Sehemu ya Kumi na Sita, na mke wake, kwa mke wake, mke wake huyo, ajili ya lambi, hata yeye ni, huku kwa ibrahim, ibrahim na mke, ila lile deni
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (16) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA KUMI NA SITA ILIPOISHIA... Saumu alijua kweli alimuuzi chidi, hivyo hakutaka kubishana nae, aliondoka taratibu na kupanda daladala kwenda kwao, Fatu alitoka kule kwenye stoo ya mkaa, na kuendela kukaa na chidi mana alijificha kwasababu ya saumu, KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... "we nawe hilo domo lako lipoje" "chidi, mpenzi wangu, nisamee" "nani mpenzi wako tena" "heeeeee yamekuwa hayo tena…. Sasa kama sio mpenzi wako mbona umeninyonya denda" "aaahh hio ni salamu ya kizungu tu" Chidi alikuwa akimchemsha fatu, na kujiona kama hapendi… Na fatu alikuwa ni mwembamba hivi ila alijaliwa kuwa na sura nzuri, pia alikuwa ana shindu laini iliomfanya chidi apagawe nae… "basi kama ni salamu, ebu tusalimiane tena basi" "subiri kidogo" Tukija huku kwa ka…