ROHO MKONONI (5)

Zephiline F Ezekiel
ROHO MKONONI (5)
JINA: ROHO MKONONI Mwandishi: Zuberi Maruma SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA... Sasa huyu ni na nani?!,na namba zilizo mpigia inasemekana mmiliki Ni mtu huyu?!,akatafakari na kujiuliza maswali Mwisho akaona asijiumize kwa maswali wakati mwenye majibu yupo mbele yake. "Unaitwa nani bwana mdogo?!" KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 SASA ENDELEA... Akaanza kuhoji huku macho yake yakiwa usoni kwa mtu yule. "Zuberi Maruma" Mtu yule akaitikia,Butu akatabasamu,na kuandika jina lile katika kakijitabu chake. "Una miaka mingapi Zuberi?!" Inspekta akauliza kirafiki tu "Thalathini na mbili!" "Ok umeoa" "Hapana" "Unaishi na nani?!" "Naishi mwenyewe" "Umepanga" "Hapana nimejenga" "Wafanya kazi gani!?" "Mwandishi wa Riwaya" "Nyumbani unapokaa unaishi na nani?!" "Afande nishakwambia naish…