MAHABA NIUE (8)

Zephiline F Ezekiel
MAHABA NIUE (8)
JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... Kilicho mshtua usiku huo ni Esta baada ya kurudi akiwa ame valia kika ptula kifupi kikionyesha mapaja yake manono huku juu alivaa top nyeusi. Harakaharaka Ramsey ali simama na kwenda kuoga ambapo alipo rudi ali kuta nguo zipo kitandani ambazo Esta alimchagulia azivae. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Leo vaa izo nguo, uta mechi na hii saa yangu" "ngoja nijaribu" Ramsey alivaa jeans tishet nyeupe na kofia yaa cape nyeusi pia. alivuta Raba zake na kuvaa. "baby you look mwaa." "asante twenzetu" Walitoka nje na Ramsey kuta futa bajaji ambayo ili wafikisha club ambiance . Ramsey alilipa na wote kuingia ndani moja kwa moja Esta aliiingia kati na kuanza kucheza ambapo wakati huo nyimbo ya mafikizolo inayoitwa KHONA ili kua ina pigwa na Esta kuanza kucheza huku akiendana na mziki huo. "Baby njoo tucheze" "nita cheza kidogo basi alafu nitaenda counter&qu…