MAHABA NIUE (22) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI ILIPOISHIA... Purukushani iliendelea kwa staili ilie ile na kumfanya Ramsey amwage oil na ndo zili kua hesabu za Doreen kabla ya mechi kuanza bila kujua kuwa kabla ya hapo RAmsey alicheza mrechi na dada poa KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Twende tukaoge baby" "no subiri kidogo ramsey wangu, tupumzike nili kumic sana, we hujui tu, leo nina kiu nawewe nataka uikate yote" "kwani maji hakuna"? "toka zako, aliye kwambia nina kiu ya maji nani?" Doreen aliongea kimahaba na kumpiga ramsey kikofi kidogo cha kifuani huku akimuendea RAmsey mdomoni na kuanza kumnyonya denda walitulia kidogo kitandani huku wakipiga stori za hapa na pale ila simu ya Ramsey ilianza kuita usiku huo, aliingalia ile namba kwa kitambo na kuonekana kama ana ifahamu na kushangzwa sana usiku huo...... "halloo nani ana ongea?" "Ramsey unaongea na Josephine" Ramsey kusikia vile…