upendo kwa jicho la wizi huku akiji semea maneno hayo kichwani. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Upendo alivyo kua mbele yake alipata nafasi ya kumkagua vizuri kiuno chake kilicho jipinda kama dondora alimwangalia vizuri tako lake lilivyo panda juu kidogo kama breki ya piki piki aina ya baja na kumeza mate mazito. "mbona una niangalia sana ivyo Ramsey"? "naangalia ulivyo umbika. mtoto mashallah" "hahahaa embu acha matusi yako bwana" "kweli tena nakwambia. embu tuchukue bajaji Upendo" "ahaa afadhali maana nili kua nafikiria iyo foleni" kweli bajaji ile iliitwa na wote kuingia ndani na bajaji kuelekea Ubungo ambapo njia nzima Ramsey alikua ana waza jinsi gani ata kavyo enda kumla ufuta mtoto upendo wa ustawi wa jamii. "Leo lazima akaa…