SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO
ILIPOISHIA...
Kweli RAmsey alionekana kumamaanisha kiile ana chokiongea wakati ule ukichanganya na habari mbaya za msiba alizosikia ili mfanya akunje sura yake, watu wale walishuka huku wakiongea chini chini,
KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII
SASA ENDELEA...
Ramsey alitoa mbio kwa nia moja tu ampeleke kijana yule hospitali.
"anco"
Kijana yule aliye kua na Ramsey amegongwa aliita,
"naam"
"mi nitoe tu, sija umia popote"
"unasemaje"?'
"nitoe tu"
"una uhakika"?
"ndio nitoe mi nisepe"
Ramsey alimuangalia kupitia kioo cha katikati na kuweka gari pembeni, upande fulani alishukuru sababu alikua na hesabu nyingine za kuelekea nyumbani kwa Doreen ili kuhakikisha kweli amefariki au ili kua utani, ndani ya moyo wake
alitamani iwe utani na kumkuta Doreen akimwambia kuwa ana mtania ivyo ana mfanyia suprise,
Alitoa WAllet yake nyuma ya mfuko na kutoa noti za shilingi elfu kumi tatu .
"anco asante sana, yaani umenifaa sana, Mungu akubariki akuzidishie anco, nashukuru san..
"nina haraka nashukuru sana Amen Amen"
Ramsey alidakia maneno yale kutokana na kuto mruhusu kijana yule aongee kutokana na kuwa na haraka sana, kweli waliagana na kijana yule kushuka,
bila kupoteza hata dakika moja, aliweka mguu kwenye mafuta na kuchapa mwendo kwa nia moja tu kuelekea mikocheni kwa walioba nyumbani kwa Doreen
siku iyo aliendesha gari kwa kasi sana na nusura agonge muendesha boda boda hii ni kutokana na kuwa na msongo wa mawazo juu ya Doreen
"hapana haiwekani!"
aliongea mwenyewe ndani ya gari,
baada ya dakika thelathini na tano tayari alikua nje ya nyumba ya Doreen na kuegesha gari kwa nje, kweli aliona magari mengine mengi yakiwa yame paki nje hapo huku watu wakiwa wana toka na wengine kuingia,
moyo ulizidi kumuenda mbio na kumuona msichana mmoja na kumuita,
"eti hapa kuna nini"?
"kuna msiba"!
"wa nani"?
"sister Doreen.,"
Ramsey alimuangalia dada yule makini sana machoni huku roho iki muuma na moyo kuhisi ume pigwa ganzi,
"umesema nani?"
"dada angu Doreen"
"ime me, ili ili ili ilikuaje, nini kilimuua"?
"kaka embu subiri kidogo"
Dada yule aliye kua ana onekana ana haraka alimuaga Ramsey na kumwambia kuwa ana enda kuwapokea wageni wengine stendi,
ila Ramsey kwa mbali alimuona msichana mwingine huyu alionekana kumjua sababu doreen kipindi cha nyuma aliwahi kumtambulisha, jambo alilo kua analiona mbele yake alidhani anaota,pengine alidhani sio Doreen anaye mjua yeye,
kweli mbele yake alimuona Bertha rafiki yake kipenzi aliye tambulishwa na doreen kipindi cha nyuma
"Bertha...Berth,,,,,a"
Ramsey alimuita mwana mke huyo kiunyonge sana,
"naam ramsey kama sikosei?"
"ndio ndo mimi"
"eti ni kweli taarifa nilizosikia ni za kweli"?
"ndio, ni kweli Ramsey Doreen ame fariki"
Ramsey alihisi tena kama kuna mtu kamchoma mkuki wa moto moyoni ambapo alizidi kuumia tena, alimuangalia Bertha machoni na kutaka kulia ila aliamua kujikaza kiume, ki ukweli alihisi ana taka kudondosha chozi ila aliangalia nyuma na kumuangalia Bertha tena machoni.
"ili kuaje aliumwa"?
"hapana alikutwa baharini amefariki, ina vyosemekana mara ya mwisho kuna gari aina ya pickup ili onekana siku ya hilo tukio"
Ramsey alimuangalia kwa umakini Bertha na kuonekana kama ana kumbuka kitu, kweli kumbu kumbu zina mjia mara ya mwisho kuona ile pick up usiku wa juzi yake na kuonekana kama alitaka kuongea kitu ila alijikuta akikaa kimnya na kuogopa mahojiano yata kayo jitokeza mbeleni,
"Ramsey"
"Naam"
"Doreen ame kufa kifo kibaya sana, maiti yake ime okotwa ikiwa ime tobolewa macho na kukatwa mikono"
ramsey alishindwa kuvumilia na kuji kuta anatoa kitambaa na kuji futa machozi yaliyo kua yana lowanisha mashavu yake, kweli alijikota anatoa machozi ya uchungu, mara ya mwisho kuhisi maumivu kama hayo ili kua ni kwenye msiba wa baba yake mdogo aliye fariki kwenye ajali ya piki piki,
na kumfanya Bertha aanze tena kulia tena kwa sauti.
"usilie Bertha"
"ina uma,sijui alifanya kosa gani?"
Ramsey alikaa kitambo kidogo na kuona watu wakizidi kuongezeka na kuingia na wengine kuanza kulia, moyo wake ulitaka sana aende audhurie kwenye msiba japo nafsi nyingine haikutaka iende. kwa sababu ange ulizwa maswali anaudhuria kwenye msiba yeye kama nani,
taratibu alimuaga bertha na kumuahidi kuwa ata rudi baadae na yeye kuingia ndani ya gari bila hata kuliwasha alitulia na kuulalia usukani huku akilia ndani kwa ndani
***********
Pickup nyeusi ili zidi kusonga mbele huku Doreen akiwa bado na kitambaa cheusi machoni bila kujua ana pelekwa wapi mwishowe ili simama maeneo ya kurasini na Doreen kushushwa huku akiingizwa ndani ya jumba bovu ambalo lili kua hali jamaliziwa,
mijitu hiyo ili shuka ikiwa na mapanga mikononi na mmoja wao kutoa simu mfukoni.
"sasa bosi mtu wako tunae hapa"
"fanyeni kama nilivyo waambia sasa,, kuweni makini, sitaki uzembe Dully."
"sawa Bosi"
pale pale Baada ya Dully kukata simu alimpiga Doreen na ubapa wa panga mgongoni na kumvua kitambaa usoni,
"jamani kuna nini? msiniue"
Doreen alipiga kelele huku akishika mgongo wake
"kimnya! kimnya malaya wewe"
kipigo kile kiliendelea ambapo Dully alitoa agizo moja tu auwawe. hawa kuchukua dakika hata moja panga lili shushwa juu ya kichwa cha Doreen na damu nyingi kuruka ambapo waliendelea kumpiga bila huruma yoyote na baadae kumchukua, walivyo hakikisha amekata kauli wali mtoboa macho na kumkata mikono ili kupoteza ushahhidi,
kweli yalikua ni mauaji ya kinyama ambayo hata bina damu yoyote aliye fanya kosa lolote hakustaili kufa kwa namna ile, leo hii Doreen ana kufa kinyama kisa mapenzi,
baada ya kila kitu kuisha walichukua maiti ya Doreen na kuelekea baharini usiku huo na kuitupa pembeni ya ufukwe,ivyo ndivyo ilivyo kuwa ivyo ndivyo doreen aliishia na kuuwawa kinyama,
************
"Mwanangu !Doreen ame fariki dunia"
alikua ni Ramsey akimuambia Prosper na kumfanya abaki mdomo wazi kama ana shangaa kitu kweli nayeye habari zile zili mstua sana na kumchanganya akili.
"Ramsey, embu punguza masihala yako"
"nakwambia ukweli, demu kavuta, hapa yaani ndo nime toka kwake kuna msiba, daaa ina niuma kinoma mwana, roho ina niuma"
"pole sana mzazi"
"sasa kitu ambacho kina niuma zaidi kaka. kifo chake cha kutatanisha sana, kauwawa kinyama sana, katobolewa macho ku**** make daaaa."
Ramsey aliiongea huku akiji piga piga kifuani
"pole mwanangu, ita kuwa majambazi nini,"?
"hata si,,,,,"
kabla ya kumalizia kuongea alimuona Fetty kaingia dukani na kumsalimia.
"Ramsey una tabia mbaya sana. yaani siku izi huna mapenzi na mimi kabisa, hupatikani, huonekani wala nini"
Aliongea Fetty huku akizidi kumsogelea Ramsey, katika hali ya kushangaza ESta nayeye aliingia dukani mule kana kwamba walipanga kuingia,
"aah baby Ramsey jamani, Ramsey wangu"
Kitendo kile cha ESta kuita vile kili mfanya Fetty amwangalie Esta machoni na kumgeukia ramsey vile vile.
"Ramsey huyu nani"?
aliuliza Fetty
"muulize mwenyewe"
"Anti samahani we,,,"
"koma, tena koma ishia hapo hapo, kahaba wewe, una taka useme nini, nawewe Ramsey yaani huna hata aibu kusema ivyo, yaani una weka tu makende yako, eti muulize mwenyewe"
ESta kama kawaida yake alianza kuwaka na kutoa matusi na Ramsey kukaa kimya akimsikiliza.
"kahaba mwenyewe wewe mse**** nini, Ramsey huyu nani, usini chefue"
Fetty nayeye alijibu.
"Prosper embu watoe hawa mademu nje"
Ramsey aliongea kauli moja ambayo ili wafanya mademu wale ESta na Fetty wakae kimnya sababu hawa kutegemea rAmsey kama ange toa jibu kama hilo
"unasemaje nawew mse***"
alipayuka Esta,
"Prosper watoe hawa mademu nje maana nita fanya kitu cha ajabu hapa sipo sawa, watoe nje tafadhali, sitaki kelele"
"hapa sitoki na huyu kahaba wako ngoja nimuoneshe"
ESta alimvaa Fetty na kuanza kumpiga ambapo nayeye Fetty alianza kurusha makofi na kuanza kupigana.
"acheni use*** nyie wana wake"
Aliongea Ramsey kwa hasira.
"nani mse****"?
aliuliza ESta kwa jazba
"wote"
"mse*** baba yako mzazi"
"Esta una semaje!???"
Ramsey kwa hasira kali zili zochanganyika na mawazo alijikuta ana mvaa Esta na kumtwanga kichwa puani na kumsindikiza na kofi zito, hakuishia hapo , alimpiga kofi lingine kali la shavu na kumfanya ESta adondoke chini Fetty baada ya kuona pata shika ile alichomoka na kukimbia nje na kumuacha ESta ana chezea kipigo kikali.
Prosper aliingilia ila alisukumizwa pembeni na Ramsey.
"prosper haya kuhusu haya, huyu mwana mke ni malaya juzi nili muona stendi akishikwa . eti aliikua ana niambia anapika ku** sana huyu"
Ramsey aliongea kwa jazba na kuchanganya na hasira za msiba, alimkandamiza ESta uku tani huku akiwa ame mkaba kooni na kumfanya ESta atape tape.
"Ram,,sey nisamehe"
kwa mara ya kwanza ESta anaomba msamaha sababu hakuwahi kumuona rAmsey katika hali ile pia hakujua kuwa rAmsey ana jua ukweli.
"Ramsey uta ua kaka"
"prosper niache, nimuoneshe kazi huyu . mshenzi huyu, na leo namuuwa"
Aliongea Ramsey kwa hasira huku macho yake yakiwa mekundu sana na kumfanya hata Prosper aogope, alicho fanya Prosper alitoka nje kwenda kuwaita watu ili waweze kumuokoa Esta.
maana vinginevyo angeweza kufia pale pale uku tani na kusababisha Ramsey afungwe kifungo cha maisha,
kweli watu wana ingia na kumzuia Ramsey na wote kumshika.
"Mse*** sana huyu demu niachieni"
kweli upande wa ESta ili kua kidogo atoe haja kubwa kutokana na roba ile ambayo ili mfanya ajambe ndani ya jins yake, ki ukweli isinge kua watu wale wenda ESta ange kua marehemu.
"Ramsey kausha kaka, kausha haifai haifai kabisa"
Ramsey alitulizwa ila alitoa kauli moja tu hataki kumuona ESta mbele yake, kweli ESta alitolewa nje na RAmsey akibaki kutulizwa hasira zake,
******
tayari jioni ili fika na Ramsey akiwa ndani ya VOLKS wagen akirejea mikocheni taratibu sana,
katika kuangalia angalia ana muona Monalisa stedndi ya gari na kuegesh gari pembeni na kumwambia aingie ndani ili amfikishe pale ana poenda.
Aliingia ndani ya gari hiyo ya kifahari na kuzidi kustaajabu sana,
"baby Ramsey mambo yako super siku izi"
"hahahha acha tu, super wapi Mpenzi wangu, unaelekea wapi"?
"Mwenge"
"poa nita kudrop hapo Mwenge mi naenda mikocheni mara moja"
"nita shukuru sana"
Ramsey aliziodi kuendesha gari bila kuongea chochote na baada ya kufika Mwenge anaegesha gari pembeni na kumuona Monalisa ana muomba mdomo Ramsey aliupokea kishingio upande na kuanza kumla denda,
Ambapo Monalisa alili endeleza denda lile na kufungua zipu ya Ramsey na kutoa Mashine ya RAmsey
"baby siku nyingine"
"noo baby nina hamu bana kidogo tu"
"Monalisa wakati mwingine sasa hivi nina haraka,"
"baby bwana"
Licha ya MOnalisa kuongea sauti ya kujilegeza ila Ramsey hakuwa tayar kufanya ngono wakati ule, alikaza na kuendelea na msimamo wake ule ule
USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK