Notifications
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…
  • MY DIARY (10)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMITULIPOISHIA...Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuokoa hela ya vocha nikamwambia nimekubali ombi lako alafu nikakata…
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…
  • MY DIARY (5)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TANOTULIPOISHIA...Akanisimamisha na kuanza kuiuliza maswali mengi yasiyo na maana huko akionekana kutojiamini. “samahani dada, sijui unaelekea wapi”? Nikamjibu dukani. Akavuta pumzi ndefu na kuniambia ok, nisaidie namba zako za simu. Nikamwangalia juu na chini nikwambaia nimezisahau na simu nimeiacha ndani nikirudi ndani nitakuletea..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Akaishiwa pozi akanambia,…
  • MY DIARY (4)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NNETULIPOISHIA...Uchambuzi huu ulinigusa sana kwani hata mimi nilijihisi kuwa sikuwa na utando huo yaani bikira japo nilikuwa sijawahi kujamiana na mwanaume wa aina yeyote zaidi ya ile michezo ya utotoni ya kula mbakishie baba au ile ya kibabababa na kimamamama. Alianza kunishika mapajani na kunifanya nianze kusisimuka ajabu kwani japo alikuwa ni mwanaume mikono yake likuwa ni milani sana kama ya mtoto wa kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media…

FUPI TAMU (11)


Jina: FUPI TAMU
Mwandishi: Edgar Mbogo

SEHEMU YA KUMI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Saa kumi na mbili na robo, ndiyo muda ambao mimi kaka na Eva tulikuwa tuna ingia nyumbani kwa kina Eva, tukiwa tumeacha nyumbani tumefunga milango vizuri, na taa za nje tumesha washa, hali ya hewa ilikuwa na upepo flani wanguvu,

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI

SASA ENDELEA...
vimanyunyu, kwa mbali viliweza kutudondokea, na kuonyesha kuwa muda wowote mvua itanyesha kama jana usiku, giza lilikuwa lina tanda kwa kasi sana, nazani nikutoaka na wingu la mvua lililoanza kujijenga.

Pale nyumbani kwa kina Eva atukumkuta mtu yoyote, namaanisha mamdogo akuwepo, na licha ya taa za nyumba ile kuwa zimewashwa mpaka zandani, kasoro taa ya kwenye kibaraza, lakini akuwepo mtu ndani, “atakuwa ameenda wapi huyu mwanamke, au ameenda kwa mmoja kati ya wale wanaume wajana usiku?” nikama kaka alikuwa anatuuliza sisi, huku sauti yake ikionyesha wazi kujawa na wivu, “atakuwa ameona kuwa sifai ndio maana ameamua kumkubari mmoja kati ya wale jamaa” alisema kaka huku anatazama juu mawinguni, kisha akatazama njia ya kwenda madukani, “mjinga nini ameona mimi ndie wakukaa na watoto yeye aende kwa dume lake” alisema kaka huku anaanza kutembea kuelekea upande wa madukani, twenzetu tuka msikilie huyo Fatuma, sijuwi anataka nini, maana amesema kuwa anataka kukutana na mimi jioni hii, karibu na madukani” alisema kaka, huku anaendelea kuifwata njia ya madukani, na sisi tuna mfwata yeye, huku tunajiuliza kwanini mama mdogo ameamua kufanya hivyo, japo atukuwa na uhakika na maneno ya kaka, maana mama mdogo akuwa na tabia hiyo.

Tulitembea huku kaka akijiongelesha mwenyewe, kitu mbacho mimi binafsi nilitafsili kuwa ni wivu tu!, mpaka tuna fika madukani atukuwa tumemwona mamdogo Irene, wala Fatma, hapo nikamwona kaka anasimama na kutazama kule madukani, tayari giza lilisha ingia, ilikuwa vigumu kwa mtu alie kuwa madukani ambako kulikuwa na taa, kutuona sisi tuliokuwa kwenye giza,nazani alikuwa anamtazama Fatma, na kama ujuwavyo tabia ya macho, ukimwona mwenzio anatazama sehemu lazima na wewe utatazama tu, ndivyo tulivyo fanya mimi na Eva, na tulitazama kwenye duka la mpemba, atukumwona Fatma, wala mpemba,

baada yake tulimwona,mmoja wa wake za Mpemba akiwa anauza duka, hapo kila mmoja akaanza kutazama upande wake, pengine akamwona yule tulie mfwata, ambae si mwingine ni Fatma, “ mamdogo yule” alisema Eva, huku anaonyesha kidole kwenye upande wakushoto wa safu ya maduka, mimi nakaka tuka tazama kule aliko onyesha Eva, kweli tulimwona mamdogo Irene, anatoka kwenye moja ya duka,(siyo la mpemba) akiwa ameshika boxi la balbu, (taa) hhapo wote tuka mtazama kaka usoni, tukamwona anatabasabamu, kisha tuka mtazama Madogo, ambae akuwaametuona, sababu yeye alishika njia ya kuelekea nyumbani, “asalamu aleikumkum” tulishtuliwa na sauti yakike toka nyuma yetu,wote tuka geuka, na kukutana na Fatma aliekuwa ametazama kaka, huku usowake ukiwa umetawaliwa na tabasamu languvu. ……

