KITU MNATO (8) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatatu, 27 Februari 2023

KITU MNATO (8)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Jane Davis

SEHEMU YA NANE
ILIPOISHIA...
"Mume wangu kwa nini umebadilika siku hizi unakuja nyumbani umechelewa huna hamu na Mimi tena,unaniacha mpweke nimekukosea nini mume wangu nisamehe kama nimekukosea mume sipendezwi na hivi tunavyoishi jua bado nakuhitaji HAKEEM

Je Shoga maneno haya hayatamuuma,lazima yamuume na akirudi mpe penzi shata shata akutamani tena na tena…."

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...


Madame Jane akamweka kituo,akamwangalia Shamimu kama anaswali naye Dada yule hakuwa na swali!

"Haya sasa shoga yangu twende vya ndani style za kumpa mumeo kumuandaa na kumfikisha kileleni"

"Hapooo ndipo haswa ninapopataka" SHAMIMU akajibu akiachia tabasamu na kukaa vizuri! Kusikia darasa lile…

SAMIRA AINGIA KATIKA USALITI

Kazini Samira hakuweza kufanya kazi vizuri zaidi ya kuchat na yule msomali waliyekutana naye SHERATON HOTEL,wakaweka miadi weekend hiyo kuonana katika hoteli ya nyota tano iitwayo Garden love ,siku zilikuwa hazisogei mawasiliano yakazidi kupamba moto na hatimaye siku ya siku ikafika

GARDEN LOVE LORGE

Ni waafrika wachache waliokuwa kwenye lorge hii,wengi walikuwa ni wazungu na wa mataifa mbalimbali

Naam katika swimming pool moja Samera alikuwa akiogelea no! walikuwa wakiogeshana na kijana mmoja ( Msomali) katika swimming pool hiyo,Mara chache walibadilishana mate yao,kutomasana,na hata kukutana kimwili ndani ya swimming ile hakukuwa na wa kuwashangaa,baada ya kumaliza kuoga wakajifuta vizuri na kuelekea kupata chakula maongezi yakaendelea

Msomali alikaa pembeni ya Samera Mara chache kiuchokozi alishika mapaja ya Samera na Mara chache hiyo hiyo akikishika kiuno na kukipapasa,taratibu mkono wake ukaingia ndani ya sketi na kuelekea mpaka katika kisima cha mautamu akaingiza kidole!,

Samera akashtuka! Na kuruka akitoa kilio cha mahaba jicho lake likiwa limelegea kama kala kungu manga , msomali akataka kukitoa kidole chake kule,Samera akamdaka mkono bado alihitaji kutekenyuliwa tekenyuliwa

Wote sasa hisia ziliwapanda wakaamua kuzama ndani! Walipo pokelewa na kitanda kikubwa cha futi sita kwa sita

Naam raha jipe mwenyewe!…

Mahaba Niue , hakika walikuwa wakichezeana Msomali alimlamba Samera mwili mzima ,samira akawa akijikunja kunja kwa mautamu Yale

Msomali alikuwa ni mtamu zaidi ya asali alimsugua hasa binti yule Samera mpaka anavunja dafu la tatu msomali alikuwa hajachomoa hata kwa bahati mbaya

Aliukwea vizuri mnazi na katu hata hakuserereka

Baada ya SAMERA kuzidiwa kwa kumaliza kwa awamu nyingine akauchomoa mtarimbo uliokuwa umesimama umekaza zaidi hata ya chuma hakutaka kumchezea Dada yule kwa kumpa za chapchap

FUNZO
Wanaume wengi hukosea hapa mwanamke amalizapo tendo au afikapo mshindo hamu ya kufanya mapenzi humtoka hivyo huitaji kuamshwa tena hisia kama mwanaume hujafika mshindo pampu taratibu huku ukishika sehemu zake za hisia kusudi umnyegeshe

Ila sasa utakuta li dume mwenzake kashamaliza lenyewe bado atampelekea mwenzake moto ule ule alianza nao mpaka uwanja wa mautamu pawake moto

Hayo si mapenzi, huo ni ulimbukeni, mapenzi si kukomoana mapenzi ni kustareheshana!

Msomali alikuwa dokta wa mapenzi mtarimbo wake ukiwa katika kisima cha mautamu akafanikiwa kumrudisha Samera mchezoni

Sasa akauwasha moto vilio vya mahaba vikawa vinashindana,wakafanikiwa kufika kileleni wote

Samera akakiri katika ukuaji wake toka abalehe hakuwahi kukutana na mwanaume kama yule

Msomali akatoa waleti yake na bila kuhesabu akamkabidhi fedha zile,naye binti akazipokea baada ya hapo wakajiandaa na kuondoka!

Alipofika nyumbani ndipo samera alipokumbuka kuhesabu zile hela,akajifungia chumbani kwake na kuitoa waleti ile iliyotuna na kutoa hela zote akaanza kuzihesabu

Zilikuwa laki tatu! Akatabasamu ila katika mfuko mwingine wa pochi ile akakuta kibarua!

Binti alipitisha macho yake juu ya karatasi hiyo na kuanza kusoma kilichoandikwa humo kwa makini

"Nashukuru kwa penzi lako tamu mtoto una KITU MNATO Lakini pole sana kwa kuwa…" .Kabla hajamalizia kusoma ujumbe huo Samira akalegea na nguvu zikamuishia na kupoteza fahamu zake.

MWISHO

Umeyaona Matangazo?
Yabonyeze Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni