KITU MNATO (1) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Alhamisi, 23 Februari 2023

KITU MNATO (1)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Jane Davis

SEHEMU YA KWANZA
Gari ya kifahari toleo jipya Mali ya japan,hii ilimilikiwa na matajiri wachache mjini pale

Ilipiga "break" kituo kikuu cha polisi,

Mlango wa upande wa dereva ukafunguliwa mguu ulobeba kiatu kilichopigwa kiwi tena cha thamani kikakanyaga ardhi!,mguu wa suruali ya kitambaa kilichong'aa na kunyooka kwa kupigwa pasi "ikapasika" kikafatia

sambamba na mkono ulotokeza ulobeba mkono wa shati la thamani ulokuwa mfupi na kuwezesha kuonekana kwa saa ya mkononi yenye madini ya dhahabu katika kopo la saa yenyewe na almasi katika Mikanda yake,Mwisho mwili wote ukachomoza toka katika gari ile,

Alikuwa ni kijana " smart" na "mtamu" machoni mwa wadada wa kileo,

Mkononi alishika simu ndogo tu yenye gharama kubwa,hakashuka!

"But" hakuwa peke yake "no" bali upande wa pili wa mlango pia alishuka mtu akiwa na bahasha kubwa mkononi

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Huyu alikuwa ni wakili wa jamaa huyo!

Je huyo jamaa ni nani?!,bila shaka wengi wenu mnatamani kumfahamu, usoni alipambwa na tabasamu jepesi akaongoza wakili wake akimfata kwa nyuma wakaelekea uelekeo wa kituo kile!

Ni wakati alipofika kwenye mlango wa kuingilia kuna watu walikuwa wanatoka, mwanaume kwa mwanamke ikabidi wasubiri pembeni watoke kwanza ndo waingie!

Mwanaume Yule alokuwa akitoka alipofika usawa wa jamaa yule kama alimtambua,akasimama wakaangaliana kwa sek kadhaa pasina yoyote kuongea lolote , yule mwanamke shombeshombe alokuja na yule jamaa akabaki amepigwa na butwaa

"Hakeem!?" Jamaa Yule akaita,lakini Hakeem akuonesha kujali wala kumnyenyekea,jambo hilo likamshangaza jamaa yule,tabasamu aliloliachia likayeyuka na mwenyewe bila iyana akapisha njia

"Lakini ni nini kinachoendelea hapa Danny?!" Salha binti shombeshombe akaoji akimshangaa mpz wake yule!,

"wala usijali mpz tuondoke!"

Danis alisema kumwambia mpz wake yule wakapiga hatua kutoka nje ya kituo kile

Naye Hakeem na wakili wake wakazama ndani

"Naitaji kumtolea dhamana mshtakiwa"

Hakeem akaongea kwa kujiamini,na kuwaacha maaskari wote katika bumbuwazi!,kivipi na wakati yeye ndo angekuwa kipaumbele kumdididimiza kwa kumchafulia "super market" yake jina?!

Hawakujua kilichopo ndani ya moyo wa kijana yule,mapenzi ya ghafla yalomvamia pindi alipomuona binti yule,

Ni wakati ule akiwa ofisini kwake ghafla anasikia sauti za makelele nje ya ofisi yake ile,akajinyanyua na kutoka,mapenzi ni hisia uja pale unapo ona, moyo wake ulipasuka alipomuona kwa Mara ya kwanza binti yule

Maneno ya uchungu aloyatoa kumwendea Danis yalimwingia kisawasawa,akabaki ameganda pasina kuchukua hatua yoyote walinzi walipotaka kwenda akanyoosha mkono juu kuwazuia,japo tendo lile alikuonwa na mtu nje ya walinzi wale!

Hisia Kali za mapenzi zilimsukuma kwenda kuingilia,naaam akanyanyua mguu wake kuelekea pale kwenye varangati ila kabla ajafika akasita baada ya polisi wale kuja na kumchukua mzobemzobe binti yule

Hakeem akarudi ofisini kwake,ila akili haikuwa sawa,mchomo mkali wa mapenzi ulimchoma na kumpa maumivu makali,alikuwa katikati ya msitu mzito wa mapenzi na wakumwokoa alikuwa hatarini ili kupona kwake ilikuwa lazima amwokoe kwanza mwokozi wa mapenzi yake

Uwezo wa kumwokoa alikuwa nao ila je jamii ingemchukuliaje?!,kumsaidia muhalifu!, hapana! Ila ile ndo nusra ya moyo wake,iwavyo na iwe!…

Akachukua simu na kupiga namba za wakili wake,na kumuitaji pale ofisini,baada ya dakika kadhaa wakili wake yule akawasili akamweleza juu ya dhumuni lake la kumsaidia Dada yule!

Kwa pamoja wakatoka na kuingia ndani ya gari,kwa safari ya kuelekea kituoni na ndivyo ilivyokuwa!

"Una uhakika na unachosema?!"

Insp wa jeshi la polis akauliza aliyepewa jukumu la kusimamia kesi ile

"Bila shaka afande!" akajibu Hakeem uso wake ukichanua tabasamu!

"Ok right! Fata tu maelekezo!" Insp Nurdin akamalizia akimpa fomu ajaze naye akampa wakili wake wakajaza kila kitu baada ya kukamilisha wakaondoka zao! Huku nyuma afande Jane akaitwa akamtoe mshtakiwa

Bado alikuwa na maumivu mazito katika kichwa chake!

Kidonda cha mapenzi huwa ni kigumu kupona, hasa yule ulomtegemea akikuweka pabaya

Shamim alijiinamia selo,akipambana na maumivu makali ya kichwa,maumivu yalotokana na kulia pamoja na mawazo mazito katika kichwa chake!

Ghafla mlango ukafunguliwa na askari Yule wa kike akamuita!

Kwa haraka Shamim akajiinua na kuelekea kwa mkuu wa kituo alipoitajika

"Umepata dhamana ila unapaswa kila siku urejee hapa kusighn,fata sheria zote za dhamana!"

Shamim akaduwaa!, kapata dhamana?!, kivipi?! Na ni nani huyo alomthamini?!,katu akutaraji jambo hili, hamu ya kumjua mtu huyo ikamvaa,bila kusita akauliza

"Je ni nani alomthamini?!"

Yule mkuu wa kituo kwa tabasamu jepesi akamwambia "ni bwana Hakeem?!"

'Hakeem?! Ni nani hasa mtu huyo,' ni wazi jina ilo lilikuwa geni kabisa katika masikio yake na ni vipi ampe dhamana?! Lazima kuna kitu akutaka kujidanganya

"Hakeem mkurugenz wa HAKEEM SUPERMARKET"

mkuu yule wa kituo baada ya kumuona binti kapigwa na butwaa akamtajia kabisa muhusika!

Naaam ni kama Shamim aliona wingu likifunguka na kuona yaliyomo ndani yake kwa mshangao ulompata!, akauacha mdomo wazi akipigwa na butwaa! Mpaka yule askari akamshangaa ila binti alikuwa na haki ya kushangaa!….

Kwanza Hakeem mwenyewe hakuwa na mazoea naye,hawakujuana kivipi aje amtolee dhamana?!,zaid ya kuwa mteja katika super market yake ile hakukuwa na la zaidi baina yao!,hata kama ni wewe ndugu msomaji lazima ungeshangaa!

Kisa tu unaenda kununua bidhaa "nakumat supamarket" Leo umepatwa na matatizo yalopelekea hata kuchafua jina super market ile ila mmiliki wake anakuja kukutolea dhamana!?

Ila akahisi pengine ni MUNGU tu, akapewa vitu vyake alivyokuja navyo, akapanda daladala kuelekea nyumbani akaoge abadilishe ndipo aelekee katika super market ile kupeleka shukrani zake za dhati!

Mapokezi alokutana nayo akuyatarajia pengine alitegemea wazazi wake wangefurah kumuona mwanao ambaye wiki nzima alikuwa ndani,ikawa tofauti baba yake alikuwa kama mbogo alojeruhiwa , pasina kuuliza ametokaje! Wala kumsikiliza akamshushia kipigo akimtuhumu kwa umalaya!

Akuishia hapo mwisho akamfukuza pale nyumbani!,akimwambia aende kwa wanaume wake!

Shamim angeenda wapi?!, alilia akapiga magoti ila mzee yule alikuwa na roho mbaya,hata mama yake alipotaka kuingilia walichanganywa wote!

Ili kumnusuru mama yake,ikabidi Shamim ajiondokee!,japo akujua ni wapi anapoelekea!

'Naamin hii ni dunia yangu!,dunia yangu peke yangu'

Alilalamika akiwa anaendelea kutembea,pasina kujua anaelekea wapi! Yote hayo kisa mapenzi?!

Ghafla akamkumbuka Hakeem! Na Nia yake ya kumtembelea kutoa shukran!,akaanza kuchepuka kuelekea palipo na usafiri akapanda na kuelekea kwa mwanaume yule,ambaye akujua atampokeaje na lipi lengo lake la kumsaidia!…..

Bado mapigo ya moyo wake yalimwenda mbio,alifanikiwa kufika katika supar market ile na kuelekea katika ofisi ya mmiliki bwana Hakeem!

Wafanyakazi wengi alopishana nao walimwangalia kwa jicho baya kama wamekutana na shetani,kwani wengi walimuona ni mkosaji!,akuwajali!,akafata njia mpaka mapokezi

"Naitaji kuonana na mmiliki wa super market hii"

"Je una miadi naye?!"

"Hapana sina miadi naye"

"Ok!, bosi kabanwa na kazi!"

Karibu muhtasar wake akamwambia akiwa kaikunja sura ipasavyo ni wazi akuridhika na ujio wake!

Usilplijua moyoni mwa mtu ni sawa na usiku wa kiza!

Dakika takribani kumi na tano zilishakata tangu binti huyo Mrembo alipomaliza kuoga, akajifuta maji kwa taulo lake zito sasa macho yake malegevu kama kala kungu manga yakatua katika kioo kikubwa kilichokuwemo ndani ya bafu lile

Naam binti yule akalishughudia vyema umbo lake 'mubashara' lililokuwa tupu kama alivyozaliwa, swadaktaaa binti yule akaachia tabasamu mwanana akiridhika kwa kumshukuru 'rabuka' kwa kumjalia nywele nyingi nyeusi tiiiiii,nywele zilizo mwagika hadi mgongoni na hivyo kumfananisha na Mrembo yoyote mwenye asili ya Asia!,

Pia binti yule Mrembo alilitazama umbo lake lile la wastani lililobeba titi "dodo" zile ambazo ni tamu kuzinyonya zilizochongoka na kuchomoza kimtego,na kuwa kama mtego kuwa tega wanaume wakware pindi wazitazamapo,alijaliwa umbo la wastani rangi yake ya chocolate,pua yenye ukubwa wa wastani

Na mdomo utamanishao kuunyonya pindi rijali yoyote wa kiume auangaliapo,kiuno kilichobebwa na hipsi zilizokamilisha umbo namba nane umbo nadra kwa wanawake wengi kuwa nalo

Kadri alivyozidi kujitazama katika kioo kile kirefu ndivyo alivyozidi kutabasamu na kumsifu alomjalia umbo hilo…

Alijipapasa taratibu kifuani pake hakarudi nyuma hatua kadhaa akijinyonga nyonga mithili ya Mrembo azungukae jukwaani ,mdomoni alizawadiwa tabasamu jepesi ambalo alikudumu likageuka kuwa cheko ,akacheka kwa sauti ya chini

Akakiri wana haki kweli ya kumsumbua sambamba na kumtazama kwa matamanio kila anapopishana nao wengine wasiamini wakionacho kwa kugeuza shingo zao

Huyu ndiye SHAMIMU mwanamke aloutesa mji wa Muheza ndani ya jiji la Tanga kwa uzuri alojaliwa!

Baada ya kuridhika akaachana na taulo na kuchukua ka upande cha khanga akakilowanisha kidogo na kujifunga!

Akapiga hatua kuusogelea mlango akashika kitasa cha mlango na kukifungua!

Taratibu akauinua mguu wake kutoka ndani ya bafu lile!….

Akatokea katika chumba ambapo alipokelewa na mwanaume ' shababi' yamkini alikuwa akimsubiria kwa hamu!

Mwanaume yule alikuwa kavaa bukta ya track na singland macho yalikuwa yamemkwiva akiitaji tiba ' mujarabu' kutoka kwa binti yule

Alikuwa nyuma yake mshale wake wa ' ikweta' ukiigusa gusa milima miwili ya Dada yule huku mikono yake miwili ikipapasa milima miwili ya kifuani ( milima dodo) na kusababisha miguno isoeleweka kwa Shamimu

"Kwa nini umeenda kuoga bila kunambia tukaoge wote?!"

Kijana yule akasema kwa sauti nzito huku mdomo wake ukinyonya shingo ya binti yule kwa nyuma

"Mmmh beby bado sijaoga siwezi kuoga peke yangu Bali nilienda kukusafishia TAMU yako mpenzi,kukusafishia asali yako baada ya kuila ndo tukaoge pamoja sasa"

Binti yule akajibu huku akimgeukia kijana yule na kumzawadia mdomo! Kijana yule akaupokea wakazama dendani ( romance)

"Ooooh aaaaah beby" shamimu alisindikiza mchezo ule kwa mguno mtamu ulozidi kumkasirisha jamaa yule! Naye bila ajizi akamtupia kitandani!

Naye kwa haraka akaivua ile bukta tayari kumvaa binti yule kwani tayari mtarimbo ulishauasi mwili

"Noooh HAKEEM" SHAMIM akagoma, ila Hakeem akutaka kusikiliza yeye alichoitaji ni utamu tu! akamvamia Shamim na kumpanua miguu yake akielekeza mtarimbo mahali usika

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Yabonyeze Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni