ROHO MKONONI (6) JINA: ROHO MKONONI Mwandishi: Zuberi Maruma SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... Dakika kadhaa zilizofatia watu wa nne walikwepo ndani ya chumba kidogo cha ofisi yake "Ma afande nyinyi mkiwa kama watu wangu wa karibu,wasiri wangu nadhani mengi tumefanya tukiwa pamoja,kwa taharifa tu yule mtu tulomuua msitu Tasa hakuwa na hatia!" KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 SASA ENDELEA... "What?!" Askari wale wote wa kashtuka,hakuna kitu askari anacho ogopa au kukijutia kama kuhukumu kiumbe kisicho na hatia achia mbali kuua, Ikabidi Butu awaeleze ukweli wote juu ya simu ile alopigiwa na kuchekwa kupewa maneno ya kejeli! Na mwisho mtu yule kuhitaji kuonana nae!,watu wale wakashtuka!... "Muonane kirahisi tu?!" Inspekta Jona akauliza,huku wasiwasi ukionekana wazi usoni mwake! "Lazima kuna kitu atakuwa amepanga dhidi yako!" Afande Andrea akaongea kwa wasiwasi! "Na …