FUPI TAMU (5)
Zephiline F Ezekiel
---
Jina: FUPI TAMU
Mwandishi: Edgar Mbogo
SEHEMU YA TANO
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
Ukweli tulipoingia kule chumbani, ambako kulikuwa na vitanda viwili, kimoja kikubwa cha tanne kwa sita, na kingine cha tatu kwa sita, tuka sahau kuwa,kuna kale kamchezo ka kibaba baba, ila tulisimama mlangoni na kutega masikio yetu, sijuwi tuliwaza nini, huku mimi na kikagua kile chumba ambacho sikuwai kuingia ata mala moja,
WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI
SASA ENDELEA...
Na kugundua kuwa kilikuwa ni chumba cha mama mdogo, “kwahiyo nitakaa hapa mpaka wale jamaa zako waje?” tulimsikia kaka akiuliza kwa mshangao wa hamaki, “jamaa gani, inamaana ume niona mimi Malaya sana, au kwasababu na kuchekea chekea?” aliuliza mama mdogo kwa sauti iliyo jaa jazba, tukajuwa urafiki wao unaishia hapo, na sisi kurudi nyumbani, “lakini ma’mdogo nzani ujanielewa, sija manisha hivyo” alisema kaka kwa sauti ya kubembeleza,
“unamaanisha nini, au sababu ulionina na wadanganya wale wapuuzi?” aliuliza mama mdogo kwa sauti flani, iliyo ashilia kuwa amezila, hapo nikama Eva alitamani kuwaona jinsi walivyo, kwa wakati huu wanapo bembelezana, hivyo akafungua mlango taratibu, na sisi tuka toka na kuanza kutembea taratibu mpaka kwenye kingo ya mwisho wa kolido, na kuwa chungulia wakina mama mdogo ambao walikuwa wamakaa kwenye lile lile kochi moja, na sisi tukiwatazama kwa ubavu, lakini tuliweza kuwaona vizuri kabisa, “basi naomba uni sameheme, maana uwa sipendi kumuuzi mtu, tena ukizingatia mchana kutwa tume furahi pamoja” tulimwona na kumsikia kaka Denis akimwambia mamdogo Irene kwa sauti ya kubembeleza, hapo tuka mwona mama mdogo anaangalia pembeni na kujitabasamulia, kaka akiwa amwoni anavyo tabasamu,
“ebu mwone, ume nitukana alafu unajidai kuniomba msamaa wa uongo” alisema mama mdogo huku akijifanya bado amekasirika, “nikweli mama mdogo siombi msamaha wa uongo, sipendi uchukie sababu yangu” alisema kaka kwa sauti ile ile ya kumbeleleza, “nitaamini vipi, kama unanimba msamaha wa ukweli ukweli?” aliuliza mama mdogo, huku ananyayuka toka kwenye kochi akainama mezani na kukuchukuwa remote ya deck, tuka mwona kaka anayatazama makalio ya mama mdogo ambayo licha ya kuonekana yakiwa ndani ya chupi nyekundu, kutokana na gauni jepesi la kuangaza, lakini pia mama mdogo alipoinuka gauni lake lilikuwa limezama kwenye mferiji wa kati kati ya makalio yake, akuangaika kulinanua,
baada yake alitembea taratibu na remote yake mkononi, kuelekea kwenye meza ya TV, huku kaka akimsindikiza kwa macho, na ukweli ni kwamba, mama mdogo kila alivyo kuwa anatembea, na makalio yake makubwa, ambayo yalionekana vyema yakiwa kwenye chupi yake nyekundu, ndani ya gauni lake la kuangaza, yalionekana yakitingisika sana,kiasi cha ile nguo kujitoa yenyewe, ungesema anafanya makusudi kwa jinsi yalivyo tikisika, tuliweza kumwona kaka akikodoa macho kutazama makalio yale “sema sasa nitaamini je kama upendi kunichukiza?” aliuliza tena mamdogo, huku ana inama kwenye meza ya TV na kuweka ile remote, kwenye ngazi ya chini kabisa ya meza ya TV, hapo tuliweza kuona jinsi makalio ya mama mdogo yalivyoonekana vizuri zaidi, maana ata mwanga wa TV uliokuwa una mmulika kwa mbele ulisaidia kuona,
“sijuwi kama kuna kitu ninaweza kusema au kufanya, ili uamini kama ninachosema ni kweli, ila ningependa sana kukuthibitishia ilo”” alisema kaka huku akiendelea kumtazama mama mdogo, ambae sasa aliinuka na kuanza kurudi, kwenye kochi, kaka akazuga kuwa akuwa anamtazama, “unashindwaje kuni thibitishia au nikuambie unifanyie nini ili niamini?” aliuliza mama mdogo, huku anakaa kwenye kochi lile lile, alilokaa kaka Denis, lakini safari hii, kuna jambo lilitokea, sijuwi ilikuwa bahati mbaya, maana wakati mama mdogo anakaa gauni lake lili panda juu, na kuacha sehemu kubwa ya mapaja yake wazi, “nikufanyie nini” alisema kaka, huku macho yake yakitazama kwa wizi, kwenye mapaja ya mama mdogo, ambayo kwa kiasi kikubwa yalikuwa wazi, “utakubari nikikuambia?” aliuliza mama mdogo, na kumtazama kaka Denis kwa macho ya kulegea huku anajichekesha chekesha.……
“nitajitaidi ili uamini kuwa sikupenda kukutukana” alisema kaka na sisi tuka tazamana, tukionyesha kuwa wote tulikuwa tuna hamu ya kusikia kitu ambacho mama mdogo alikuwa anaitaji kufanyiwa na kaka Denis, kwanza mama mdogo alianza kwa kujichekesha chekesha, na kujifanya ana pandisha miguu yake kwenye kochi, kitu kilicho sababisha nguo yake kuzidi kupanda juu, na kuacha mapaja wazi zaidi kiasi cha chupi yake kuonekana kidogo,
“nataka leo ulale hapa nyumbani” kauri hii ilinifurahisha sana, ata nilipo mtazama Eva niligunduwa pia alifurahi, mtihani ukawa jibu la kaka litakuwaje, “mh! hakuna kingine ambacho naweza kufanya zaidi ya kulala hapa?” aliuliza kaka kwa sauti iliyo jaa mshangao, na kabla ajajibiwa na mamdogo, mala tuka sikia sauti flani hivi kama ya vyuma vya basikeli iliyokuwa ina karibia pale nyumbani, hapo tuka mwona mama mdogo, anakimbilia kwenye ukuta usawa wa sehemu ya switch ya kuwashia na kuzimia taa, aka zima taa haraka, kisha akaenda kwenye switchi ya Tv na kuizima pia mwisho akarudi pale alipokaa kaka, na kumshika mkono,
“twende chumbani” alisema mama mdogo kwa sauti ya kunong’ona, huku anamvuta kaka, akimtaka asimame, na kweli kaka akasimama na kumfwata mamdogo, alie kuwa anakuja usawa wa kolido ambako sisi tulikuwa tume jibanza, kuona hivyo, tuka kimbilia chumbani, huku tuna cheka kimya kimya, “tulipofika chumbani ambako kulikuwa na vitanda viwili, tuka kimbilia kujilaza kwenye kitanda kimoja kidogo, na kujifunika, gubi gubi, tukiacha sehemu ndogo, ya kuchungulia, tuka waona kaka na mama mdogo waaingia, mama mdogo akiwa amemshika mkono kaka, na kumweleza kwa ishala akae kitandani na kukaa kimya, kaka akafanya kama alivyo agizwa na mama mdogo, ambae akufanana na vitendo vile vya kitoto alivyo kuwa anavifanya, kaka aka kaa kwenye kitanda tulicho lala sisi, na wakati huo huo tuka sikia mlio wa kengere baiskeri, ukisikika kwa kurudia rudia, lakini mama mdogo aka tulia kimya huku aki mtazama kaka usoni, na wakaishia kutabasamuliana, mpaka zile kengere zilipo koma.
Naam tukiwa tuna chungulia toka kwenye shuka, tuka mwona mama mdogo, nikama amechezwa na machale, aka wai kwenye switchi ya taa ya mle chumbani na kuizima, alafu sekunde chache baadae tuka sikia, vishindo vya nyayo, za mtu akisogea kwenye dirisha la chumba kile, tukatulia kimya kabisa, ata kaka nae alie kuwa amekaa pale kitandani alitulia kimya kabisa, sekunde chache baadae tuka sikia, dirisha lina gongwa, huku mgongaji akirudia mala mbili, na yatatu akagonga huku anaita
“Irene… we Irene” ilikuwa ni rafudhi ya kipemba, ambayo moja kwa moja ilitufanya tumtambue mgongaji kuwa ni Juma mpemba, yule mwenye duka, “nani wewe?” aliuliza mama mdogo, kwa sauti ambayo kama ungekuwa nje ungekjuwa alikuwa ametoka kuhamka, huku akisisitiza kaka kwa ishala, kuwa akae kimya, “mie mpemba bwana, nsha fika” alisikika mpemba, “usiku wote huu unafwata nini?” aliuliza mama mdogo, akijifanya kuchoka kwa usingizi, “lakini Irene si nilikuambia kuwa ntakuja, nikaribishe ndani basi mwenzio nalowa mvua” alisema mpemba kwa sauti ya kulalamika, nikweli mvua ilisikika bado ina nyesha,
“kweli siwezi kukuingiza nyumbani kwa dada yangu usiku huu, unazani watu watafikiliaje” alisema mama mdogo, ambae alikuwa amesimama mbele ya kaka Denis alie kuwa amekaa kwenye kitanda tulicho kilalia sisi, “lakini mbona ulikubari nije usiku huu?” aliuliza mpemba, kwa sauti ya malalamiko, “lakini umechelewa mwenyewe, mi nimesha lala” alisema mama mdogo akionyesha kuwa akuwa na dalili ya kufungua mlango, “nilikuja mwanzo, nika mkuta yule kijana, nikaona nije baade” alisema mpemba kwa sauti ile ile ya malalamiko,
“siungegonga mlango, kwani alikukataza?” aluliza mama mdogo, safari hii analaza kiganja cha mkono wake kichwani kwa kaka Denis na kufanya kama anamchezea nywele, nikamwona kaka anashangaa kitendo kile, “pia nilimwona mtu mwingine anazurula mitaa hii nikaona nibola niwe na subira…” aliongea mpemba na kabla aja malizia, akasikika akiondoka pale dirishani kwa mwendo wa kukimbia, hatukujuwa alikuwa anakimbia nini, tuka msikia mama mdogo akicheka kicheko ambacho alimwambukiza na kaka Denis,
“sasa si utalala hapa hapa?” aliuliza mamamdogo kwa sauti ya kunong’ona, huku bado mkono wake upo kichwani kwa Denis, ambae kabla ya kujibu, alitazama kwanza kitanda alicho kikalia, yani kile tulicho lala sisi, kisha akajibu, “sawa, lakini mtoto mmoja ibaidi ulale nae” alisema kaka, kwa sauti ile ile ya kunong’ona, kisha akaanza kuvua viatu akijiandaa kulala, “Eva, njoo ulale huku” alisema mama mdogo, huku napanda kitandani kwake na kujifunika shuka, tulishangaa kidogo, maana tulizania kuwa mama mdogo na kaka wanazania kuwa tumelala, “sitaki mamdogo, mi nalala na wakina Pross” alijibu Eveline, huku akizidi kujifunika gubi gubi, “kitanda kidogo icho mtalalaje watatu?” aliuliza mama mdogo, lakini ilikuwa kazi bule, “basi kaka Denis aje kulala kwako” alisema Eva, na hapo mama mdogo akaishia kucheka kwa kuguna.
Tayari kaka alisha maliza kuvua viatu, na alionekana kuwa akuwa na mpango wa kuvua nguo zake, hivyo alitaka kulala na nguo zake, ana subiri Eva atoke, ili yeye aoande kitandani, lakini kabla mama mdogo ajasema lolote, mala vika sikika vishindo nje ya nyumba, vikisogelea dirisha la chumba tulicho lala sisi, hapo wote tuka tulia kimya, tukisiliza vishindo hivyo vilivyo kuja moja kwa moja mpaka dirishani na kufatia mtu kugonga dirisha, ikiwa kama ilivyo kuwa kwa mpemba, mgongaji aligonga mala kadhaa, bila kuita na baadae akaanza kugonga huku anaita,
“Irene… we Irene amka basi” ilikuwa ni sauti ya kiume, ambayo tuliitambua kuwa, ni sauti ya yule anae mpaga mamamdogo ela na samaki, huyu alikuwa ni bwana Wakwetu, hapo tuka msikia mama mdogo akijifanya kujigeuza kitandani, kisha kikapita kimya, nikama yule Wakwetu alizania kuwa, ma’mdogo ana amka kama alivyo mwambia, zikapita sekunde kadhaa, na alipoona kimya akagonga tena, “we Irene mwenzio na lowa na mvua, amka basi unifungulie” alisema Wakwetu, na hapo mama mdogo aka jifanya kupiga mhayo,
“nani wewe?” aliuliza mama mdogo kwa sauti yakichovu, ungesema alikuwa ametopewa na usingizi, “mimi Wakwetu” alijibu Wakwetu, na hapo mama mdogo akajifanya kushangaa, “Wakwetu unafwata nini usikuu, watu wakikuona hapo unazani wanifikiliaje?” aliuliza mama mdogo kwa sauti ya mshangao iliyo changanyika na ukali, “lakini Irene si uliniambia nije?” alisema Wakwetu kwa sauti ya upole iliyoanza kunyongea, “mimi nilikuambia uje usiku huu, au wewe ndie ulie sema kuwa utakuja?” aliuliza mama mdogo, kwa sauti ya kusuta,
USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA
Umeyaona Matangazo?
Usisahau Kunipa Sapoti kwa Kuyabonyeza ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Burudani
Usisahau Kunipa Sapoti kwa Kuyabonyeza ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Burudani
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni