MAHABA NIUE (17) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA KUMI NA SABA ILIPOISHIA... Ramsey alisimama na kuchukua glass iliyokuwa ndani ya kabati na kuliendea friji ambapo alitoa chupa ya wyn na kuimimina ndani ya glass n ayeye kujimiminia. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Karibu sana" "asante, humu unaishi na nani humu?, maana asije akatokea wifi ikawa mabalaa mengine mi nimesha choka kupigwa kila siku" "enheee yule jamaa ako ili kuaje tena?" "we acha. juzi tena kanipiga" "kisa nini?" "daaa embu tuyaache hayo, maana ni kitu cha kijinga kweli yaani," aliongea Evelyn huku akiweka fundo la wyn mdomoni alivyo piga fundo alirudisha juu ya stuli ya kioo "atakuua yule siku we shauri yako" "nita fanyaje nisha penda, hauna movie nzuri uniwekee ya love stori?" "zipo nyingi tu, ngoja nikuwekee hii ORIGINAL SIN ya Antonio Banderas na Angelina Jullie , nili kua naicheki juzi hata siku imalizia" &q…