BABU UTAMU (12) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Ijumaa, 17 Machi 2023

BABU UTAMU (12)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Pablo Hernandes

SEHEMU YA KUMI NA MBILI
ILIPOISHIA...
Ilipita kitambo hakufanya mapenzi na mwanaume hivyo kiukweli alikuwa na hamu iliyozidi kipimo.Emmanuel hakuwa na papara wala haraka yoyote ile.Aliendelea kuchezea kile kisimi na ulimi wake mpaka Anna akazidiwa kabisa na kuomba kupewa dozi. kubwa.Emmanuel haraka akazamisha muoga wa jang'ombe ulioingia wote kutokana na kulainika vyema kwa ikulu ile.

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Mwendo wa taratibu ndio alioanza nao Emmanuel na vilevile alikuwa anampagawisha mno Anna aliyelalamika na kutaja majina yote.Emmanuel akazidi kasi sasa na haikuchukua hata dakika kumi na tano.Anna akafika mshindo wake na kusikia utamu maridhawa uliosababisha amwagie sifa Emmanuel.

"Aaah wewe mwanaume ooooh mume wangu kumbe mtaalamu hivyi eeeh namshukuru Mungu kunipa zawadi hii nakupenda sana Emmanuel…"…

Maneno yakamtoka Anna kwa furaha na kumfanya Emmanuel kichwa kuwa kikubwa.

"Hata wewe mtamu zaidi ya asali mpenzi."Emmanuel naye akamwagia sifa Anna ambaye akamvamia palepale na kumpa mdomo wake wote wakaanza kudendeka.Emmanuel naye hakuwa nyuma vidole vyake akavipeleka kwenye ikulu na kuanza kupekecha ikulu ya mwanamke yule aliyesisimka kama hakuwa na akili nzuri.Na kwakuwa Emmanuel yeye hakufunga goli haraka akamgeuza Anna na kumwambia abong'oe.

Anna akafanya ipasavyo akakaa kama alivyoelekezwa.Muogo wa jang'ombe akauzamisha kwenye ikulu ya Anna kisha akaanza kuuzungusha vyema kwa kukata kiuno kama wale waneng'uaji na kuzidi kumpagawisha.Chumba kizima kikazizima sauti za kimahaba na kwa hakika Emmanuel alitoa dozi stahiki kabisa na wala hakutaka kufanya shoo ya kipole alifanya shoo ya kibabe.Mtanange ule ingawaje ulikuwa mtamu kwa Anna lakini yeye Emmanuel aliboreka mno kwakuwa mwanamke yule hakuwa akinyumbulika.Alikuwa kama gogo katika uwanja ule mapenzi na kumfanya asijisikie ile raha ambayo alikuwa akipata kwa mama Mariamu,Mariamu mwenyewe pamoja na Rozinta.

"Aaaah….sss……mpenziiii nimechokaa ooooh." Anna alilalamika kabla hata Emmanuel ajafunga goli lake.Maneno ya Anna yalimkera lakini hakuonyesha hali ile.Aliendelea kuzungusha gurudumu mpaka akafunga goli.

"Ooooh jamani unaonekana unapenda sana kufanya mapenzi wewe hauchoki.."

"Hamna Anna kawaida tu."

"Auuu unapenda sana kwenda kwa wale wanaojiuzaa maana ndio huweza kuhimili kwa muda mrefu sana kwenye kufanya mapenzi." Anna akamwambia Emmanuel ambaye alikasirishwa na maneno yale.

"Kwanza mwanamke mwenyewe hana lolote kumbe kitandani ngojea nikinukishe." Emmanuel akawaza katika kichwa chake na kujifanya maneno yale yamemkasirisha.Hakuwa akimpenda Anna bali alikuwa anataka penzi tu na si kitu kingine.

"Kwa hiyo ndio umeamua kunitusi Anna?"

"Kukutusi vipi mpenzi?"

"Si umeniambia eti napenda kuwachukua wale wanaojiuza naona tunakoseana heshima sasa.Ngojea nikuache mwenyewe pumbavu kabisa weeee!" Emmanuel akanyanyuka haraka na kuitafuta suruali yake aliyoivaa haraka na uso wake ukiwa umekunjika kwa hasira.Anna alijikuta katika hali ya mshangao na pia aliona kabisa kuwa maneno yake hakuyasema kwa nia mbaya.

"Emmanuel mpenzi sijakuchukulia hivyo.Na wala sijasema kwa nia mbaya sasa umekasirikia nini mume wangu…Emmanuel!….weee Emmanuel unaenda wapi mpenzi usinifanyie hivyo basi nisamehe." Anna maneno yakamtoka pasipo kutarajia.Haraka naye akanyanyuka na kuchukua taulo na kujifunga vyema.Akatoka katika chumba kile haraka na kumfuata kwa nyuma Emmanuel aliyeshika moto tayari na tayari alishafanikiwa kuufungua mlango na kuanza kuvaa viatu vyake alivyovivua wakati anaingia hapo.

"Emmanuel sikutarajia kukukwaza na wala sikuwa na lengo la kukukwaza.Nimesema vile utani please naomba urudi ndani nisamehe nimekosa." Anna akaongea kwa huruma.Machozi yalikuwa yakimlenga lenga na alitamani hata kulia.

"Siku nyingine ukiwa na mwanaume ujifunze hekima ya maneno unayoyazungumza m***ya weee…" Emmanuel akaongea kwa hasira na kuondoka hapo na kumuacha Anna akiwa haamini kile kilichotokea.Simanzi ya ghafla ikamshika na taratibu akajikuta akiugemea mlango na kuanza kushuka chini taratibu mpaka akaa kitako machozi yakimlenga lenga.

"Oooh Mungu wee nina mkosi gani kwa wanaume mimi?…Kila kitu ninacho au nina kasoro gani?" Maswali mengi akajiuliza mwanamke yule kwa kile kilichotokea.Machozi yaliendelea kumtoka pale kama dakika kumi zikapita.Alipojiridhia mwenyewe akarudi chumba kwake na kujitupa kitandani na kuendelea kuwaza mengi kichwani mwake…..

Safari ya Emmanuel alipotoka nyumbani kwa mwanamke Anna akaelekea kwake.Akapanda daladala iliyompelekea mpaka magomeni sehemu anapoishi.

"Sema leo narudi mapema lazima watajishobokesha wale.Lakini nimemisi mzigo wa mama Mariamu na Mariamu mwenyewe acha tu." Wakati alipokuwa kwenye gari alijiwazia mwenyewe na kujikuta akitabasamu tu kwa furaha.Gari lilipofika magomeni mikumi taratibu akashuka na kuanza kukata mitaa kuelekea alipokuwa anakaa.Kabla hajafika sehemu anayokaa akamuona msichana Mrembo akiwa anaelekea kule alipotoka.Alipomkagua mrembo yule vyema akagundua kabisa alikuwa ameumbika kuanzia sura mpaka shepu ya uchokozi aliyobarikiwa.

"Mmh simuachi huyu ngojea." Emmanuel akajisemea na kujiongeza na kumsogelea yule msichana aliyeonekana kutokuwa na mkuu kwa jinsi alivyokuwa akitembea na hata alivyokuwa akionekana kwakuwa pia alibeba sura nzuri yenye upole ndani yake.

"Pssssss….samahani dada mambo." Emmanuel akaita na kumsogelea yule mrembo aliyenyanyua sura yake kumtazama yule aliyekuwa akimuita.Alipomuona Emmanuel anamsogelea hakutaka kusimama bali alipunguza mwendo na kutembea taratibu.

"Mambo mrembo."

"Poa eleza shida yako kwa maana nina haraka sana."

"Ooh safi kwani unaishi maeneo haya wewe."

"vipi kwani wee kaka?"

"Najua una haraka lakini pia unaonekana mkali sana wewe.Urembo wako na hivyo unavyoongea haufai kuwa hivyo jamani mie nina shida na wewe ya mazungumzo basi kwakuwa una haraka naamini tutakutana tena tu mungu akipenda." Emmanuel aliongea kwa ustaarabu na kusababisha msichana yule kusimama.Kwa jinsi alivyoongea Emmanuel ndio ilisababisha mrembo yule kusimama na kumtazama Emmanuel kwa macho maregevu mno.

"Mmmh haya una shida na mimi haya nambie.Nataka nikusikilize kwa maana unaonekana unalalamikaa wewe nambie."

"Najua una haraka na hata nitakavyoanza kuzungumza hapa nitakuchelewesha.Mimi naitwa Emmanuel naomba yako ya simu." Emmanuel akamwambia yule mrembo ambaye aliachia tabasamu pana na kumtazama Emmanuel kisha akatoa simu yake.

"Namba yangu sikupi taja namba yako labda nikikukumbuka nitakutafuta uniambie hiyo shida yako." Mrembo yule akamwambia Emmanuel aliyekosa la kuzungumza zaidi ya kutabasamu tu.Akamtajia yule mrembo namba yake na yule mwanamke akaiandika kisha akaomba Emmanuel arudie kutaja jina lake.Baada ya kumaliza akamtazama tena Emmanuel aliyekuwa akimtazama kwa macho ya kiuchokozi.

"Kuna lingine Emmanuel?"

"Hapana mrembo ila nimefurahi tu umenipa namba yako.Fanya kunitafuta nina mengi ya kukuambia jinsi ya kuutunza vyema mwili wako na urembo uliokuwa nao kwa maana hautakiwi kunyanyasika wala kudhurika kwa jinsi ulivyo umbika." Emmanuel akayaongea yale maneno kisha akaondoka na kumuacha mwanamke yule kuyafikiria yale maneno.Bwana Emmanuel akaongeza mwendo na kufika katika nyumba aliyopanga na kuingia kwa machale.

Ukimya mzito ndio aliokutana nao na ndio uliotosha kumfanya agundue kuwa siku hiyo hakukuwa na watu katika nyumba hiyo.Akili yake ilimtuma na kumwambia kuwa labda walikuwa wametoka kama siku nyingine hutokeaga hivyo.Emmanuel akajisogeza mpaka kwenye mlango wake na kuufungua ule mlango kisha akaingia pasi na kuufunga.Haikuchukua hata dakika tano.Ugeni mzito ukaingia na kumshtua Emmanuel na kumtazama aliyeingia pasi hata na kubisha hodi.

"Weee…..oooh Mariamu nambie.?" Emmanuel alianzisha mazungumzo mwenyewe kwa maana Mariamu alikuwa kimya.Uso wake ulionyesha kama mtu aliyekuwa amekasirika hivi jambo ambalo lilimfanya Emmanuel kujiuliza maswali mengi kichwani mwake.

"Vipi Mariamu mbona uko hivyo wewe?"

"Hivi kwanini umenifanyia hivi wee mwanaume.Kwanini umeamua kunifanyia vile ulivyonifanyia kwanini nakuambia?" Mariamu maneno yakamtoka na aliongea kwa sauti yenye kukaripia.Licha ya kuongea maneno yale pia machozi hayakuacha kutoka katika macho yake na kusababisha Emmanuel kunyanyuka na kumsogelea msichana yule.

"Mmmh mbona unalia Mariamu?….Halafu unayoyasema mimi siyaelewi kabisa hebu niweke wazi nikuelewe."

"Licha ya kufanya na mimi mapenzi ukaona haitoshi kwanini umeamua kufanya mapenzi na mama yangu?"……

Mariamu akatumbua jipu lililokuwa linamsumbua kwa kumwambia Emmanuel kile kilichokuwa kinamliza.Emmanue hakuwa na ujanja wala hakuwa na la kusema.Taratibu akainamisha uso chini kuonyesha jinsi gani alivyokuwa akijisikia aibu mbele ya macho ya msichana yule kwa kutembea na mama yake.

"Mariaaamu wewe nani amekuambia maneno hayo kipenzi cha roho yangu?" Emmanuel akaongea kwa sauti ya chini na yenye utaratibu wa hali ya juu.Msonyo wa nguvu ukamtoka Mariamu aliyekuwa bado chozi linamdondoka akiwa analia kwa kwikwi.

"Ningekuwa kipenzi chako ungenifanyia hivi kweli.Mwanaume gani wewe umetembea na mimi umeona haitoshi ukahamia kwa mama yangu.Ni kipi nilichokupelekea mpaka ukawa hivyo eeeeh Imma umenikosea nakuambia umenikosea.Nimekushuhudia mbele ya macho yangu ukifanya mapenzi na mama yangu." Mariamu aliongea kwa hasira akiwa amemsogelea karibu Emmanuel na kuanza kumpiga piga katika kifua chake kwa hasira.Mwanaume akachukua jukumu kama mwanaume akamshika vyema Mariamu na kuanza kumbembeleza msichana yule kwa staili ya aina yake.

"Mariamu najua unaumia lakini kumbuka kuwa mama yako alikuwa anaenda kunifunga!.Kumbuka jinsi tulivyobambwa mama yako alinilazimisha kufanya naye mapenzi ili kesi aliyotaka kuifungua asifanye tena.Hata hivyo pia ningehama hapa.Nisamehe alikuwa kusudio la moyo wangu kufanya hivyo nilitaka nimtimizie mama yako ili mimi na wewe tuendelee kula raha na kufurahia penzi letu kwa siri na raha." Maneno ya Emmanuel yakapenya barabara masikioni mwa Mariamu aliyenyanyua uso wake na kumtazama mwanaume yule.Maneno yale yalimuingia na kuona kabisa Emmanuel hakuwa na kosa.

"Nimekuelewa Emmanuel mpenzi lakini nakuomba uwe unamuepekua mama yangu sawa?"

"Sawa Mariamu ila na wewe uwe makini maana mama yako amenikanya kuwa atakapo kuja kugundua kuwa mimi na wewe tunaendelea na mahusiano basi atanifanya kitu kibaya."

"Aaaaaah achana naye mtu mzima kutaka vijana tu.Emmanuel mwenzako kuna kitu nahitaji kutoka kwako nitafurahi ukinitimizia tena sasa hivi."

"Mmmh!….nambie nakusikiliza Mariamu."

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Yabonyeze Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni