ROHO MKONONI (8)

Zephiline F Ezekiel
ROHO MKONONI (8)
JINA: ROHO MKONONI Mwandishi: Zuberi Maruma SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... ...watu wale wakafunguliwa vitamba usoni mwao,hawakuamini!,ni kweli mbele wali iyona nyumba yao, "Mama tumewa achia huru atujawatesa wala kuwa ekea alama yoyote,usiripoti polisi kwa chochote juu ya utekaji huu na wala msiende polisi kuripoti chochote kama mnapenda kuendelea kuishi! Sawa?!" KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 SASA ENDELEA... Dereva akamta adharisha mama,alotingisha kichwa kukubali! "Mkienda kinyume na ichi tulichowaomba tutawachukua na Safari hii amtaishi Kama mlivyoishi hapo awali nadhani mmenielewa" "Sawa baba tumekuelewa atutaripoti chochote" Mama yule akajibu kwa unyenyekevu Dereva akampa ishara kijana mmoja akafungua mlango mama na wanaye wakashuka na gari ile ikaondoka,wali isindikiza kwa macho mpaka ilipoishia ndipo walipopiga hatua kuifata nyumba yao!. Pamoja na y…