MAHABA NIUE (14) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA KUMI NA NNE ILIPOISHIA... Josephine aliingia ndani na moja kwa moja kuingia jikoni kuanza kupika chakula cha usiku ambapo Ramsey alikua sedblen anaangalia tv, KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Baadae JOsephinea ana kuja na kumkalia ramsey kwa juu na kuanza kumchokoza akianza kushika kifua huku akimpiga mabusu ya ,mdomoni yaani denda, alimlaza na kuanza kumvua shati na kuendelea kumpiga denda na kushuka akianza kumlamba Ramsey kifua. "LOVE una unguza chakula" "aaaaah" JOsephine aliinuka haraka haraka na kukimbilia jikoni ambapo kweli alikuta mboga ina karibia kuungua, alaifanya upesi upesi na kutayarisha chakula mezani na kumkaribisha Ramsey "baby chakula tayari" "asante mpenzi wangu yaani nisipo nenepa mwaka huu...." "kuta kua kuna mkono wa mtu" JOsephine ali dakia maneno yale na wote kuanza kucheka "hivi nili vyo kuacha pale na mumeo hakuku piga kweli"? "…