, ata nguo zake alizo vaa usiku huu, licha ya kuwa gauni refu la mauwa mauwa, na kichwa chake kikiwa wazi zikionekana nywele nyeusiii, alafu ndefu, pia nikama alikuwa amejilemba vizuri usoni, akipaka wanja, narangi ya mdomo, huku macho yake makubwa ya duara nikama yalikuwa yanatazzama nusu, yani kama vile anasinzia, na ata macho yake yalipokutana na kaka, tukamwona yule Fatma ana tazama chini kwa aibu, “safi habari yako” alijibu kaka, ambae ukatoriki ulikuwa umemjaa sana, akihisi kuwa akiitikia aleikum salaam, atakuwa ameingia dini ya watu wengine, “nilizania utokuja, nimekaa weee, mpaka nikachoka” alisema Fatma, kwasauti iliyojaa aibu, “kwanini nisije sema Popa alisahau kunipa ujumbe, ndio kanipa jioni hii” alijibu kaka ambae macho yake nikamayalikuwa yanaukagua mwili wa Fatma.

Naam Tukiwa tunasubiri kwa hamu kusikia alicho itiwa kaka, mala tuka mwona Fatma anatazama upande wa madukani, na kushtuka kwanguvu, “mtumeee, kaka huyoooo!” alisema Fatma na sisi tuka tazama upande ule alikokuwa ametazama yeye, hapo wote tuka mwona Mpemba, akiwa anaongozana na vijana wawili, ni wale ambao nilimwona nao mchana, walikuwa wanatembea kwa kasi, kuelekea upande wa nyumbani ambako mamdogo alikuwa ameelekea muda mfupi uliopita, ni wazi kaka alimtambua Mpemba na kushtuka sana, akamtazama Fatma,

“yule ni kaka yako?” aliuliza kaka kwa mshangao, “ndiyo ni kaka yangu, asije nikuta ikawa balaa, basi naomba nikuage, nimefurahi kukuona, asante kwa kuitikia wito, ukiniitaji mtume Popa aje niambie” alisema Fatma kisha akaondoka kuelekea kule alikotokea, sizani kama kaka aliweza kusikia maneno ya mwisho ya Fatma, maana tayari alisha geuka na kutazama kule walikokuwa wanaelekea wakina Mpemba, “Popa, jitaidi kuharakisha, tuwai kumwokoa mamdogo” alisema kaka kisha akaanza kuondoka na sisi tukamfwata.

Naam wakina mpemba walikuwa mbele yetu, mita kama hamasini hivi, ma mdogo atukuweza kumwona, na mbaya zaidi manyunyu ya mvua yalianza kuongeza kasi, na kushuka kwa wingi, ambapo dakika kama mbili mbele tuka ona mvua inaanza kushuka kabisa, tena ni mvua nyingi, kaka Denis aliongeza mwendo, na sisi tukaongeza, tena kwa kukimbia.

Tulitembea huku mvua inatunyeshea, mbele yetu wakina Mpemba nao walikuwa wanatembea, kuelekea kule tulikokuwa tuna elekea sisi, nazani wao awakutuona, zaidi waliongeza mwendo, bila shaka walikuwa wana muwai mamamdogo, sababu wakati tuna karibia kufika nyumbani kwa kina Eva, tuliwaona wanaanza kukimbia, wakimkimbilia mama mdogo ambae sasa tulianza kumwona, ni baada ya kuufikia mwanga wa taa za nje, uliokuwa una mulika eneo lote la uwanja wa kina Eva, kasoro kwenye kibaraza ndio kulikuwa na giza, nazani ndiyo ile taa aliyoenda kununua mamamdogo Irene, hapo tulimwona kaka Denis nae akitoka mbio kuwawai wakina Mpemba, na kutuacha sisi tuna mfwata kwambali huku mvua inaendelea kutuchamanda.

Naam niliweza kuona wakina Mpemba wakimfikia mama mdogo, alie kuwa amelowa chapa chapa, kabla ajafikia kibaraza, na kumzunguka, “aya niambie sasa, unanipa unipi?” aliuliza Mpemba, huku mmoja wawale vijana wawili waliokuwa na mpemba akimshika mama mdogo Irene, hapo tulimwona mamdogo akiwa ameduwaha kwa mshtuko, maana akutegemea kutokewa na tukio kama lile, akabakia anaanatetemeka, huku ana anamtazama Mpemba kwa macho ya huruma,

