SORRY MADAM (97)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (97)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA TISINI NA SABA ILIPOISHIA... "Dada upo na hao maarusi?" "Ndio, tupo Saloon moja inaitwa Rich Power Women au R.P.W " "Ipo wapi?" "Màeneo ya huku posta" Akanielekeza walipo, akanieleza simu za Sheila na Blanka , zimezima chaji. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nikaingia kweñye moja ya gari, kwa lengo la kwenda kuzungumza na Blanka, nikafika getini nikashangaa kuona halifunguliwi na askari wanao linda. "Vipi fungueni basi geti" "Muheshimiwa ametuambia kwamba wewe hàuruhusiwi kutoka" "Nini?" "Ndio, tunafwata agizo lake, samahani kwa usumbufu muheshimiwa" Askari mmoja, aliniambia huku akiwa ameshika bunduki yake aina ya SMG pamoja na mbwa mkubwa, na anaye onekana mkali sana. Nikatoa simu yangu na kumpigia mama, aliye kwenda kazini, alfajiri na mapema. "Mama ni mambo gani unayo nifanyia lakini?" "Mambi gani?" "…