ROHO MKONONI (9) JINA: ROHO MKONONI Mwandishi: Zuberi Maruma SEHEMU YA TISA ILIPOISHIA... Kwa kuwa walichelewa kulala pia walichelewa kuamka,Bi Glory kabla ajafanya chochote akachukua simu yake na kumpigia shemeji yake,yani mdogo wake na mume wake,ndo ndugu pekee alokuwa amebakia kwa upande wa mume wake,akamuomba afike nyumbani,kwa kuwa hakuishi mbali kweli alifika akamuelezea,shemeji yake alotambulika kwa jina la Michael alimpa pole sana shem wake!,akamtoa khofu na kumwambia lazima waende kituo cha polisi... KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 SASA ENDELEA... Asubuh ile ile safari ya kuelekea kituoni ikafatia. *** KITUO KIKUU CHA POLISI Kamishna Nurdini alikuwa kakaa ndani ya ofisi yake kakasirika,kila dakika aliguna,mdomo aliukunja,si muda mrefu alikuwa ametoka kumgombeza kijana wake Inspekta Jonathan ,ni muda mrefu sasa toka amemkabidhi kesi ya afande Butu aloipoteza familia yake,ila mpaka muda ule a…