“nauliza utanipa mwenyewe, au nikufanyie unyama?” aliuliza Mpemba, ambae yeye pamoja na wenzake awakumwona kaka alie kuwa anawajia mbio mbio, “naomba niache nitakulrudishia vitu vyako vyote” alisema mama mdogo kwa sauti ya uoga, “sina aja ya vitu, mi nataka unipe” alisema mpemba, kisha aka mshika mkono, “twende ufungue mlango, tumalizane” alisema mpemba akimsogeza mama mdogo kwenye kibaraza, kisaidiwa na mmoja wawale vijana, “kwa usalama wenu, mwacheni mala moja” alisema kaka huku anawasogelea mbio mbio, na hapo ndipo wote walipo geuka na kumtazama kaka,

nikama walishtuka kasoro, mamdogo ambae nikama aliachia tabasamu la mshangao, “henheee, umejileta mwenyewe, tena wewe ndio ninakuchukia kama nini” alisema mpemba alie kuwa bado amemshika mamdogo, huku yule mwingine akimwachia mamdogo na kusogea kule anakotokea kaka, ambae alikuwa amesimama mbele ya kijana yule mwingine, “dogo kwa usalama wako wewe, bola ujikate (ondoka zako) zako, kabla atuja kuharibu sura yako ya kishtobe (mschana)” alisema mmoja wawale vijana, “naposema kwa usalama wenu namaanisha kwausalama wenu kweli, naomba muondoke” alisema tena kaka, hapo tukawasikia wale vijana wawili pamoja na mpemba wakiangua kicheko cha dharau, “inaonekana dogo, uijuwi habari yetu sasa ngoja tukuonyeshe” alisema yule alie kuwa karibu na kaka, huku ananyoosha mkono wake wakushoto, na kujaribu kumshika ukosi wa shati la kaka Denis, eneo la kifuani.

Hapo sisi ambao tulikuwa tumesha karibia eneo lile, tulimwona kaka, akiudaka mkono wa yule kijana, na kuunyonga, kwa kuuzungusha, kisha akamsukuma kwanguvu, tukamwona yule jamaa akirudi hatua kadhaa nyuma na kujikosa kosa kuteleza kwenye tope, huku anajishika mkono akiugulia maumivu, lakini hilo alikuwa onyo kwa yule mwingine, ambae alihamaki, “unajifanya mbabe siyo?” alisema huku anna mvamia kaka kwa lengo la kutandika ngumi ya mkono wakulia, lakini kwa wepesi ambao kaka amejaliwa, nilimwona akikwepea upande wakushoto kwake, yani kulia kwa yule jamaa, huku akiudaka mkono wa kulia wa yule kijana wa Mpemba,

hapo nilitaka kufumba macho sababu, nilisha juwa kinachofwata, maana uwa namwonaga kwenye mazoezi yake pale anapokwepea upande wowote, uwa kina fwata nini, lakini nilisha chelewa kufumba macho, niliweza kumwona kaka akiachia ngumu moja nzito kwenye ubavu wa kulia wa yule kijana, huku akiwa bado ameushika mkono, kisha aka uzungusha ule kono wa kijana, na na kuuleta mgongoni kwake, alafu aka mfyetua miguu yote miwili yule kijana akajibwaga chini, huku ikisikika sauti ya “kha!” ungesema kuna kijiti kikavu kimevunjika,

“mama mkono wangu” alilia yule kijana, kwa sauti ambayo iliashilia kuwa alikuwa katika maumivu makali, wakati huo yule wakwanza nae alikuwa anamvamia kaka, hapo nilijikuta nikipiga kelele, “usiende weweeeeee!” maana nilijuwa kinachoenda kumpata, lakini aikusaidia kitu, maana tayari alisha rusha ngumi kuelekea kwa kaka, ambae akujiangaisha kuipangua, kama anavyo fanyaga kwenye mazoezi, nato aliipisha kidogo huku anamwachia yule alie kuwa analia pale chini, yule jamaa akajaa na kupitiliza, hapo kaka ali mtwanga ngumi moja ya shavuni, nusu tumwagikiwe na damu zilizo ruka mdomoni kwa yule jamaa, ambae alipotaka kupiga kelele, tuliweza kuona jino likianguka, toka mdomoni mwake, ile anageuka kwa ghadhab, aka kutana na ngumi nyingi za kifua, kiasi cha kumfanya akate pumzi kwa sekunde kadhaa, kitendo cha kujibwaga chini, ndicho kilicho kuwa msaada kwa yule jamaa, hapo ndipo mvua zanguo zilipo koma

Hapo kaka akamtazama mpemba, ambae bado alikuwa amemsika mkono, ma mdogo Irene, huku akiwa kama smeshikwa na bumbuwazi, “nazani mmesha elewa niliposema kwa usalama wenu” alisema kaka Denis, kwasauti ambayo ilionyesha wazi kujawa na ghazab, “umeambiwa niache wemshenzi” alisema mamdogo, huku ana inua goti la mguu wake, na kugonga sehemu za siri za mpemba, ambae aliachia mkono wa mamdogo Irine na kujishika sehemu zake za siri, na kisha akapandisha tumboni, huku mimi na Eva tunacheka kweli kweli.

Wakati Mpemba ana jishika tumbo, akiugulia maumivu ya kupigwa kengere zake, mamdogo akamwongezea, kofi la usoni, “unang’ang’amia nikupe nikupe nini, unazania mimi ni duka la ushirika?” alisema mama mdogo,

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Usisahau Kunipa Sapoti kwa Kuyabonyeza ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Burudani
44 Fupi Tamu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni