MAHABA NIUE (26)

Zephiline F Ezekiel
MAHABA NIUE (26)
JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA ILIPOISHIA... Licha ya MOnalisa kuongea sauti ya kujilegeza ila Ramsey hakuwa tayar kufanya ngono wakati ule, alikaza na kuendelea na msimamo wake ule ule KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Kweli Monalisa ana elewa huku akimpiga tena denda na kushuka, ramsey aliendesha gari na mwishowe na kufika kwa josephine , ila cha ajabu na cha kushangaza ana liona Gari aina ya pick up nyumbani kwa Josephine ambalo mara ya mwisho alipishana nalo kabla ya kifo cha Doreen kutokea, na mara ya mwisho alisikia pick up iyo ndiyo ilionekana baharani na ndo ndipo maiti ya Doreen ili okotwa. hakutaka kuamini macho yake kama ndo gari lile sababu pick up zipo nyingi, ila macho yake yana ganda juu ya mwanaume mmoja ambaye huyu alimuona na ndiye aliye kua dereva .mara ya mwisho ana kutana na gari hilo njia ya kutokea kwa Doreen akiwa ndani ya bajaji alihisi moyo una muuma sana na kupandwa na hasira upya, maana kile alicho …