MAHABA NIUE (9) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA TISA ILIPOISHIA... "Nikuulize wewe ulikua wapi?" "nilikua club mule mule ila ulinipotea sijui ulienda wapi?" "Nyoooo. ila tuachane na hayo jana niliibiwa ela ujue club" KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... ""Subiri tuta ongea baadae" Ramsey alioga na kubadili nguo akielekea k.koo kazini. ***** "yule maza si nili mfuata mwanangu" Alikua ni Ramsey akiwa ana muadithia Prosper wakiwa ndani ya duka la nguo. "Maza yupi huyo?" "Yule wa dcc Alikuja na BMW siku ile ijumaa" ""nisha mkumbuka ulimfuata Ram. wapi tena ?" " POSTA ..acha iyo mzee. aka nikabizi ndinga ake mtoto kashuka aka niambia kaa kulia VOGUE iyo ilikua kaka. aise nili pagawa kijasho kilini toka" "Ramsey una nitania" "Wallah tena we subiri. ana taka dhahabu ivi Tyson ata kua na dhahabu?" "Tyson yupi?" "yule sonara kule mtaa wa chini" …